Usafi wa nguo za ndani

Usafi wa nguo za ndani

we unataka yale machupi makubwa makubwa kama ya kina nsia?:eyebrows:

Kutaja tu Jina La Nsia na Nina Uhakika Umeliacha tu Kwa Makusudi Jina Lake La Mwisho La Swai..... Kumbe Wewe ni Mwana BAMC 2006 - 2009 Mwenzangu? Ila Tambua Kwamba Huyo Nsia Sasa Ni Tajiri na Anapiga Hela Hapa Mjini Kama Hana Akili Nzuri ktk Kampuni Yao Na Mdogo Wake Wa Kiume!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiacha kuvaa uwe umepigwa pas sasa kama mzigo unao c utaleta mtihan kwa jinsia pinzani

Mzigo upo tena wa haja ndio maana navaaa... ingekuwa sio hivyo ningeshaacha loooong time agoooo.... kero tupu.
 
Back
Top Bottom