Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

mashambulizi mwanzo mwisho hakuna propaganda zinazoweza kuzuia mabadiliko mwaka huu.
 
safi sana gazeti la kishamba raia mwema limekuwa la kidaku zaidi, vipi taluma ya Ulimwengu anajipendekeza kwa chama mfu au?
 
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Chadema Kwanza

~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)

Leo Slaa anamuita Fisadi MUHESHIMIWA?
teh teh teh teh.

Dahh... hela Kitu kibaya sana.
Unaweza kumnunua Hata mfalme!
 
Leo Slaa anamuita Fisadi MUHESHIMIWA?
teh teh teh teh.

Dahh... hela Kitu kibaya sana.
Unaweza kumnunua Hata mfalme!

Umma wa Watanzania utawahukumu CCM kwa kuwatengenezea mafisadi wanaopata kitubio CHADEMA
 
Tunashukuru kwa taarifa muhimu uliotuletea. Ila tunaomba Dr ajitokeze hadhalani na kukanusha habari hizi vinginevyo inavuluga uma ulioko nyuma ya chama pendwa CDM. Watu tunakosa hapetite ya kula kwa sababu ya kusikia nguzo ya CDM inataka kuondoka.
 
Kweli Tanzania kuna makanjanja wa uandishi wa habari.waandishi makini wangeshajua Dr slaa,Mnyika wapo wapi?
 
inaonekana hakuna mwenye habari sahihi juu ya Dr Slaa, hawa wanaosema wanajua na kwamba anaendelea na majukumu yake kama kawaida hawana taarifa, mimi ninayo ambayo ni tofauti na hiyo lakini sio mahali pangu pa kusema, mtafuteni Dr wa uhakika kama mnataka kujua kinachoendelea kwa upande wake na kama mmeshamaliza kusherehekea habari ya vimbwanga vipya
Aiseeeee.............Ukishamaliza utabiri unipe number yako ya simu nikutumie vijisent.
Utabiri kazi nzito atiiii
 
Leo Slaa anamuita Fisadi MUHESHIMIWA?
teh teh teh teh.

Dahh... hela Kitu kibaya sana.
Unaweza kumnunua Hata mfalme!

Kwenye siasa kama ilivyo kwenye dini hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ila Kuna maslahi ya umma ya kudumu.
 
Wanaukumbi habari ya jioni

Naomba niwajulishe kuwa mimi ni mwanachama wa CDM na nina imani sana na Dr Slaa. Kutoonekana kwake katika matukio mawili makubwa kunanipa shida saana na hili la kumkabidhiLowasa fomu ya kugombea urais ambapo hajaonikana linanisumbua zaidi

Ninaaminikuna wanachama na wpenzi wengi wa CDM wengependa kumuona na kusikia kauli yake

Habariza mitandaoni zinatarusha roho jamani
 
mie ni miongoni mwao ingawa sio mwanachama lakini ni mfuasi mkubwa wa dr slaa nimeanza kupata wasiwasi na kinachoendelea
 
wacha tu slaa aendelee kujificha maana aibualiyopata si ndogo, akikumbuka nguvu zote zile za kumkandia huyo ambaye sasa wanamsifia , lazima atafute gia ya kutokea na kuwapiga nayo mabavicha mpaka mumuelewe
 
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Chadema Kwanza

~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)
wameunganisha dhamira zao pamoja kutaka kugawana nchi, wameunganisha dhamira zao pamoja kutoka kilmjr na arusha!Hivi Slaa akitoka Chadema aende wapi??ZZK pekee ndio mwenye ubavu wa kusurvive nje ya established systems
 
Ili kufanikiwa kuvunja genge la majambazi ni vizuri zaidi kuchomoa jambazi mmoja mwenye nguvu kati yao na kushirikiana nalo katika harakati za kulivunja na kulimaliza kabisa genge hilo.Hivyo ukawa wamempata wa kushirikiana naye na kazi ni mojo kuwaondoa ili tujenge Taifa jipya, inaeleweka sio kazi rahisi lakini hatutakiwi kukata tamaa hasa baada ya kuondolewa HOFU kwa raia wa nchi hii viongozi wa ukawa wametimiza wajibu wao na ndio na sisi wananchi tuwaunge mkono kukamilisha UKOMBOZI kwa raia WOTE
 
Wana JF tutazungumza mengi lakini mwisho wa siku kila mtu anakura ya kupiga moja. Huwezi sema fulani atashinda wakiti wewe kura yako moja ... hujui wengine watampigia nani.
 
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Chadema Kwanza

~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)

Kama yupo basi atakua busy anafuta ile list of shame iwe nyeupe maana ndilo agizo la chama! Ha ha ha ha ha
View attachment 272417
 
sawa sasa turudi kwa mgonjwa wetu kongwa anaendeleaje baadaya kuchezea fimbo za kichwa
 
Back
Top Bottom