USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

Kama katibu mwenezi bavicha anaandika vitu shallow namna hii bila substance, inasikitisha sana.

Huyo Katibu mwenezi ana hukika gani kuwa hiyo taarifa haina mkono wa Mnyika? Au ndio mwenye CHADEMA wameamua kutumia mabavu 'kumyeyusha' Mnyika?
 
Hili kanusho lingeeleweka vyema kama ungewekwa na huo uzushi...
 
Mnyika ameamua kuwatolea uvivu ufipa .

Safi sana Mnyika, naona wanahaha kukuziba mdomo.

Chadema chama la madikteta lisiloruhusu MTU kutoa mawazo yake
 
Aliyeuza na kudalalia kuuza nyumba za serikali na zingine kuwagawia mahawara zake, aliyenunua kivuko kibovu kwa cha mwaka 1978 kwa bei ya kivuko kikubwa cha kisasa cha mwaka 2015 na kisha kuzuia wabunge wa upinzani wasiijadili bungeni ni nani we mkilaza?
Mkuu hizo zote Ni Propaganda, mpaka Leo hii Serikali ingekuwa Na uwezo ingejenga nyumba nyingi tu Na kuwapa wananchi wake bure tu Na sio kwa bei rahisi!
Hizo propaganda wenye akili wanajua hazina tija yoyote, credibility ya Magufuli kuhusiana Na UFISADI huwezi kui-question!! But it is very simple to question Lowasa's credibility when it comes to corruption scandals!!
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Mnyika anatakiwa na siyo nyie vibaraka
 
Hata kama ni kweli Mnyika kasema hayo lakini wanaCDM wakija hapa watageuka leo na kumponda tena Mnyika kua na yeye kalishwa,hua hawakosi cha kusema

Chama ni taasisi, je akiacha siasa au kufa na chama kimekuwa? Nani alikuwa so influential kati yake na Dk Slaa? Na je kuondoka kwa dk Slaa kumeiteteresha cdm zaidi ya ramli chonganishi za CCM?
 
Lowassa atarudi tu CCM...nadhani wabunge vijana wa Chadema wamevumilia vya kutosha sasa hawaoni faida yoyote ya kuwa naye tena..Biashara ya uchaguzi imeisha...kila mtu atarudi alipotoka..Juzi kati Lipumba alianza kijirudisha..
Hizo ndiyo ramli chonganishi, hakuna hoja wala tafiti yeyote zaidi ya hoja za vijiweni
 
Hamuwezi kutuhamisha....focus ya VAT kwa banks na makampuni ya simu! Hatumaishi focus!!! Imekula kwenuu!!!
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
 
mnyika aje hapa akanushe...vinginevyo tutaanza kuamini kuna ukweli...
 
JJ Mnyika yupo wapi? Ile taarifa kwa umma "imesukwa" kwa details za kutosha na za kushtusha. Nadhani ni Mnyika tu ndo anapaswa kujitokeza na kuipinga
Hizo wala huwezi kuziita details zakutosha, kwa mtu anayeelewa maandishi ya Mnyika akiisoma tu anapuuza na wala hakuna haja ya kumsubiri Mnyika mwenyewe kukanusha!
 
Back
Top Bottom