Wadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.
Kweli Tiba hao hawakuona yale maisuzu yakiitwa Santamaria
na baadae mtama kwa watoto enzi hizo njia ya pasiansi
Kashekulo Trans=Nsumba-Town pale KAUMA ya zamani,pia TK Chai maharage hiyo.
Kashekulo Trans=Nsumba-Town pale KAUMA ya zamani,pia TK Chai maharage hiyo.
UnaKumbuka bin sadoti express ya kwenda pasiansi nauli shiling 3.
Kabibi Hotel pale kona ya Bwiru bado ipo?
[/SIZE][/SIZE]
Kwa hiyo Mkusanya Express unadhani ni gari inayokidhi haja kwenda huku?
Vipi, kile kikundi cha taarabu cha Mabruki ukoma bado kipo or?
.nyie watoto sana i see.kipindi chetu tulipanda pundaKumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
.nyie watoto sana i see.kipindi chetu tulipanda punda
Hapa watoto wote wa bongofleva au dotcom hii ni km history! Wanashangaa tu
Wapi,"Lupondije na Bana bakwe"!
Kweli Tiba hao hawakuona yale maisuzu yakiitwa Santamaria
na baadae mtama kwa watoto enzi hizo njia ya pasiansi
Dj Yusuph (R.IP) na wadogo zake akina Harry na disco lao, Baadae tukahamia club ya matata na dj Bush Doctor akisaidiwa na Dj Richie Dillon!