Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,618
- 10,789
Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee.
Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo.
Leo asubuhi natoka barabarani niende ofisini kwa kuwa nina sababu ya kutoka. Hakuna usafiri; bodaboda ni gharama na nazo zinapita moja moja sana. Sikutegemea kutakuwapo na kafyu.
Kweli maandamano yanatikisa nchi.
Usafiri wa umma ukipatikana mnipeni taarifa.