Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

Watu wanajuta HUKO. Unapona korona unakufa na njaa..
WAAMBIE WAACHE MCHEZO.
wasitamani vitu ambavyo hawana uwezo navyo.
Aangalie huko India, Uganda,SA watu wanavopata shda ndo ataregreat anachosema

god is good
Screenshot_20200331-080751.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nafika stendi nakutana na hiyo heka heka bahati yangu tu niliwahi kuwasiri kituoni saa 12 kasoro.
 
Sasa mkuu wakisitisha kabisa sindonuchumi utayumba kabisa? Bora iwe level seat hivyo hivyo watu waende makazini mwao.
Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.

Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi

kitochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa ndipo mnapofeli huyo daktari amekwambia hao wagonjwa wengi wamepelekwa hospitali gani?..
una akili jaribu kuzitumia acha kusikiliza maneno ya kuambiwa...
niliwahi kusema humu CORONA HAIFICHIKI.
inajionyesha tu kama wapo wengi walioathirika wataonekana.leo ni wiki ya pili je kuna vifo?.
JE yupo ambae yuko kwenye Hali mbayaa?.
Jana kuna daktari wa wizara nilikua naongea nae alidai tatizo kubwa(maambukizi ni mengi kuliko inavyoelezwa)...muda wote vikao na wamesitisha ziara zao zote za mikoani kwa ajili ya korona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali kuchelewa kuliko kutoenda kabisa.
@Rrondo asante kwa mchango mzuri.
Ingefaa sana watu wajifungie nyumbani, tusisahau nchi hii ni ya wanyonge na baba wa wanyonge analitambua hili.
Wasipoenda kazini watakula nini?
Bora wachelewe lakini waende
Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.

Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi

kitochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia maelezo yake amesema kuna wengi wameambukizwa ila bado hawajafahamika kutokana na miundo mbinu kuwa duni...pia kuna wengine wanafanya siri akatolea mfano yule waziri wa Zanzibar matokeo yake kaambukiza mpaka watoto kwahiyo maambukizi mengi kuliko kasi ya kutangaza...

Sijakubali wala kupinga nimemsikiliza tu.

Back
Top Bottom