Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
R. I. P mpinzani wa Ndugai
Ndugai akawe naibu spika Ukonga gerezani
R. I. P mpinzani wa Ndugai
Leo sijaona Uzi wa Lizaboni
Hivi chato kule maisha yakoje??au umepaona monduli tu,,,,kwa vigezo vyako magufuli hafai pia,,,
Sio kua ameshapewa mgawo wake akakaa pembeni.vp na ww ushapata wako mgao
Mgao ni mambo ya kawaida ccm ila CHADEMA tunagawana WAJIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nimeona mkuu na huko mara washaumizana tena leo ccm ni sawa na mashetani mkuu!!Hivi umeiona ile video mkuu,,,, hahahahahaha
Hawa jamaa watauana sana mwaka huu
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
Chadema Kwanza
~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"
By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)
Huu ni uzandiki wa kuzima moto wa mafuta kwa maji. Tamko la kihuni hata sahihi hakuna.mtu yeyote anaweza kujiandikia tu ivo
Ccm wakisikia hivi wanachanganyikiwaBaba Baba Dr Slaa Waziri Mkuu wa Tanzania ,Mbatia Elimu Na Sayansi Lipumba fedha Na mipango