MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,729
- 4,999
Narudia tena kuuliza...wazungu wanaajenda yao kwenye mzozo wa Ukraine au ni ubinaadamu tu wa kupinga Ukraine kuonewa?
Hatimaye waziri mkuu wa uingerezani
Bwana Boris naye anamtazamo kama wa USA wa Ukraine kupewa mizinga itakayo muwezesha Ukraine kushambulia mamia ya maili....
Swali fikirishi wazungu Kuna wanalolipanga dhidi ya Russia?
Nini kitatokea iwapo Ukraine atapata uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya Russia?
Majibu yote haya yatapatikana
Ni swala la muda
Na muda ndio shahidi muhimu
Link[emoji116][emoji116]
www.theguardian.com

Boris Johnson calls for Ukraine to be sent more long-range rocket systems
Prime minister says MLRS rockets can help embattled forces but stops short of UK offering M270 system