US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

Hivi kwa akili yenu kabisa mnaona marekan anaweza akampa Ukraine makombora ya masafa marefu yanayoweza kushambulia hadi ndani ya mipaka ya urusi kweli?

Kama tu kupeleka mfumo wa kujikinga na makombora na no flying zone mpaka leo hawajapeleka Ukraine kwa kuhofia kuibua vita kubwa baina ya Russia na USA leo hii ndo mnafikri kuwa USA anaweza peleka hayo makombora kweli?

USA siyo mjinga mjinga hivo kwenye medali za kivita kama vichwa vyenu vinavyofikiri.
Anachokifanya sasahivi nikumpaka mgonjwa uji mdomoni kisha anaurudisha kwenye bakuri uendelee kupoa.

Anaesubiri hayo makombora yafike Ukraine nisawa na kusubiri kuokota parachichi kwenye mkungu wa ndizi.
 
Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
Hakuna unachoongea yaani ni bangi tupu..!!
 
Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
Hata chanjo walizotumia walipozaliwa ni msaada wa Marekani

Dawa za Ukimwi

Dawa za malaria

Net za mbu
 
Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
Mkuu ukiitaja Marekani unazungumzia zaidi ya nchi 30 duniani tena mataifa yenye nguvu zaidi duniani, hili liweke katika akili yako labda umepepesa
 
Maskini usichokijua nikwamba RUSSIA anainternet yake inayojitegemea
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ana Internent yake inajitegemea mbona kapigwa pin vyombo vyake vya habari na hakuna kitu kafanya? Hebu jisomee hapa chini

"Russia even has its own suite of Microsoft-style office software, but experts said the efforts have fallen far short of Putin's goals. A Russian official said last week the country had no plans to disconnect from the internet.15 Mar 2022"
 
Unawasema pro-Russia lakini na wewe maandishi yako yanaonesha ni pro-west/Amerika ingawa wote tupo Mtoni kwa Azizi Ali na wote tunajifurahisha; ajabu sana
Yes mimi ni Pro West kwani hili nalo ni siri? Au umeanza leo kunijua msimamo wangu
 
Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine

1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...

2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?

3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?

Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....

Link

View attachment 2241675
We are tired with Russian federation let this happen.
 
The Polish army has begun deploying its troops along the Ukrainian border to occupy western Ukraine. Belarus's president has said that if #Poland launches a military operation in #Ukraine, #Belarus will launch an offensive in the western part of the country.
#UkraineRussiaWar https://t.co/rVNl4tjzsn
20220528_141056.jpg
 
Kama ana Internent yake inajitegemea mbona kapigwa pin vyombo vyake vya habari na hakuna kitu kafanya? Hebu jisomee hapa chini

"Russia even has its own suite of Microsoft-style office software, but experts said the efforts have fallen far short of Putin's goals. A Russian official said last week the country had no plans to disconnect from the internet.15 Mar 2022"
Kua na internet yakuzuii kutotumia net ya wengine
Hvyo vyombo vyahabari vinafungiwa kwenye mitandao mfano JF IG nk
Au unadhani habari za RUSSIA zinakuja kwa barua!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndo yale mahaba tunayozungumzia kila wakati. US ana nini ambacho Russia hana au unafikiri Russia hawezi anzisha internet yake. Wamemfungia GPS ila anatamba hewani kama kawaida na GPS yake
Wewe hebu nenda katumie hiyo internent ya Russia kama ipo,yani unazomoka hapa 24/7 kwa msaada wa Internent ya US halafu waleta madharau.Hiyo GPS ya Russia ndiyo imekufanya u login in hapa JF?
 
USA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa

Russia sio kwamba hawezi kuwafumua Washington DC ila hataki lawama za kuja kuonekana ndio alianzisha vita kwahio alipe madeni.
Kahawa chungu sana hii,hebu tengeneza walau Cappuccino
 
Back
Top Bottom