Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,859
Mnapeleka silaha hola kichapo kinaendelea; punfe si punde watu watatelekeza jimbo la LuhanskSisi tunapeleka silaha
Mnapeleka silaha hola kichapo kinaendelea; punfe si punde watu watatelekeza jimbo la LuhanskSisi tunapeleka silaha
Ngano na internet nini muhimu?Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
Hata iende mpaka 2030 RUSSIA alijiandaa kabla yaoMahaba ni upofu.
Kila mtu anajua huu mgogoro umechochewa kwa kiasi kikubwa na USA, sasa mpaka sasa unadhani ni nani anapoteza na ni nani anazidi kupata.
Us yupo kwake anajenga uchumi wake uku akifuatilia kwa karibu kile alichokiplant.
Kumbuka US ametenga bajeti ya $ 40bil kuendesha vita ya Ukraine vs Russia mpka kufikia October 2022.
Umejiuliza ni kwanini mpaka sasa vita bado inaendelea na mpaka sasa Russia ameshindwa kuiyeka Ukraine?
Siku zote mlipa zumari ndio huchagua nyimbo, mpaka sasa US ndio muamuzi wa hii vita juu ya nani aahinde au lini vita iishe.
In fact Ukraine ni big loser kwa sasa ila umejiuliza mpaka sasa Russia kapoteza kiasi gani? Je! Mpaka kufikia October Russia atakua kapoteza vingapi.
Kama nilivyokuambia mwanzo (Mlipa zumari ndio huchagua nyimbo) Je! Huuu mlipa zumari (USA) anataka nani apoteze?
Tuendelee Kula mtori muda sio mrefu tutafika kwenye nyama.
Kama watu tutakuwa tunatafakari na sio kuwaza kishabiki tungeomba hii vita iishe na Russia ayarudishe majeshi yake kwake na kuwe hakuna mshindi. Ila kwa ujuha wa walio wengi kuishabikia Russia kuendelea kuikalia Ukraine wakizani kuwa wanaikomoa USA kumbe wanaipalilia mipango ya USA izidi kufanikiwa. Kumbuka plane ya USA ni kuakikisha hii vita inachukua muda mrefu pasipo kuisha na pa kuanzia Kesha tenga $ 40 billion kusaport vita mpaka October
Basi waache waendelee kupigana hamna shida kwani sisi ndio tunaokufaNimegundua mashabiki wa Urusi ni watu makatili Sana hadi Huwa nawashangaa kumulaumu Rais wa Ukurein et kwa nini hajasalenda Yan mtu amevamiwa kwake kupigana ili kumwondoa adui imekua shida.
Pia wakubali tu huu ndo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
US anaweza attack RUSSIA main land !!!??Urusi hawezi attack US mainland,
Kwanini arushe jiwe ndani ya US !!?Russia hawezi kujaribu kurusha hata jiwe ndani ya US
Maskini usichokijua nikwamba RUSSIA anainternet yake inayojitegemeaHatutumii bure tunalipia,sasa huyo Russia si alete na yeye atuuzie ili tuamini U super power wake kama hiyo jeuri anayo.Kafungiwa tu hapa habari zake,kaishia kugugumia kimya kimya.
Na hakuna wa kupigwa na marekani Dunia ya Sasa labda libyaHakuna wakumpiga Marekani dunia ya Sasa.
Unawasema pro-Russia lakini na wewe maandishi yako yanaonesha ni pro-west/Amerika ingawa wote tupo Mtoni kwa Azizi Ali na wote tunajifurahisha; ajabu sanaPro Russia in denial,mko vizuri sana katika kuzifurahisha nafsi zenu,subirini pale Putin atakapofungasha virago kwa aibu Ukraine ndiyo mtajua kuwa aliuvaa mkenge Ukraine.Nakumbusha tunaelekea mwezi wa nne sasa kutoka lengo letu la 72hrs special Operation![]()
hahahaaa masaa 72 mpk 4mnthsPro Russia in denial,mko vizuri sana katika kuzifurahisha nafsi zenu,subirini pale Putin atakapofungasha virago kwa aibu Ukraine ndiyo mtajua kuwa aliuvaa mkenge Ukraine.Nakumbusha tunaelekea mwezi wa nne sasa kutoka lengo letu la 72hrs special Operation![]()
hata cnn wanajua kuwa urusi ilijiondoa kiev na kusema ukweli pale bucha wanajeshi wa ukraine walichinjwa wengi aiseeHebu kwanza nicheke,walijiondoa au waligeuzwa majivu wao na waliobaki wakakimbia.Hivi wale waliokuja kuuteka uwanja wa ndege waliishia wapi vile![]()
Uzuri hizo hela zinakuja kwa mfumo wa silaha ambazo zikitua mpakani tu zinageuzwa majivu😅😅😅Mahaba ni upofu.
Kila mtu anajua huu mgogoro umechochewa kwa kiasi kikubwa na USA, sasa mpaka sasa unadhani ni nani anapoteza na ni nani anazidi kupata.
Us yupo kwake anajenga uchumi wake uku akifuatilia kwa karibu kile alichokiplant.
Kumbuka US ametenga bajeti ya $ 40bil kuendesha vita ya Ukraine vs Russia mpka kufikia October 2022.
Umejiuliza ni kwanini mpaka sasa vita bado inaendelea na mpaka sasa Russia ameshindwa kuiyeka Ukraine?
Siku zote mlipa zumari ndio huchagua nyimbo, mpaka sasa US ndio muamuzi wa hii vita juu ya nani aahinde au lini vita iishe.
In fact Ukraine ni big loser kwa sasa ila umejiuliza mpaka sasa Russia kapoteza kiasi gani? Je! Mpaka kufikia October Russia atakua kapoteza vingapi.
Kama nilivyokuambia mwanzo (Mlipa zumari ndio huchagua nyimbo) Je! Huuu mlipa zumari (USA) anataka nani apoteze?
Tuendelee Kula mtori muda sio mrefu tutafika kwenye nyama.
Kama watu tutakuwa tunatafakari na sio kuwaza kishabiki tungeomba hii vita iishe na Russia ayarudishe majeshi yake kwake na kuwe hakuna mshindi. Ila kwa ujuha wa walio wengi kuishabikia Russia kuendelea kuikalia Ukraine wakizani kuwa wanaikomoa USA kumbe wanaipalilia mipango ya USA izidi kufanikiwa. Kumbuka plane ya USA ni kuakikisha hii vita inachukua muda mrefu pasipo kuisha na pa kuanzia Kesha tenga $ 40 billion kusaport vita mpaka October
Haya ndo yale mahaba tunayozungumzia kila wakati. US ana nini ambacho Russia hana au unafikiri Russia hawezi anzisha internet yake. Wamemfungia GPS ila anatamba hewani kama kawaida na GPS yakeYani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
USA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa 😅😅😅Muda sio mrefu maroketi yataanza kutua kwenye miji mikubwa ya Russia....USA ameamua kuweka chuma moto uwake![]()