US to purchase of medium- to long-range surface-to-air missile defense system for Ukraine

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
2,994
6,641
The US plans to announce as soon as this week that it has purchased an advanced, medium-to-long-range surface-to-air missile defense system for Ukraine, a source familiar with the announcement tells CNN.

President Joe Biden, who is currently meeting with G7 leaders in Germany for a summit primarily focused on Ukraine, recently announced that the US would provide Ukraine with "more advanced rocket systems and munitions" as its war with Russia grinds on. Ukrainian President Volodymyr Zelensky is slated to virtually address Biden and other G7 leaders on Monday.

In response to requests by Ukrainian forces, other military assistance is also likely to be announced this week, including additional artillery ammunition and counter-battery radars.

Ukrainian officials have asked for the missile defense system, known as a NASAMS system, given the weapons can hit targets more than 100 miles away, though the Ukrainian forces will likely need to be trained on the systems, a source said.
 
1656314663274.png

Huu Mtambo Himars umepelekwa Ukraine na USA lakini naona mambo yanazidi kuwaendea vibaya Ukraine.

Sasa wamekimbilia NASAMS ni dalili tosha Himars haujafurukuta.
 
View attachment 2274038

Huu Mtambo Himars umepelekwa Ukraine na USA lakini naona mambo yanazidi kuwaendea vibaya Ukraine.

Sasa wamekimbilia NASAMS ni dalili tosha Himars haujafurukuta.
Sidhan kama upo sahihi, NASAMS na HIMARS ni mifumo miwili tofauti kabisa kiutendaji lakini zinaweza fanya kazi katika mazingira ya pamoja. NASAMS inaweza tumika kulinda assets nyingine kama HIMARS dhidi ya mashambulizi ya makombora. NASAMS ni very advanced, na inapelekwa ukraine kulinda assets nyingine hasa ikizingatiwa mifumo mingine ya ulinzi wa anga inayotumiwa na UKRAINE mfano S-300 inakabiliwa na shortage of missiles, na viwanda vingi vya hzo missiles za S-300 vipo RUSSIA.
 
Thank you Mkuu.

Nafikiri Mrusi anawatoa jasho EU & US
 
Thank you Mkuu.

Nafikiri Mrusi anawatoa jasho EU & US
Ukraine anashambuliwa, Ukraine anajikinga asishambuliwe nawaza kwa mfano Ukraine angekuwa anarusha makombora ndani ya Urusi je hali ingekuwaje.......
 
Back
Top Bottom