Dr.Slaa bado yupo Chadema kwa kuwa hana pa kwenda, kushoto kuna Zitto kulia yupo Bin Mrisho sasa aende wapi? Huyu Mzee anafanana sana na Mzee Mangula, kwenye Maadili na misingi ya Kazi hawana mchezo kabisa, kazi yao ni kuimarisha Vyama kwenye Mafanikio hata jina hatajwi. Mzee Mangula alifukuzwa Ukatibu Mkuu Dakika 45 baada ya Jakaya kupewa Uenyekiti wa Ccm Taifa 2006 Dodoma, akagombea Uenyekiti wa Mkoa Iringa wakamnyima wakampa Yule Jah People eti ndo awe Mwenyekiti wa Mkoa mtu kaishia la sita C!,2010 baada ya kutangazwa washindi kwa Mbinde sana pamoja na Magoli ya mikono na Makalio ndo wakaenda kumchukua Mzee wa watu Iringa kwenye Mashamba ya Nyanya ili aje awasaidie . Slaa nae yatamkuta Muda si Mrefu, bora ukutane na Shetani kuliko hawa watu wanaoitwa wanamtandao!