NN,
umesikiliza speech ya 'Mkeo'? Do you still like a woman like her? She is a mad mad woman!! OMG!!!!
now am starting to see some real threats juu ya obama kuhusu his safety !
kule kwenye recommende jf kumajaa mkuu ?
wengi twafika kule piaaa
..OBAMA,HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE...HOYEEEEEEEEEEEEEEE!!! HRC je? Boooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nyani ni mgumu kukubali kushindwa kama Hillary!!!!!!
Sasa mbona Obama hadi mwisho bado anashindwa ingawa kila dalili zilionyesha kuwa atapata nomination? Kwa nini watu waendelee kumpigia kura Mama na kumpa ushindi huku wakijua hawezi kupata nomination? My friend, that is a serious problem for Obama in the general election. Siku McCain atakapombwaga Obama mtalia na kusaga meno na kama kawaida yenu mtalia ubaguzi. Go Mama Go!!! Take it to Denver.