US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

Bado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media.

Tamaa ya US ilikuwa Urusi ishindwe kabisa, na Ukraine warejeshe eneo la Crimea ili US aweke kambi zake pale. US failed in its mission kitu kitakachomkosesha Urais Biden na wademocrat wenzake. Ukraine atajikuta anajitibu majeraha ya kugeuzwa kifusi baada ya kudanganywa na CIA kuwa ni mmarekani atakayekuwa anapigana. Urusi naye atakuwa kapoteza kwa kubakia na vikwazo, pamoja na kupoteza wanajeshi na vifaa vitani.
 
sio hoja simcard ikitoka najiunga nao
Si mpaka watoe hiyo sim card kama hata huo uwezo wanao.Endelea kutoa povu hapa huku ukilipia huduma ya Internent kwa US baba lao.Halafu hiyo pesa ndiyo inakwenda kumtandika Boss wako kiumbe mfupi mzito pale Kremlin
 
Haya ni maoni binasfi ya Pro Russia military analyst ambae hajawi hata kushika gobole kutoka Kilongawima
 
Si mpaka watoe hiyo sim card kama hata huo uwezo wanao.Endelea kutoa povu hapa huku ukilipia huduma ya Internent kwa US baba lao.Halafu hiyo pesa ndiyo inakwenda kumtandika Boss wako kiumbe mfupi mzito pale Kremlin
hagusiki
 
Yes mimi ni Pro West kwani hili nalo ni siri? Au umeanza leo kunijua msimamo wangu
Basi waache pro-Russia nao kujiachia, usiwashambulie kwa maneno wakati wewe unayo mahaba na West, waache nao wenye mahaba na Russia waseme wanacho kiamini
 
Back
Top Bottom