Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Mimi mwenzenu nimesomea Buswelu ni mzaliwa wa kirumba. Nakumbuka wakati nasoma usafiri ulikuwa chai maharage canter.kutoka kirumba mpaka national ilikuwa unafika ukiwa umejaa vumbi. Uniform haitamaniki.
Mi Buswelu pia , kwa ma - bush - runners

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasi km Amini Mungu safarini, Mwadeco, Trans Africa bus service etc ndo mabasi yetu enzi zile.
Pale kilipo kiwanda cha cocacola palikuwa na bwawa kubwa la kunyeshea ng'ombe huku tukicheza mpira wa madaso pale mnadani.
Duh! Kitambo sana. *Amini Mungu Safrini* na mtanange wa kibiashara kati ya *Trans Africa Bus Service vs Tanganyika Bus Service* !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…