mudchitwanga
Member
- Jul 28, 2015
- 92
- 20
BADO cjaelewa Lowasa anakuwaje msafi Chadema,,mchafu ccm,,,hebu nipeni maneno kidogo wana jamii wenzangu
CDM kwanza mtu badae
Poor Josephine
BADO cjaelewa Lowasa anakuwaje msafi Chadema,,mchafu ccm,,,hebu nipeni maneno kidogo wana jamii wenzangu
direct translation.How sure you are that Bi. Josephine is poor??
Walioleta umaskini ni serekali ya ccm siyo LowasaHeri uwe maskin wa mali kuliko kuwa maskin wa akili.
>Lowasa anasema anauchukia umaskin wakat kwenye wilaya yake maskin wamejaa hata shule n tatzo ameshindwa kuwakomboa ataweza kuwakomboa watanzania?
Lakn cha ajabu mijitu inakaza mpaka makalio ooh lowasa lowasa lowasa.
Je unauwakika mimi siko kwenye idara ya habari ya chama?hapa naona tunadanganyana tu, hakuna AMANI ndani ya cdm, ndiyo maana msemaji mkuu wa chama amegoma kutoa taarifa rasmi kwa Yale yanayoendelea ndani ya chama hatimaye makamu KATIBU mkuu ndiye kawa msemaji wa chama. SINA IMANI NA WANA SIASA
Heri uwe maskin wa mali kuliko kuwa maskin wa akili.
>Lowasa anasema anauchukia umaskin wakat kwenye wilaya yake maskin wamejaa hata shule n tatzo ameshindwa kuwakomboa ataweza kuwakomboa watanzania?
Lakn cha ajabu mijitu inakaza mpaka makalio ooh lowasa lowasa lowasa.
Dr. Slaa si mjinga kama baadhi yenu mnavyodhania, na kwa taarifa yenu hakuna alichokisema jana Mbowe ambacho Dr hajui na isitoshe si mroho wa madaraka kihivyo...... kiustaarabu kabisa amempisha Lowasa ili Tanzania iondoke chini ya mkoloni mweusi CCM na mifumo yake mbovu isiyojua kuwajibishana.
Mzee maswali yake ni ya msingi sana . Lakini zaidi na uvamizi mitandaoni kumchafua . Mzee namuomba ajue CCM ia watazidi ku fuel hi situation . Yeye anajua zaidi mbinu zao na Mzee ni Mzee tu maana hekima zitatawala . Kwa kupitia bandiko namuomba saana Mzee wangu , rafiki yangu , atuvushe . Bila Slaa hakuna UKAWA. Wale wanao mchafua Mzee kwa kutumia jina lake vibaya ni vibaka wa demokrasia. Naamini bado Mzee atatusikiliza na kutuelewa lakini pia lazima wengine wamwelewe Dr.Slaa anacho simamia . It is only through that way tunaweza kuvuka salama . Dr.Slaa asikiizwe na mawazo yako yapelewe majibu . Dr.Slaa kasema yeye hana shida na yeyote hata asipo gombea he is ready for Chadema lakini tuondoka tukiwa na lugha moja .Narudia kanihakikishia hana tatizo anataka clarification clear not za jumla then Chama kinashika kasi .
Ndugai ameasha uwa huko na wewe tafuta ccm mwenzako umuuwe kama hutaki!!
Kwa fimbo ile huwezi kubaki salama!! Alikuwa anapiga kama anaua nyoka.