Mali kama hiyo bora niifate mwnyw na niisafirishe kwa njia nayoona ni sahihi ila sio kwa boda, hata bajaji pia sitaki aisee.Unakuta kona ina mpasuko moja amazing 😃
Maskini 😄, jamaa aliyenunua Tv kashapigwa na kitu kizito aseeeAisee, kuna mtu leo anapelekewa TV mbovu, nimeona kabisa imeangushwa hapo Kimara na bodaboda. TV ya Kichina something Star nn sijui. Sema ndogo 32”
Mimi nikitoa Mil 1 ninunue TV haunishawishi kwa free delivery. Naifuata na request bolt ya gari narudi home.
😂😂😂😂 aiseeeNa bodaboda wanavyopenda kuovertake kushoto akikutana na dereva mwehu anabaniwa kushoto anaingia nayo mtaroni
😂😂 hutaki mchezo na hela yakoDah hii kitu nimetoka kuongea na wana leo, mm h kitu siwezi kuifanya aisee hata kama ndo free delivery kutoka Kwa wauzaji nikijua TV yangu umeiweka kwenye boda aisee itarudi dukani
Ni kweli kabsa yaani TV ni Milioni 2+ halafu unaweka mzigo kwenye boda ya buku 5 😃 aisee TV imepigwa mapira tuMali kama hiyo bora niifate mwnyw na niisafirishe kwa njia nayoona ni sahihi ila sio kwa boda, hata bajaji pia sitaki aisee.
Bora nichukue taxi nilipie Hata 30k mana huwezi kupata 2M afu ukose 30k
Pesa yenyewe umejichanga miaka mitano tangu enzi za JPM ili tuu macho yaangalie nuru Afu uje uchezee kwenye boda kwa buku 5, hapana aisee😂😂 hutaki mchezo na hela yako
Wataalamu?Wataalamu wanakwambia kusafirisha hivi ni salama kuliko kutumia kirikuu.