Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Dr.Slaa ana hasira ya kuvamiwa na fisadi!
Kwa akili yako unadhani ni maadui? mbona unachanganya siasa na maisha binafsi! Slaa sio chadema kwa taarifa tu kama kweli anahasira ale malimao
Dr.Slaa ana hasira ya kuvamiwa na fisadi!
Ndugai akawe naibu spika Ukonga gerezani
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
Chadema Kwanza
~~~~~~~~~~~~
HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya chadema, nccr, nld, cuf wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa ukawa. Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama ukawa ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"
By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema)
EL ndio habari ya mjini....Mchaka mchaka mpaka kieleweke
Nakuunga mkono 100%
Kwanini huyo Slaa asiseme neno basi ili watu waache kupakaza mitandaoni? Kama ameudhika ni vyema tu akawaambia wenzake na akae kimya badala ya kubwaga manyanga.
Kumshirikisha zzk wakati huu haiwezekaniKwanza niwapongeze sana CHADEMA kwa mkakati huu imara. Wakati magamba yanapigana na kumwaga rushwa kwenye kura za maoni, nawaombeni UKAWA kupitia CHADEMA hata kama si kuungana mshirikisheni Zitto katika mchakato huu nchi inachukuliwa na UKAWA wanachi tuko tayari kabisa kuachana na laana ya magamba na ufisadi wao. naombeni mchukueni huu ushauri na ufanyiwe kazi. Zitto ana nafasi pia licha ya kutofautiana nae, kama mmeweza kuwa na lowasa tafakarini na la Zitto CCM haitasimama. Hii ni nafasi ya kipekee kuondokana na laana ya CCM na UFISADI wake kwa mbinu yoyote ya kisiasa.
Nani kakwambia Dr. Slaa kaondoka au kachukia? Chadema hatugawani pesa tunagawana majukumu
Lowasa analeta mgawanyiko cdm
Chocheeeeeeeeniiiiiiii nyie magamba lakini mjue kuwa Dr silaha ni shujaa na wanawasoma tu ujinga wenu yeye mwenyewe ameratibu uwepo wa Mr Lowasa kwasababu naye anataka mabadiliko na hivyo anataka nguvu ya umoja...mkififikiri kwa kashfa zenu mnamvuruga basi poleni, akili yake iko juu hebu...
Kumshirikisha zzk wakati huu haiwezekani