USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

mnafiki haachi unafiki aisee, sasa hivi Venezuela ni national threat kwa USA nadhani ni kwa sababu tu wamenyimwa mafuta walijua watachukua kwa dezo kama saudia

Nyie hamja study geopolitics vizUri.
Saudia na USA ni marafiki wenye hobby tofauti sana lakini wameshibana vizUri.
Urafiki wao haujaanza Leo.
Vyanzo vinasema kitendo cha Bush kuivamia Iraq ni kutokana. Na utafiki wake na mfalme abdullah.
Usisahau Bush naye ni businessman katika mafuta. The deal was accomplished. Sadam regime was kicked out of Iraq.

USA; soko lake kubwa la silaha ni saudia.
Wateja Wa mafuta ya Saudi arabia ni USA.

Vikwazo wanavyowekewa wa-Iran vinakuwa monitored kirahisi kupitia sapoti ya saudia. Has a njia za bahari, meli zao zinazuiwa kufanya biashara n.k.

Counter terrorism; USA na saudia wanashirikiana vilivyo hapa katika kupambana na extremists na ugaidi.

Mabadiliko ya kiutawala ya nchini Egypt wakati wa kikundi cha kigaidi cha Muslim brotherhood; Saudia iliisapoti USA iliyokuwa imezidiwa kiasi cha kutaka kutoa sapoti kwa magaidi. Saudia waliiwezesha mapinduzi yale.
Bei ya mafuta duniani imefanikiwa baada ya saudia na shell kushusha bei kiasi cha kuziathiri Venezuela na Iran. Imefikia hatua Iran na Venezuela zimeungana kukabiliana na poromoko hill la bei ya mafuta duniani. Kwani kasi yao ya uchumi na nuclear ya Iran imedorora sana.
Na ndipo unaeza angalia gap lao.

Bifu kati ya USA na Iran linachochewa zaidi na saudi Arabia. Pamoja na Israel.
Saudia kama ilivyo israel haitaki USA apatane na Iran.
Saudi arabia alienda kushambulia Yemen ili kuvunja influence ya Iran kwenye taifa lile.

Wakati obama alipotishia kutungua ndege za Israel zitakazojaribu kwenda kushambulia kinu cha nuclear cha iran, hawa Saudi Arabia waliwakubalia Israel wawape eneo la kuanzia mashambulizi ya anga.
 
Unadhani saudia atakomaa na hiyo bei ya mafuta mpaka lini imemshinda kwanza na mafuta yameanza kupanda bei hata marekani yameanza kuleta athari, na mafuta sio nyanya zile kusema yataoza watawekewa vikwazo we ila ipo siku yatatoka tu deposits ziko pale pale, au unaona iran kuwekewa vikwazo mafuta yataoza mkuu 2013
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.

Thank the USA for the technology you are using to spew your ignorance in these forums.

Ha ha ha hii nayo Kali aisee
 
OK mkuu na vipi kuhusu Georgia? hata kama proposal ilipelekwa lakini si walipiga kura wenyewe tena kwa asilimia nyingi wakakubali ku rejoin russia au unadhani kura zilipigiwa moscow!

Mkuu may be Gorgia , but case ya Gorgia sio sawa na ya Crimea.
 
Unadhani saudia atakomaa na hiyo bei ya mafuta mpaka lini imemshinda kwanza na mafuta yameanza kupanda bei hata marekani yameanza kuleta athari, na mafuta sio nyanya zile kusema yataoza watawekewa vikwazo we ila ipo siku yatatoka tu deposits ziko pale pale, au unaona iran kuwekewa vikwazo mafuta yataoza mkuu 2013

Ni kweli wachumi wali predict matokeo ya kudorora kwa mafuta kutadhihirika ifikapo may mwaka huu.
But USA nayo inauza mafuta.

Kisiwa cha UK nao wamegundua mafuta.

Qatar wako tayari kuuza gesi ulaya. Ikiwa Russia itaweka vikwazo gesi yake.gesi Imshakua Kiti cha basi. Ukishuka wanapanda wengine .
Ama wewe Susa sisi twala.

Russia haiwezi kuthubutu kwa sasa cause pesa ya ulaya ni nyingi kuliko ya China .

Nchini Russia hali imeanza kwenda doro. Investors wengi wamesepa. Hakuna mwenye nia ya kuwekeza Russian investors confidence ime go down. It means uchumi hapa lazima uporomoke zaidi.
 
Hata Kama russia wasipo uza ile ipo na bado wana gas nyingi kule Arctic region karibia 30% ya gas duniani ipo kule waache Qatar wauze tu, na jua kabisa kuitenga russia ni kufanya US dollar iondoke kwenye bussiness in a long term situation
 
mdau uko dunia ya wapi wewe, mwezi Mei unaisha jumapili na bei ya mafuta ghafi inaanza kuimalika.

Tenda ya kupeleka mafuta ulaya kwa Amerika inawezekana, lakini miundo mbinu na gharama za usafilishaji zitafanya gharama ya mafuta kuwa kubwa zaidi kuliko ile ya Urusi na nchi za mashariki ya kati. Ikumbukwe pia bidhaa zinazotokana na gesi & mafuta sio diesel, petrol na kerosine pekee. Kuna organic ingredients ambazo zinatumika katika viwanda vya uzalishaji, ambazo nchi za ulaya kama Ujerumani hawako tayari kuacha viwanda vyao vikose malighafi.
Kuhusu ugunduzi wa mafuta katika visiwa vya UK, ni mapema sana kuzungumzia kama mbadala wa Urusi katika kutoa mafuta. Kwani itachukua miaka 15-20 kufahamu sifa za kiuchumi kuhusu machimbo hayo.

Kwa kiwango gani inaweza kuuza ulaya.??? Na Qatar ina gesi tu, Urusi ina mafuta na gesi pia.

Hivi unafahamu uchumi wa nchi za ulaya ukoje sasa hivi.??? Unafahamu jumuiya ya ulaya inategemea sana maamuzi ya Ugiriki, kuvunjika au kuendelea.??? Hatma ya matumizi ya pesa ya euro unaifahamu.??? Unafahamu bunge la westminister kwamba ifikapo 2017 watajadili uwepo wa jumuiya ya EU kiuchumi.??? Unafahamu ni nchi ngapi ulaya zinaweza kuagiza mafuta & gesi kwa kutumia pesa zao wenyewe bila ya msaada wa EU.??? Pamoja na US dollar kuwa hazina ya dunia, unafahamu mitaji ya makampuni ya china katika viwanda na taasisi za fedha.??? Acha kubeza China, ni nchi yenye viwanda vingi duniani vyenye kutumia gesi & mafuta. Pia kuna mabenki yenye mitaji mikubwa ya kibiashara duniani. Stay on focus.!!!

Vikwazo kutoka nchi za magharibi ni kielelezo tosha kabisa kwa nchi kukomaa kisiasa na kiuchumi. Kwa mfano Irani, inazidi kuwa imara sana hata baada ya vikwazo kuendelea. Vikwazo hutoa fursa kwa nchi husika kuweza kubuni sera nyingi za kiuchumi na kimaendeleo.
Na kwa wakati huu, nchi zilizokuwa zikiamini sera za kikomunisti ndio zina uchumi imara zaidi kuliko upebari. Hii ni kutokana na sera za upebari kunufaisha wachache, husasani Amerika.

Mkuu asante kwa analysis yako. Naikubali kwa asilimia nyingi sana 90%
vilevile, lakini kuhusu Iran, I think hujajua tu. Hakuna nchi yenye nafuu kutokana na hivi vikwazo hata hiyo iran inayodhani iko poa. Ina hali ngumu.

Mpaka inajaribu kutengeneza bond na Venezuela ni kwakuwa hali ya hewa imeshaharibika.

Russia pia haiko poa vilevile.
Ulaya inaweza kuumia zaidi kuliko USA. But vikwazo ni vikwazo tu. Ndio maana Ay.ato.lla.h. wa Iran anaongeza pressure Mkutano ujao wa nuclear vikwazo vikome .

Thanx for propaganda. Ni ukweli ulio wazi kua IRAN INA minywa na vikwazo lakini inajaribu kuionyesha dunia kuwa haijatetereka.
Hii inalenga kuimarisha morale na stability ya serikali. Hata Putin anaifanya hii nchini kwake. Otherwise RAIA watamwambia tokaaaa.

Tusitake kuamini kuwa vikwazo havina negative impact wakati tunajua fika dunia ya Leo nchi na nchi tunategemeana.
 
Ndio, vikwazo vina madhara makubwa sana katika athari za uchumi wa nchi. Lakini pia unatakiwa kufahamu katika historia ya dunia hakuna nchi ama taifa lililosambaratika kutokana na kuwekewa vikwazo, sana sana ni kuyumba tu kiuchumi. Hayo ni mapito na matarajio kwa serikali yoyote ile ambayo iko kinyume na sera za nchi za magharibi. Kwa sasa, Irani ni taifa lenye sayansi na uchumi imara sana mashariki ya kati. Sera na mitazamo hasi juu ya uvamizi wa Israeli katika ardhi ya Palestina ndio umefitinisha uhusiano kati ya Irani na nchi za magharibi. Hadi Amerika kufikia hatua ya kutaka kuwarudisha kwao wanafunzi wenye asili ya Irani wanaochukua masomo ya energy, nuclear & atomic engineering kwa hofu ya Irani kupiga hatua kwa siku za mbeleni.
Kwa Urusi, hii iko wazi ni jitihada za Amerika katika kuzuia mtiririko wa rasilimali, kuzuia viwango vya utanuaji wa uchumi "economic diversification", kudhohofisha uwekaji akiba wa ndani na uwekezaji "domestic savings & investments" na hivyo kuathiri uzalishaji wa taifa "GNP" na pato la kila mtu wanahakikisha lipo katika kiwango cha chini kabisa. Putin anairudisha Urusi kwenye ramani, pamoja na propaganda zote za magharibi kupitia vyombo vyao vya habari kuaminisha ulimwengu ndivyo sivyo kuhusu Urusi.
Leo Urusi inaandaa mashindano ya kombe la dunia 2018, tukio hili litasaidia kufufua sekta ya utalii na hoteli nyingi za kifahari zilizofungwa kutokana na kuyumba kiuchumi zitaanza kufanya kazi. "Putin is a real president, I admire his tenacity to put Russia in the forefront of the international playground."

Hoja uliyoweka sio mpya, kwasbabu ndicho alichokisema rais Putin, kabla hawajaanza kumwekea vikwazo. Akaonya kua wakiweka wajue atascha kutumka dola, watayumba kwa muds lakini wstakuja kusimama wenyewe.
Panoja na hilo west hawakujali wakamshushia sanctions. China haikushiriki. Hata hivyo walijua China haitashiriki.
Na pia
Usisahau mji wa sochi uliojengwa kwa ajili ya olimpic michuano ilipoisha uligeuka ghost Town baada ya wazungu kusepa. Yakabaki majengo bila watu. Hadi fukwe zisizo na watu. Swimming pool zikajaa uchafu, majani yakaanza kuota kwenye majengo na njia,
Utaona gharama itakayotumika kurenovate itaongezeka. Kwani pameshakua useless. Na hakuna watu wakukaa humo.
Na sasa investors wamesepa Russia.

Utaona kuwa wests wanaanzisha vikwazo na Russia inalipa. Wakati huohuo Russia walijua kabla kuwa west wataweka vikwazo na walichukua hatua ya kuwaonya na west wanakua wameonywa na wanajua hali ya uchumi ilivyo na mahusiano ya Russian na ujerumani lakini wanaweka vikwazo. Kila taifa linasimamia EGO

So lets wait and see the what the future may hold . Nani kati ya west na Russia wanajua ku-gamble.

Pia sijasikia ukigusia chochote kuhusu Eurorussia economic countries
 
Kwenye dunia ya leo, kuutafuta ukweli utashtukia unadanganywa na kupewa conspiracy
Siku zote
Ukweli unatazamwa kwa macho kwasbabu ukweli haujifichi.ukweli hauna hila moyoni.
Swali Ni taifa gani linakoroma duniani. Jibu ni USA.
USA, USA.
P.didy, money maywether, Obama yooo, Michelle Obama, Rambo, anorld shwaEneegeer,
Mike iron Tyson, Muhammad ally, Beyonce,
Tiger woods, lil wyne, Drake, Riri , Jamie fox, Hollywood, red carpet, fast cars, Oscar awards, MTV awards, Michael Jackson, quince, john legend. billboard, UN HQ,
Lupita nyong'o Kenyan in USA soil.
Economy, social, power,
Fame, wealthy, Apple, Microsoft, yahoo, wrestling, john cena, the Rock-Dyne Johnson Romans Reign, Brock Lesnar, Randy Orton, MVP, jeff Hardy, micky james, James storm, etc

Linalofuata kwa kuteka fikra duniani. Jibu ni China. Upo hapo ?
Bidhaa feki, bidhaa orijino, population, linaongoza kwa uchafuzi wa hali ya hewa duniani,
Uchumi GDP,
Baba lao kwenye Brics,

Russia haipo..

Lazima ujue power ya media, na usidanganywe na nguvu hiyo. Ukisikia wanasema strongest man on the planet ni Tyson, unatakiwa kuwauliza really?

Unajua kuna watu wanakuwa kama wajinga wanasema Marekani kwa conventional war haiwezekani, as if maaudui wa Marekani watataka kupigana conventionally. Jaribu kuangalia jinsi walivyouawa Iraq, just home many of then got snipped.
 
Hoja uliyoweka sio mpya, kwasbabu ndicho alichokisema rais Putin, kabla hawajaanza kumwekea vikwazo. Akaonya kua wakiweka wajue atascha kutumka dola, watayumba kwa muds lakini wstakuja kusimama wenyewe.
Panoja na hilo west hawakujali wakamshushia sanctions. China haikushiriki. Hata hivyo walijua China haitashiriki.
Na pia
Usisahau mji wa sochi uliojengwa kwa ajili ya olimpic michuano ilipoisha uligeuka ghost Town baada ya wazungu kusepa. Yakabaki majengo bila watu. Hadi fukwe zisizo na watu. Swimming pool zikajaa uchafu, majani yakaanza kuota kwenye majengo na njia,
Utaona gharama itakayotumika kurenovate itaongezeka. Kwani pameshakua useless. Na hakuna watu wakukaa humo.
Na sasa investors wamesepa Russia.

Utaona kuwa wests wanaanzisha vikwazo na Russia inalipa. Wakati huohuo Russia walijua kabla kuwa west wataweka vikwazo na walichukua hatua ya kuwaonya na west wanakua wameonywa na wanajua hali ya uchumi ilivyo na mahusiano ya Russian na ujerumani lakini wanaweka vikwazo. Kila taifa linasimamia EGO

So lets wait and see the what the future may hold . Nani kati ya west na Russia wanajua ku-gamble.

Pia sijasikia ukigusia chochote kuhusu Eurorussia economic countries

Sio Russia peke yake amebaki na ghost towns. Karibu kila nchi inayoandaa either world cup au olympic. Angalia Brazil na viwanja vya WC. Greece na Olympic cities.

Kwanza naomba kukuuliza, unadhani USA atabaki juu milele? Halafu uangalie Case Studies za Roman Empire au Ottoman Empire.
 
USA hawezi kubaki milele, hata Tanzania yetu na ramani yake haitabakia hivi. Itakufa tu siku moja. Russia ya kisoviet jiografia imebadilika na ilikufa .
Na Bado......

Tatizo nionalo ni hoja hapa za kulazimisha tuamini kuwa USA inakwenda kufa. Mapema kuliko uhalisia.
Roman ilitawala .miaka 400 ikafa.
Ottoman ikaja ikatolewa kijeshi. Na kuzalisha mgogoro wa middle east.

USA Bado INA nguvu. Ya kuendelea na harakati duniani. Ni kama sioni taifa LA kuirithi USA. Mark my words.
I mean taifa la kuirithi USA
Je ni Russia ama ni china?... None

Kuamini Russia na China zitashirikiana. Bado haziwezi kushirikiana kihivyo kwasababu ya Ego. Na Bado hazitaweza kuvunja nguvu ya USA.
Duniani, labda kuimega.

Wakati wa vita baridi tulikua na Bipolar. Upande mmoja wa magharibi alikuwepo USA wa pili mashariki alikiwepo USSR.

USSR ikashindwa vibaya mwaka 90. Sasa tumebakia na USA.

Ili taifa lishinde linahitaji uchumi mkubwa,
millitary muscle, na influence.

USA owns it all.

God bless United States of America
 
[h=1]Russia offers to discuss BRICS prototype of SWIFT global system[/h] Published time: May 29, 2015 12:03
Edited time: May 29, 2015 17:35 Get short URL

rtx11v1j.si.jpg
Reuters/Leonhard Foeger

Tags
Finance, Russia and the global economy

The Central Bank of Russia (CBR) has proposed a discussion about establishing an analogue to the SWIFT global network for transmission of financial information that processes $6 trillion worth of communiqués daily.

Read moreRussia gets seat on SWIFT board
The CBR hopes to cut the risks of possible disruptions.
"Seriously speaking, there is no analogue to SWIFT at the moment in the world, it is unique. The only topic that may be of interest to all of us within BRICS is to consider and talk over the possibility of setting up a system that would apply to the BRICS countries, used as a backup," said Deputy Governor of the Central Bank of the Russian Federation Olga Skorobogatova on Friday.
Russia got seat on the SWIFT board in March, despite numerous threats from the US and its allies to disconnect Russia from the system.
Skorobogatova added that some changes have to be made to the legislative framework of SWIFT to make the company ‘supranational,' which would mean they wouldn't be obliged to follow sanctions or restrictions imposed by others.
In 2014, EU officials discussed banning Russia from SWIFT as a form of sanctions for its position in the Ukrainian conflict. SWIFT said then that "it had no authority'" to make sanctions decisions.
READ MORE: SWIFT: 'No authority' to suspend Russia, Israel from intl payments over sanctions
SWIFT is an international system of transmission of financial transactions. It has more than 10,000 of the world's largest organizations in 210 countries as clients. Every year SWIFT processes about 1.8 billion financial messages.
SWIFT is used in Russia by about 600 Russian banks and companies, which account for about 80 percent of payments in the country. Russia is the world's second biggest SWIFT-user after the United States.

http://rt.com/business/263161-russia-brics-swift-prototype/
 
USA hawezi kubaki milele, hata Tanzania yetu na ramani yake haitabakia hivi. Itakufa tu siku moja. Russia ya kisoviet jiografia imebadilika na ilikufa .
Na Bado......

Tatizo nionalo ni hoja hapa za kulazimisha tuamini kuwa USA inakwenda kufa. Mapema kuliko uhalisia.
Roman ilitawala .miaka 400 ikafa.
Ottoman ikaja ikatolewa kijeshi. Na kuzalisha mgogoro wa middle east.

USA Bado INA nguvu. Ya kuendelea na harakati duniani. Ni kama sioni taifa LA kuirithi USA. Mark my words.
I mean taifa la kuirithi USA
Je ni Russia ama ni china?... None

Kuamini Russia na China zitashirikiana. Bado haziwezi kushirikiana kihivyo kwasababu ya Ego. Na Bado hazitaweza kuvunja nguvu ya USA.
Duniani, labda kuimega.

Wakati wa vita baridi tulikua na Bipolar. Upande mmoja wa magharibi alikuwepo USA wa pili mashariki alikiwepo USSR.

USSR ikashindwa vibaya mwaka 90. Sasa tumebakia na USA.

Ili taifa lishinde linahitaji uchumi mkubwa,
millitary muscle, na influence.

USA owns it all.

God bless United States of America

Hapo naona hoja nyepesi sana kaka. Dunia ya leo kama unafanya vibaya kibiashara hata uwe na nguvu kiasi gani bado utawekwa pembeni. China wanamuweka pembeni US kwenye biashara sasa hivi na hapo BRICS haijawa na nguvu, what if BRICS leo hii ingekuwa na nguvu kama G20? Teknolojia ya vita siku hizi kuna mataifa kama Iran, India wanaweza kutengeneza zana zao za vita sasa US watamletea ubabe nani?

I bet in the next 30 years USA itakuwa nyuma ya India na China kiuchumi.
 
[h=1]US launched failed Stuxnet attack against North Korea in 2010 – report[/h] Published time: May 29, 2015 23:22 Get short URL

north-korea-us-stuxnet.si.jpg
Reuters/Denis Balibouse

250224

Tags
Hacking, Intelligence, North Korea, Nuclear, USA

US spies tried to infect North Korean computers with Stuxnet, the same virus used to disrupt Iran's nuclear centrifuges, but the attack was not successful, intelligence officials familiar with the campaign admitted to Reuters.
The attack took place in 2009 and 2010, parallel to the campaign against Iran. Reuters and several news outlets reported that that operation was as a joint effort by the US and Israel, although neither country has admitted it. According to one US intelligence source, Stuxnet's developers produced a related virus, activated upon encountering Korean-language settings on an infected computer.
However, US agents could not access the machines that ran North Korea's nuclear weapons program, a former intelligence officials briefed on the program told Reuters. The National Security Agency, implicated in the Stuxnet attack on Iran, declined to comment on the revelations.
Experts interviewed by Reuters said that North Koreans used the same systems as Iran, with P-2 centrifuges obtained by Pakistani nuclear scientist A.Q. Khan. In all likelihood, they said, the North Koreans used the same control software developed by Siemens AG, and ran Microsoft's Windows operating system. Stuxnet took advantage of vulnerabilities in both the Siemens and Microsoft software.
"Stuxnet can deal with both of them. But you still need to get it in," the agency quoted Olli Heinonen, senior fellow at Harvard University's Belfer Center for Science and International Affairs and former deputy director general of the International Atomic Energy Agency.

Read more​‘A lot of money rides on constant promotion of North Korean threat'
The revelations come as defector Kim Heung-Kwang told the BBC that North Korea had an army of 6,000 hackers and was creating its own malware based on Stuxnet. Kim was a professor at Hamheung Computer Technology University, before fleeing North Korea in 2004.
"[A Stuxnet-style attack] designed to destroy a city has been prepared by North Korea and is a feasible threat," Kim said. "Their cyber-attacks could have similar impacts as military attacks, killing people and destroying cities."
The US government blamed North Korea for the hacking of Sony Corp in December 2014, purportedly over a film depicting a plot to assassinate the North Korean leader Kim Jong-Un. US officials later hinted at "retaliatory" attacks that briefly shut down the country's internet access.
Some cyber-security experts have disputed the North Korean origin of the Sony hack, pointing to strong leads that the attack was the work of a disgruntled employee.
"We are very confident that this was not an attack master-minded by North Korea," Kurt Stammberger from the cybersecurity firm Norse told CBS News at the time. "Sony was not just hacked, this is a company that was essentially nuked from the inside."

Read moreStuxnet patient zero: Kaspesky Lab identifies worm's first victims in Iran
According to research by cybersecurity firm Kaspersky Labs, Stuxnet was introduced into Iranian nuclear facilities via two suppliers of equipment, Foolad Technical Engineering Co. and Behpajoah Co. Elec & Comp Engineering, who were targeted as early as June 2009. Kaspersky researchers traced the infection to five individuals, all of whom worked within industrial control systems and were somehow connected to Iran's nuclear program.
The existence of Stuxnet was first discovered in June 2010, following reports in the Israeli media of troubles at Iran's nuclear reactors. NSA whistleblower Edward Snowden later confirmed that the US and Israel were behind the attacks. Neither government has officially admitted responsibility.
 
Hapo naona hoja nyepesi sana kaka. Dunia ya leo kama unafanya vibaya kibiashara hata uwe na nguvu kiasi gani bado utawekwa pembeni. China wanamuweka pembeni US kwenye biashara sasa hivi na hapo BRICS haijawa na nguvu, what if BRICS leo hii ingekuwa na nguvu kama G20? Teknolojia ya vita siku hizi kuna mataifa kama Iran, India wanaweza kutengeneza zana zao za vita sasa US watamletea ubabe nani?

I bet in the next 30 years USA itakuwa nyuma ya India na China kiuchumi.

Ndio maana bulldog. Nikasema ili Uwe Super power unahitaji vifuatavyo..

Economic power
Military power,
Influence.

Sasa mpaka sasa USA beat them all.

Wananchi wa India, China, Brazil sio tajiri kama ulaya magharibi.
Kinachowapa moyo ni population kubwa waliyonayo ikiwa wataanya biashara.
Itabidi nije na takwimu hapa. Ni kweli China wanaganya sana biashara lakini hilo ni swala la kushindana na la muda.
Wachina wengi ni maskini.wamarekani wenhi mabilionea.
 
USA yupo hapo kwasababu ana Influence tu kwasababu anatumia International Organisations ku- exert his agenda. Ana media ambayo inadanganya wengi sana kama wewe.
 
USA yupo hapo kwasababu ana Influence tu kwasababu anatumia International Organisations ku- exert his agenda. Ana media ambayo inadanganya wengi sana kama wewe.

USA yuko kwa vyote vitatu
Kwa ujumla Media zao hazidanganyi.
Ila kila nchi inakawaida ya kutumia media Ku-serve his own purpose.

Hata China ama Russia wanafanya hivyohivyo hata TBC ya Tanzania zinafanya hivyo hivyo . na ndio zinazo walipa kwa kazi hiyo. That is what best for business .
So kama ulidhani hakuna nchi inafanya hivyo ama haitakiwi, basi ulikuwa wrong.

Militarily USA ni karibu nusu ya bajeti ya jeshi ya dunia nzima. Inafuatiwa kwa mbali saaana na China, kisha Russia ambao ndio.nyuma kabisa.
USA INA air craft career zipatazo 13 hakuna nchi duniani imefikisha hata nusu ya hizo za USA. Russia Wana kama 2 za zamani. Na moja walikua wameinunua nchi Fulani ya magharibi ambako inaundwa nadhani ni france, ikapelekea mabishano kwenye NATo, ikiwa wauziwe.ama isiuzwe. manake NATo ilikua na mashaka kua inaiuzia Russia aircraft career ambayo inaweza kutumiwa kuwapiga wao, baada ya dalili za vita kujitokeza.

Na kinachofanywa na mataifa duniani kuuziana silaha si dalili ya weakness bali ni mkakati maalumu wa nchi husika kuepuka kupitwa na wakati. Ili aendane na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia duniani katika jeshi. Ndio maana utaweza ona hata USA inaweza nunua silaha russia ama china ama viceversa
Au china ikanunua silaha Russia. Kama vile china ilivyotaka kununua ndege za kivita kwa Israel. USA akakwamisha dili ili Ku protect technology. Ilibidi amlipe China pesa nyingi kama fidia za kuvunja mkataba wale na israel.

Na utaona Wakati USA inawaza kupunguZa bajeti ya jeshi, China wanawaza kuongeza.

Pengine basi kwakuwa USA amekua polisi wa dunia kwa muda mrefu sasa na ikiwa atapunguza bajetibya jeshi lake,
Kuna mawili yanaweza kujitokeza; Either akaboresha uchumi wake ukazidi kupaa na kuwa na nguvu
Ama umuhimu wa USA duniani unaweza ukapungua kwakua atazimika kujitoa kwenye operation mbalimbali za kijeshi duniani kwasababu ya bajeti finyu na kupelekea mataifa mengine kufanya maamuzi makuu bila kumtegemea. Carrot here stick there .
..Na utagundua hilo la kukuza Uchumi ndio wanalipa kipaumbele zaidi

China mpaka sasa anatanua bila friction.itakuaje akianza kupata friction kama ilivyo usa ?

Sasa nikiangalia purchasing power ya RAIA wa USA ime surpass uwezo Wa wachina kwa mbali sana.
Pia utaona usa iko vitani mara nyingi zaidi wakati China imepumzika haina uzoefu wa vita ya aina yoyote. Tangu world war .
Wanajeshi waliopigana vita China wameshakufa ama wazee sana.
Angalau wasomali wanapigana vita kila siku.

Russia angalau amepigana vita karibuni.

Jeshi la kisasa zaidi duniani ni la usa.
Mifumo ya anga ya ulinzi iliojuu duniani ni ya USA. Hata hivyo hivi sasa yameibuka madai kutoka China na Russia zinataka kugawana. Lakini USA Bado anasita .ingawa madai yako mezani.

Kwenye jeshi angalau Russia iko fiti kupigana na USA. Lakini sio China
Nimeona umeposti taarifa inayoonyesha USA wameshindwa kwenye kurusha kombora fulani hapo juu .
Nataka kukuhakikishia kuwa kwa sasa nchi kama USA peke yake haiwezi kupigwa na Russia wala china hata zikiwa pamoja.
Na kufeli kwa majaribio yoyote ni jambo la kawaida katika sayansi and technology.
Kumbuka hizi ni siri za kijeshi zaidi.
The most secrets military program huwa hazitolewi na news wala media yoyote. Hii iko kwa nchi zote iwe China, Russia hata USA na ndio maana USA inatabia ya Ku spy kwenye anga la Russia na China. Ikiwemo vitendo vya kufanyiana ujasusi. Na cyber stealing.
Pia usisahau ukweli kuwa baada ya hii ishu ya Ukraine. Russia amekua akirusha madege yake kwenye anga la
ulaya na USA. Na kuzusha maswali kwa west Mara kwa Mara. Na kutangaza kuwa amegundua hiki ameboresha kile.

Hii inaweza kua dalili ya uoga wa putin akihofu USA inaweza kuwashambulia ghafla. An chonga ili kujenha hofu asipigwe.
USA ni NATO na NATO ni USA. And an injury to one is an injury to all.

Cause waziri wa Putin alimwambia Putin kua bajeti ya russia haiwezi kuunda aircraft carrier ndani ya muda huu mfupi na vikwazo. Hali ni mbaya.

Hata hivyo Kumbuka tu mkataba wa MAD(Mutually Assured Destruction) ulitiwa saini miaka mingi. Na huu mkataba umebeba ukweli wa hii dunia kuwa vita ikitokea hakuna atakayebaki salama.

Ukiona USA anapigana na hizo nchi za arabuni kama iran Iraq, ni kwasababu ni project inayoweza kutekelezwa kwa silaha za kawaida na kukamilika bila kuwaletea USA na dunia madhara Makubwa.
Kiuchumi na kijeshi.
 
Mkuu naona unachangia kimahaba sana, Nitajibu upande mmoja tu wa Aircraft carrier. Usha wahi kujiuliza ni kwa nini Russia hana? Au unazani anashindwa kuwa nazo? Juzi kati alimuuzia India moja, elewa kwamba Aircraft Carrier ni kwa vita ndogo ndogo kama hizi za kupigana na Iraki au Libia, kamwe usizani Vita kubwa unaweza kutumia hizo vitu.
Strategically Aircarft Carrie ni kwa ndege ambazo ni fighter, ila ndege kana TU-150 hazihitaji kutua kwenye meli kwa sababu inauwezo kurusha kombola umbali wa km hadi 10,000.
Na USA mwenyewe anajua kabisa Aircrft carrie zake hawezi zitumia kwa vita kubwa kwa sababu pia zitadondoshwa sekunde na yeye apate hasara kubwa sana.

KUHUSU RUSSIA KURUSHA NDEGE ZAKE ULAYA.
Hapo anafanya mazoezi na uliza kuhusu Black Hole Nyambizi ya Urusi ambayo hiwa inapiga misele hadi pwani ya Miami kule USA na wamerekani huja kugundua baada ya kuwa imeisha ondoka.

Ndege ya kawaida kabisa ya Urusi kama sikosei ni Su 23 ili weza kulea kudisable mawasiliano kwenye meli ya kisasa kabisa ya USA.

Hivyo tambua kwamba strategically Russia hahitaji Aircrft carries kwa sababu hana mpango kwenda kupigana na vinchi vidogo na kwa major war Russia anaweza wapiga hao NATO akiwa Moscow.
 
mkuu unadhihirisha kuwa wewe upo kwenye club ya propaganda:becky:.. unaposema Russia haihitaji Aircraft careers, wakati Ukweli the demand is higher than normal. style ya uandishi tu, inadhihirisha jinsi ulivyona na mahaba ya dhati na Russia. .:becky:.unajivika hadi upande wa maamuzi.

Aircraft careers zinahitajika sanasi kwa russia tu. hata hina inazihitaji. japo usa waatakakuipumzisha moja wapo ya aircraft ya george washington kwasababu ya gharama.

pitia hizi link kwa muda wako.. hiii ni general fact tu....
hapa chini ni dili la Rusia na France, ambapo France wanaiuzia Russia Air craft career.

NATO Treads Carefully on French Deal With Russia | Defense News | defensenews.com.

Russia claims it's developing massive aircraft carrier - Business Insider

NB: William Cohen was
fond of saying that without "flattops" the U.S. has "less of a voice, less of an influence."
.

KUHUSU RUSSIA KURUSHA NDEGE ZAKE ULAYA.
Hapo anafanya mazoezi na uliza kuhusu Black Hole Nyambizi ya Urusi ambayo hiwa inapiga misele hadi pwani ya Miami kule USA na wamerekani huja kugundua baada ya kuwa imeisha ondoka.

ujiulize ni mara ngapi USA imefanya ujasusi nchni Russia.? Nani ni mchokozi kwenye Ujasusi katika Anga kati ya Russia na USA na China?-:horn: Ukipata jibu ni USA basi ujue huyo ndio pioneer wa hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom