Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Nawajua family friends ambao walipata na familia nzima wakahamia. Baba akasoma PhD ya Economics, mama Pharmacy. Wana watoto sita na wote wamesoma vizuri - engineers, MDs na kabinti kao ka mwisho kanasoma Robotics na Artificial intelligence/Renewable Energy/Environmental Engineering Cambridge UK.Kikubwa ni kupeana taarifa tu mkuu ASAP, kuhusu kuweka taarifa za uongo siwezi fanya hicho kitu. Always niko serious kwenyw vitu serious na hii kitu nilitaka kushiriki hata mwaka jana ila sikupata mtu wa karibu anaeujua huu mchezo vizuri wa kunielekeza. Mwaka huu acha nataka nijaribu. unavyosema kwamba huyu jamaa anaufuta huu mchezo, hata mimi nna mashaka lakini tusiwe pessimistic kiivyo.
Nawajua family friends ambao walipata na familia nzima wakahamia. Baba akasoma PhD ya Economics, mama Pharmacy. Wana watoto sita na wote wamesoma vizuri - engineers, MDs na kabinti kao ka mwisho kanasoma Robotics na Artificial intelligence/Renewable Energy/Environmental Engineering Cambridge UK.
Ukipata hii kitu ukifika tu fanya kila uwezalo usome hata kama ni kwenda kumwangukia Bill Gates miguuni. Uzuri pia karibu vyuo vyote vina program za kusomesha watoto masikini na wewe ukisema kuwa u mgeni kutoka Afrika na unataka urudi home baada ya shule unaweza kujikuta unaingia hata Harvard kupiga kitabu bure.
Na ukiomba mara moja ukakosa usikate tamaa - omba tena na tena....
Nipo mkuu. Ni maisha tu yamechanganya. Ni mwendo wa kuzisoma namba tu tumemaliza za kawaida na sasa tumehamia za Kirumi.Mkuu kwanza za masiku... Nakushukuru kwa maelezo yako yalionipa kitu kipya kwenye hili. Kwa hiyo kumbe mtu ukichaguliwa na ukitaka maisha yawe rahisi baada ya kufika huko ni kufanya academic extension kivyovyote vile!!?
Nimekupata mkuu na maneno yako yamezidi kunitia wazimu wa kukomaa na hii kitu mpaka kieleweke. Hiyo ya kujaribu mara nyingi nyingi ndio nimepanga labda nikutane na vikwazo tu ambavyo ni sugu.
Bila shaka ni QSS FOTO KINGMi nadhani sababu ni moja tu, kwamba sio wa tz wengi wamekuwa wanacheza hii Lottery. ndio maana namba yetu ya washindi sio nzuri. na hii imesababishwa na mambo mengi, 1. Upatikanji wa taarifa ya kwamba lini inachezwa, 2. mbili ni huko kutishana ya kwamba ni lazima upite kwa agent na umlipe usd 50. Suala la picha nalo, nilijaribu kuuliza kupiga hiyo picha kwa qulity inayotakiwa kwenye studio moja pale Mwanza, Nyerere Rd. mtoto wa kihindi akaniambia ni 50,000 per person. nikaja Dar pale Zanaki nikapiga kwa 5,000 tu per person.
Normally applications zinapokelwa kuanzia Oct mpaka Dec every year, so lets spread the infos, so watanzania wengi wacheze. The minimum Education required is high school, Its so easy to play once you have the required photo.
Thank you brother BAK for compliment, i'm so overwhelmed, hilo la kutumia uraia wa Madagascar i take as least to consider bro. Hao wanaotuma mara nyingi nyimgi nahisi hata mimi ntawafanya kama wao kama hakuna tatizo lolote... Ngoja nifanye mambo kupitia link hiii nitakuwa nakupa notification kila hatua
Asante sana mkuu kwa Uzi wako hata kama Uzi una miaka 10 toka uwekwe..ila kwangu mimi I can certainly say that the particular thread is still valid &viable with my requirements despite the fact that it has been posted here for quite long time ( since 2007 till to date (2017)... Asante sana timu nzima ya JF.Bandugu,
Huwezi kushinda mchezo wa bahati na sibu kama hujacheza. Link zifuatazo hapa chini zitakuwezesha wewe kuingia ktk bahati na sibu hiyo BILA GHARAMA YOYOTE, angalieni asiwatapeli mtu....HAKUNA CHA AGENT................its very simple fuata maelekezo, fill in the forms tuma application yako instantly online:
fungua hii link ya kwanza halafu ujaze fomu, link nyingine mbili chini yake ni kukupa maelezo zaidi kwa ajili ya kuelewa nini unafanya: KUMBUKA KUFUATA MAELEKEZO especially ktk picha
Electronic Diversity Visa Lottery
http://travel.state.gov/visa/immigrants/types/types_1318.html
United States Immigration: Green Card, Visas and U.S. Citizenship
Haya jamani Kila la kheri
Nimepitia Link ya Lottery naona wanafungua May 2 namimi nitajitosa kwenye hiyo application
Wamefungua tena for 2020May ni kuangalia majibu ya mwaka jana, kujiandikisha ni Oktober.
Kuna dalili kuwa hii Visa inaweza ikafutwa na uongozi wa Trump Marekani so ya mwaka jana au huu inaweza kuwa ya mwisho.
dvlottery.state.gov took too long to respond.Wakuu kuna aliyefungua link ya matokeo ..leo may 7
Link inafunguka ila naona kama vile hakuna jipya..dvlottery.state.gov took too long to respond.
Kwaiyo hauna chochot kinachoendelea.?dvlottery.state.gov took too long to respond.