Us Green Card Lottery

I am waiting for the results
Dreaming of Iowa where I used to be
 
Kuna aliye pata majibu maana mm naona mtandao upo busy sana...
 
Baadaya ya kuapply ile form ya D-260... Majibu ulipata baada ya mda gan?
 
Mkuu we utakua mzee sana,toka 2007 upo kwenye forum hadi leo na mada zako za ujana kinoma
 
Kipindi hiko kabla jamii forum haijvamiwa na wala tunda kimasihara
 
Mkuu,ulifanikiwa kufika U.S.A....unafanya shughuli gani kwa sasa?
 
Acha ujinga wewe!!! Hunijui nani alikudanganya kuna umri huwezi kuingia online? 😳😳😳😳

2007 bila miaka 30 huwezi kuingia online.......upo kwenye 40+
 
Acha ujinga wewe!!! Hunijui nani alikudanganya kuna umri huwezi kuingia online? 😳😳😳😳
Haha msamehe bure tu ! Mimi nakumbuka naingie kwenye internet cafΓ© hata kushika mouse yenye kigoroli hile ilikuwa tabu ..

na site nilikuwa naitembelea ya bongo ni muzibo.com kabla ya hiyo kulikuwa na nyingine

inaitwa marafiki chat sijui ile mpaka u install java ndio site inafunguka ! Na nilikuwa mdogo hata 17 sijafika...!

Haha jamaa ana assume tu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…