Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

Fidel,
Hali hiyo haipaswi kuwa kero maana kuna vifaa - pads, tampons, douches, Femine-deo sprays, udi, vyote vikilenga kumweka mwanamke msafi tena na kunukia vizuri.Lakini usafi wa kawaida pia wa kuoga mara kwa mara, hata kunawa na kubadilisha angalau mara nne kwa mchana mmoja kutegemeana na uzito wa hali ni lazima.Nguo za ndani zibadilishwe na kufuliwa mara moja na kuanikwa, na siyo kuvundika au kuanika uvunguni mwa kitanda!
Kama kuna wenye kuwapeni kero basi hawako makini wao wenyewe.

Natumaini haya masomo tunayoyatoa hapa akina kaka/baba mtawapa wake zenu kama mnaona wanaupungufu kwenye hili eneo.
wangu mimi yupo safi kuliko mji mkuu wa dubei. tena nje na insaidi. intanashinali eapoti anaishuhulikia ipasavyo, ndege haipati ajali wakati wa kutua. aaaakh! simsifu sana asije akateki adventeji.
 
Mtoto wapi mtu mzima na ana watoto kabisa.
Watu tunakemea shetani duh kucheki chini cement inageuka langi inakuwaje iwa hamjitambui au ndo uzembe?

Nasema watoto wote wa kike wakifikia stage hiyo wapewe darasa! simsemei huyu mama kwa hili, inaonekana kakubuhu, how do you start teaching a whole grown up woman in such basic things?
Halafu kwenye red hapo mpwa angalia tutakuchenjia sasa hivi!
 
Muheshimiwa daaa! umechemsha ile mbaya
ina maana mkeo habadili yake tabiya?
ulimwonya mara ngapi b4 ku'leza haya?
Mzee kwenye hili I dont feel ya.

Samahani lakini avatar yako nilijua we she.
ha ha ha ha kumbe wewe ni he?

Mkuu hakuna kama mama duniani,
ni kiumbe chenye huruma na imani,
wanapenda sana utulivu na amani,
ni kiumbe wa pekee, mvumilivu na lovin,
 
Huyo jamaa hana mke walahaelekei kuwa nae kaja tu kuharibu mazingira na weekend ya watu
 
Unauliza majibu?
Simple answer is kuna wanawake kama huyu wa jamaa ambao hawajishughulishi na usafi wa miili yao na matokeo yake ndio kutupa ovyo.Unashangaa pedi mitaani? Hujasikia watu huweka kinyesi kwenye mifuko ya plastic na kutupa ovyo barabarani?

On a serious note though, garbage disposal is an issue in most parts of Tanzania.Pia utupaji wa pedi ni matokeo ya kusahau maadili tuliyopewa kufuatana na mila na desturi zetu.Makabila mengi huwafunda wasichana/wanawake kuwa ni fedheha kubwa mtu kukutambua uko kwenye hali hiyo hivyo ni muhimu kuwa msafi.Pia kulikuwa na mafundisho ya kutisha yaliyolenga kuwafanya wanawake wawe makini kwenye hali hiyo.Nakumbuka kwa mfano wanawali walielekezwa kuwa ukitupa hiyo kitu ovyo, inaweza kuchukuliwa na wachawi wakakuroga usizae kamwe! Utakuta hii haikuwa kweli lakini wanawake walikuwa makini sana kuliko siku hizi za utandawazi ambapo pads hutangazwa hadharani kwenye TV, Radio, magazeti bila aibu yoyote.

Hata wasomi wanawake wa chuo kikuu nao wanakosa maadilii siyo tu ya mila na desturi hata ustaarabu wa kisomi wanakosa unaishia kwenye makabrasha tu.Ndiyo maana vifaa vilivyotumika wakati wa enzi vinazagaa hovyo kwenye macorridor hata kwenye njia za hapo chuoni.Inasikitisha sana kwani ni wapa fedheha hata wanaofanya usafi .

Kwa ujumla mila na desturi zimesahaulika na umagharibi umetawala sana kwa waafrika hasa nchi changa kama Tanzania.

Kuna suala moja najiuliza hapa, niliwahi kusikia wanawake wa South Afrika wao wanatatizo moja nalo ni ukiwa nawe kwenye sita kwa sita, round ya kwanza ikimalizika mtajipumzisha kidogo tayari kwa round ya pili ,itakapoanza ya pili ujue utaendelea hivyohivyo round ya pili bila mwanamama huyo kujisafisha mara baada ya round ya kwanza na hata round ya tatu ni hivyo hivyo tofauti na wanawake wa kitz.upo hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh!
 
Naona hapa wengi wanamshambulia mke wa ngomanzito,lakini lililoelezwa ni kwamba utakuta vifaa vinavyotumiwa na wanawake wakiwa hedhini vimezagaa hovyo sehemu mbalimbali,kwanini?suala na pedi zilizotumika kukaa kwa wiki mbili ni mojawapo ya hoja.

Hivyo nadhani tueleweshwe kawnini zinazagaa hovyo baada ya matumizi,hata mimi nilipokuwa chuo kikuu tatizo hili lipo sana hata kwenye dustbin za kwenye corridor.

Asante baba Nyuki kuwaeleza naona wamenishambulia mno wakati mada inajieleza yenyewe

Mbona haya mapedi yanazagaa mno

wengine wanaflash kwenye vyoo hadi vinaziba kwenye vyuo ndio balaa zamani haikuwa hivyo maadili yamepungua kwenye jamii habari ni hiyo
 
karibu ndo umekuja umechelewa hivyo?
 
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??

Duuuh NgomaNzito, kwa kweli hii shida inaendana na jina lako "NgomaNzito" pole kwa kweli unashida mkuu, sijui nikusaidiaje!

Swala la hedhi ni sensitive sana. Mwanamke awapo hedhini haitakiwi mtu mwingine ajue au kuhisi chochote. Usafi ni wa hali ya juu ktk kipindi hiki.
Huyo mkeo hana mfano, na hiyo ni tabia yake.

Nahisi huyo mkeo ni dizaini za watoto mayai,
Anapenda kulala sana, hapiki, wala kitanda hatandiki, kwa ujumla siyo msafi.

Mweleze mkeo na ukemee hali hiyo. Pad moja tu kwa siku inanuka vibaya sana, sasa je za wiki nzima zikae kwa wiki mbili :confused: :rolleyes: una mateso makubwa sana. Mtafutie wamama wazee wamfunde tena.
Hayo ndo madhara ya kitchen party ya masaa mawili.
 
Chamtumavi, umayai hauna uhusiano na uchafu, mkewe ni mvivu na mchafu fulu stop!!!
 
Kwa mara ya kwanza namie nimeona lazima NISEME. Hii thread aidha huyu bwana aiedit au aombe mod aitoe. Maana kamdhalilisha mno mkewe. Si hapo tu kaenda mbali zaidi na kujionyesha yeye ni nani. Lazima huyu mtu anamatatizo makubwa kuliko mkewe haiwezekani aandike hivyo juu ya mwenzi wake. Isipotoka hii thread namshauri afikirie kubadili jina (aje kivingine) au aombe ban mwenyewe watu wamsahau.
 
hahaaaa!!! we umeliona hilo tulimshauri aombe radhi asubuhi akaleta jeuri ati haombi!!! haya Ngomanzito hapo unamwambiaje Bnhai??!!
 
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
Wow I'm speechless, how can you write something like this even if it's true that your wife does that?.
 
ngoma nzito hana mke, wala hajawai ishi na mwanamke ndiyo maana mnapomwambia aombe radhi hawezi kufanya hivyo kwani anachoongea hakina ukweli zaidi ya kuwa ni uharibifu tu wenye kulenga kudhalilisha jinsia moja. kwakuwa alidhamiria kufanya hivyo hawezi kuomba msamaha. Hata wana JF wenye wake, wenye dada, hata wanao ishi na wazazi wao wa kike, wanaweza kusema ni lini waliwai ona pedi zilizotumika majumbani kwao.Binafsi sijawai kuona. huyu ngoma nzito anamatatizo yake, ndo maana anathubutu kusema eti wanawake wengine hutumia maji wakati wa hedhi, ivi mnaona hilo linaingia akilini???? tumia maji kukusanya damu????. .
zaidi ni kuwa kama ngoma nzito ameoa kwa kufuata taratibu za kuoa, ninauhakika ananamna ya kumfanya mkewe aweze jua usafi nininni???, kibaya ni kuwa haiwezekani damu ikae chumbani wiki mbili na hicho chumba kinatumika na wanadamu, eti hata anaweka ******, choo kinaziba, kwani ni mwanadamu gani asiyejua kuwa pad ni nguo ngumu isiyoyeyuka kwenye maj?, aache uongo na umbea.

ngomanzito usilete habari za vyuoni na majumbani kwa watu, hayo ni maeneo tofauti. hayawezi lingana hata kidogo kulinganisha huko kunaonyesha udhaifu na uvivu wako wa kufikiri

sielewi umeleta maada ili watu wajadili sababu za kutupa pad ovyo, au namna yakumfanya mkeo awe msafi. kama ni kutaka mkeo awe msafi basi kwanza useme juhudi gani umefanya wewe mwenyewe kuhakikisha mwenzio anakuwa msafi, kama ni juu ya pad kutupwa ovyo, mkeo na pad za wiki mbili chumbani zinaingiaje kkt mada yako

mwisho napendekeza hii maada ifungwe kwani haijengi, wala haimsaidii hata huyo mwanamke anayezungumziwa hapa. ngoma nzito hawezi lazimishwa kuomba msamaha, bali walioona udhaifu wa maada , ni bora waifunge.
 
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??

Nadhani ni tatizo la mazingira yetu..Kutokana na ufinyu wa nafasi za kutupa pedi wanawake wengi huifadhi pedi zao mpaka watakapomaliza and then huzitupa mahali husika.... na wakati mwingine husahau kuzipeleka mahali husika.Ila kama ingekuwa inawezekana kuzitupakila jioni hali kama hii isingejitokeza labda kwa wale wenye vyoo vya shimo.
 
Asante baba Nyuki kuwaeleza naona wamenishambulia mno wakati mada inajieleza yenyewe

Mbona haya mapedi yanazagaa mno

wengine wanaflash kwenye vyoo hadi vinaziba kwenye vyuo ndio balaa zamani haikuwa hivyo maadili yamepungua kwenye jamii habari ni hiyo
NgomaNzito
user_offline.gif

NgomaNzito is watching you
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jan 2008
Posts: 456
Thanks: 0
Thanked 13 Times in 6 Posts
Rep Power: 22

No wonder!!!!
 
Back
Top Bottom