Usafi wa nguo za ndani

Usafi wa nguo za ndani

Kama mlivyoona neno CHUPI hivi ni sahihi kwa wadada kuvaa chupi kilasiku na kuzivua na kuziweka kwenye furushi la nguo wengine wanafua baada ya wiki wengine had wiki2 hivi ni usafi kweli jaman hasa kwa wadada. Me nnashost wangu anaweza akamaliza had wiki2 akianika kamba yote inajaa vibendera vyake

kila siku mpya safi sana we unataka ashinde na moja kama wewe
 
Hatakama unachup dozen kumi usafi muhimu

we niaje si kafua lakini au ndo mnatoa siri michupi yenu inanuka mpaka kwa wenyewe ni kero mnaleta huku jf hata MAVI NI UCHAFU LAKINI UNAZALISHA UMEME unaconnect pc au simu unazama jf
 
fua acha zako ww

google sio ndugu yeye anachupi moja bwana ake hamtendei haki mwenzake ana nunuliwa kila kukicha anaona wivu inamaanisha mwenzake hafui nguo za kuvaa mpaka wiki mbili anafua sema mambo mengi inamaanisha asubuhi avae atoke misele aoge abadilishe afu apange kufua? HUKU ANAKABAT?Iwe fua ako chako mi namletea tu
 
3542_516100795114088_1736765908_n.jpg
Vishada hivyo
 
Raha mdada awe anavaa chupi rangi nyeupe tu au mara mojamoja nyeusi kumatch na sidiria na gauni hasa wakati wa mtoko usiku,,, akizifua akazipanga kuzianika inapendeza na sio rainbow kama hizo picha hapo juu
 
[emoji23] [emoji144] [emoji23] [emoji144] [emoji23] [emoji2] [emoji14] [emoji14] [emoji39]
 
Kama mlivyoona neno CHUPI hivi ni sahihi kwa wadada kuvaa chupi kilasiku na kuzivua na kuziweka kwenye furushi la nguo wengine wanafua baada ya wiki wengine had wiki2 hivi ni usafi kweli jaman hasa kwa wadada. Me nnashost wangu anaweza akamaliza had wiki2 akianika kamba yote inajaa vibendera vyake
Tatizo wadau humu jukwaani,hukimbilia kusema eti rafiki yangu au shosti wangi ndio anafanya hivi mara vile,si useme tu kama una tabia sugu tukutafutie suluhisho,maana unajaza bacteria wabaya chumbani ambao kadiri wanavyozaliana,uvundo unazidi chumbani,hivyo basi weka wazi tukupe elimu.
 
hahaha mbona hamna tatizo a.rahabu
Tatizo ni pale chumba kitapoanza kunuka kama soko la nguru na papa pale Kariakoo,the jade garden of yours needs plenty of oxygen,the longer you wear the same pants,the less it gets,meaning the more likely it is for odd scents to accumulate,therefore the result could be UTI(URINARY TRACT INFECTION).
 
Aisee.. Kabla sijasoma comment za wengine kiukweli siwezi laza chupi chafu bila kuifua au kuloweka. Labda niwe safari ambapo itanilazimu. Otherwise lazima nifue ama niloweke kwenye omo!!
Omo tu peke yake?basi itakuwa togwa hiyo.
 
Back
Top Bottom