Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,379
Reaction score
24,700
Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi tuachane nao. Unatia kinyaa sana.
 
Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.

Overthinker!

Unakula chapati au vyakula vya ngano vilivyoandaliwa kwenye Hotels? Ni tatizo kubwa sana,

We control what we can, the rest twamuachia Mungu!
 
Back
Top Bottom