Usafi wa nguo za ndani

Usafi wa nguo za ndani

Aisee.. Kabla sijasoma comment za wengine kiukweli siwezi laza chupi chafu bila kuifua au kuloweka. Labda niwe safari ambapo itanilazimu. Otherwise lazima nifue ama niloweke kwenye omo!!
 
Lucky you!! Mi zitakaa kwenye ndoo hata 3days zinamsubiri mfuaji..
 
Kama mlivyoona neno CHUPI hivi ni sahihi kwa wadada kuvaa chupi kilasiku na kuzivua na kuziweka kwenye furushi la nguo wengine wanafua baada ya wiki wengine had wiki2 hivi ni usafi kweli jaman hasa kwa wadada. Me nnashost wangu anaweza akamaliza had wiki2 akianika kamba yote inajaa vibendera vyake

mimi ni me nina boxer 15 na huwa naweka kwenye tenga mpaka zibaki mbili au moja ndio nafua zote,navaa moja kwa siku,asubuhi mpaka jioni usiku nalala na bukta. kwanini nisumbuke kufua kila siku si ningenunua mbili tu???nimenunua nyingi ili nisiwe na kauka nikuvae.

nb:kuna siku na jog au kucheza basketball,boxer hio inafuliwa soon wakati naoga!haifai kulala itaua mbu....
 
.....na kuwapa wengine mafua...!
 
We TATIANA we bado king'!ng'aniz wa kuto fua fyuuuup
 
Last edited by a moderator:
Jamani kurundika nguo za ndani kama chupi sio usafi kabisa. Kwani kuna ugumu gani wakufua chupi moja makati kuoga jamani. Ni vizuri kufua kila unapoenda kuoga ila sasa, unatakiwa pia ukumbuke kuziloweka siku moja moja, labda kama baada ya wiki mbili na jiki pamoja na sabuni ya unga ili kuzingarisha tena kwani huwa baada ya muda zinafubaa kwa wale wanaopenda kuvaa nyeupe kwa sababu sometimes unapofua huko bafuni na haraka za kuwahi kazini zinaweza zisitakate vizuri. Hivyo basi watu msipende kuloweka chupi lakini mkumbuke kuziloweka siku moja moja ili kuzingarisha zaidi.
 
We bibie yaan chup 1 aaaarg ntamtafuta kungwi wako
 
Aaah bora niche kuzivaaa tu... shida tupu.
 
Back
Top Bottom