HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,939
- 102,696
Sisi tunapeleka silahaPropaganda! Marekani hawezi kufanya hilo kosa hata kidogo kwani linaweza kuhatarisha kambi zake nyingi za kijeshi zilizosambaa duniani
Sisi tunapeleka silahaPropaganda! Marekani hawezi kufanya hilo kosa hata kidogo kwani linaweza kuhatarisha kambi zake nyingi za kijeshi zilizosambaa duniani
Aiseeee Urusi hawezi kituKumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
Nakumbuka pale ulipokuwa unatuletea kile ki ramani na ukatuambia Kyiv inakwenda kuwa majivu ndani ya masaa machache yajao hiyo ilikuwa Machi,pia ukatuambia yule Sniper ameuwawa,hukuishia hapo ukaja na kipicha kuwa General wa US amekamatwa mateka na RussiaNakumbuka ile mizinga mliokuwa mnaisifia na kusema urusi itakoma
baadae ile mizinga ikakutana na kitu kizito
Safari mmekuja na jipya tena
Nitakuwa wa kwanza kuleta picha haya makopo yatakapo chakazwa

.Sote tunajua matokeo ya zile habari,leo hatuwezi kukuamini kamwe kwa hiki unachosema,tunajua habari zako kwa 100 huwa hazina ukweli.Another one in denial, nimeshasema mko vizuri katika kujitungia habari vichwani mwenu.Ni vizuri kwakuwa zinawafanya mjisikie ahueni baada ya failure kubwa ya huyo mnaemshabikia kule Ukraine.Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
eti Marekani inageuka majivu ... Hahahahaha unatia aibu tu humu.


yupo na yule mwenzie wa Kyiv kuwa majivu,hata aibu huwa hawaoni kudanganyaya zelenky ana lalamika kiev iligeuzwa majiv wanajeshi wengi waliuwa kama kuku hasa pale bucha ukraine ikapotosha eti urusi imeua raiaNakumbuka pale ulipokuwa unatuletea kile ki ramani na ukatuambia Kyiv inakwenda kuwa majivu ndani ya masaa machache yajao hiyo ilikuwa Machi,pia ukatuambia yule Sniper ameuwawa,hukuishia hapo ukaja na kipicha kuwa General wa US amekamatwa mateka na Russia.Sote tunajua matokeo ya zile habari,leo hatuwezi kukuamini kamwe kwa hiki unachosema,tunajua habari zako kwa 100 huwa hazina ukweli.
Hii comment kama watatumia akili zao kuisoma hawa Pro Putin basi watqongeza kitu cha maana vichwani mwao,lakini kwakuwa wamegubikwa na Chuki na ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu,wataishia kutoa povuMahaba ni upofu.
Kila mtu anajua huu mgogoro umechochewa kwa kiasi kikubwa na USA, sasa mpaka sasa unadhani ni nani anapoteza na ni nani anazidi kupata.
Us yupo kwake anajenga uchumi wake uku akifuatilia kwa karibu kile alichokiplant.
Kumbuka US ametenga bajeti ya $ 40bil kuendesha vita ya Ukraine vs Russia mpka kufikia October 2022.
Umejiuliza ni kwanini mpaka sasa vita bado inaendelea na mpaka sasa Russia ameshindwa kuiyeka Ukraine?
Siku zote mlipa zumari ndio huchagua nyimbo, mpaka sasa US ndio muamuzi wa hii vita juu ya nani aahinde au lini vita iishe.
In fact Ukraine ni big loser kwa sasa ila umejiuliza mpaka sasa Russia kapoteza kiasi gani? Je! Mpaka kufikia October Russia atakua kapoteza vingapi.
Kama nilivyokuambia mwanzo (Mlipa zumari ndio huchagua nyimbo) Je! Huuu mlipa zumari (USA) anataka nani apoteze?
Tuendelee Kula mtori muda sio mrefu tutafika kwenye nyama.
Kama watu tutakuwa tunatafakari na sio kuwaza kishabiki tungeomba hii vita iishe na Russia ayarudishe majeshi yake kwake na kuwe hakuna mshindi. Ila kwa ujuha wa walio wengi kuishabikia Russia kuendelea kuikalia Ukraine wakizani kuwa wanaikomoa USA kumbe wanaipalilia mipango ya USA izidi kufanikiwa. Kumbuka plane ya USA ni kuakikisha hii vita inachukua muda mrefu pasipo kuisha na pa kuanzia Kesha tenga $ 40 billion kusaport vita mpaka October
Russia hawezi kujaribu kurusha hata jiwe ndani ya USKumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine
1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...
2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?
3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?
Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....
Link
View attachment 2241675
Kila nikisoma comment za Pro Russia naishia kucheka,mwingine hadi kaamua kuweka majambia mwanzo na mwisho wa comment zakenyie mangombe mnatia aibu


ya zelenky ana lalamika kiev iligeuzwa majiv wanajeshi wengi waliuwa kama kuku hasa pale bucha ukraine ikapotosha eti urusi imeua raia
Makamanda wa usa wamekamatwa hilo lipo wazi kijana


Another one in denial,nakukumbusha tena American Embassy pale Kyiv iko wazi na wanaendelea na kazi zao kama kawaida,same kwa balozi zote za Nchi za NATO.Hayo majivu yatakuwa yapo Kyiv ya Msanvu Morogoro 
.me mwenyewe nmeshangaa kwakweli ..kuna watu sijui haya mataifa makubwa sijui wanayachukuliaje , linapokuja swala la russian and amerika vita yake embu watu mjalibu kukaa tuu kimya mana kuna ambao wanaongea pumba tuu kwa kukosa uelewa ..na uyu shenzi mmarekani nadhan anakitu kizito kingine cha surpplies anataka kuonyesha dunia kama alivyoshangaza pale japan ..eti Marekani inageuka majivu ... Hahahahaha unatia aibu tu humu.
Kwenye vita kuna miji amabayo ipo strategy sana. Tukaona tuanze na miji henye bandari kwanza ili tuwaletee njaa na kiifunga Ukraine asifanye biashara. Sasahivi kilanja wenu njaa imemkaba anaishia kubweka tu kama mbwakokoAnother one in denial,nakukumbusha tena American Embassy pale Kyiv iko wazi na wanaendelea na kazi zao kama kawaida,same kwa balozi zote za Nchi za NATO.Hayo majivu yatakuwa yapo Kyiv ya Msanvu Morogoro
.
Hizo habari zingine ni pure blah blah!
Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.me mwenyewe nmeshangaa kwakweli ..kuna watu sijui haya mataifa makubwa sijui wanayachukuliaje , linapokuja swala la russian and amerika vita yake embu watu mjalibu kukaa tuu kimya mana kuna ambao wanaongea pumba tuu kwa kukosa uelewa ..na uyu shenzi mmarekani nadhan anakitu kizito kingine cha surpplies anataka kuonyesha dunia kama alivyoshangaza pale japan ..
Another one in denial,kilichokuwa kinawaleta Kyiv ni nini siku za mwanzo wakaishia kuwa majivu wao pamoja na vifaru vyao? Siku US ikiwa na njaa kubwa basi Russia wote watakuwa wameshakufa kwa hiyo njaa,hapo sijasema kuhusu wewe uliyeko hapa Bongo kwa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambako hata uwezo wa kutengeneza tooth pick hatuna.Kwenye vita kuna miji amabayo ipo strategy sana. Tukaona tuanze na miji henye bandari kwanza ili tuwaletee njaa na kiifunga Ukraine asifanye biashara. Sasahivi kilanja wenu njaa imemkaba anaishia kubweka tu kama mbwakoko
Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.

..embu apo kwanza nchekeHio internet ya USA tunatumia bule???Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
baada ya urusi kujiondoa kiev ndo wakapiga usafi lakin bado magofu yapoAnother one in denial,nakukumbusha tena American Embassy pale Kyiv iko wazi na wanaendelea na kazi zao kama kawaida,same kwa balozi zote za Nchi za NATO.Hayo majivu yatakuwa yapo Kyiv ya Msanvu Morogoro
.
Hizo habari zingine ni pure blah blah!
Hatutumii bure tunalipia,sasa huyo Russia si alete na yeye atuuzie ili tuamini U super power wake kama hiyo jeuri anayo.Kafungiwa tu hapa habari zake,kaishia kugugumia kimya kimya.Hio internet ya USA tunatumia bule???
Mmarekane yeye internet anafanya biashara na kama ana ubavu afunge alafu tuone atakula wapi
Hebu kwanza nicheke,walijiondoa au waligeuzwa majivu wao na waliobaki wakakimbia.Hivi wale waliokuja kuuteka uwanja wa ndege waliishia wapi vilebaada ya urusi kujiondoa kiev ndo wakapiga usafi lakin bado magofu yapo

