US Election Coverage 2008

Kwa wale watakaojaribu kuleta story ya Weather underground hapa here's the reaction:

 
NImeshindwa kuvumilia, this sums up all the mud slinging:


Nyani, upo hapo ndugu yangu?
 
kamanda Sisu,
you killed it with the above posts, very informing and to the point. sasa wanaotaka kubisha kwasababu wanaweza, ukumbi ni wao kwani hii ni JF!!! Kuna story na kuna none story......nimeshawahi kuishi in the UK, mail sio gazeti la kuaminika, ni tabloid!! lakini tupo kwenye zama za utandawazi, south chicago is "ghetto" as it can be!! spin or no spin, facts are facts!! to torpedo the "Obama-machine" needs more courage and facts than those ill founded cheap shots!! Go Obama........the "magic word" is change, you gotta love it!!.
 

Hebu angalia basi hiyo clip aliyotoa bwana Sam....aisee nimecheka sana
 
Hebu angalia basi hiyo clip aliyotoa bwana Sam....aisee nimecheka sana

Sam ni mzushi tena mkabila, refer posts zake huko juu!! ni mtu ambaye hutakiwi kuji-associate nae, jamaa ni controversal kama Guiliani.
Kucheka ni uamuzi, kwani hata mie nadhani Bill O, Sean H na Rush L ni comedians...lakini kuna watu kama wewe ambao wanadhani hao jamaaz ni watu makini na wana-deserve kusikilizwa!! NN umekuwa "partisan" within, nadhani ni aibu na inaweka BIG question mark ktk ur intergrity.
Brother, join us in the name of change....
 

Hebu comment basi kuhusu huyo mshikaji (Obama-maniac)...mbona unataka kukwepa hilo.

Sama sio mzushi wala mkabila. Wewe naona umeanza kumjua juzijuzi tu hapa. Jamaa ni passionate na wala si mkabila ama mzushi kama unavyodai wewe.

Halafu mimi nimekuwa partisan kivipi tena? Hebu nifafanulie kidogo...
 
ma-sunday haya wewe, nipo cozy nakula raha za toka Nairobi!!!
sina la kubadili, wewe ni partisani within na sam ni mkabila......nimemjua lini? it doesn't matter!!! my opinion of the guy sticks.
 
ma-sunday haya wewe, nipo cozy nakula raha za toka Nairobi!!!
sina la kubadili, wewe ni partisani within na sam ni mkabila......nimemjua lini? it doesn't matter!!! my opinion of the guy sticks.

Ok, opinions are like a$$ holes and everyone has one...you know that right? So you're entitled to yours my friend....happy sunday night.
 
sijawai kuchangia kwenye hii forum lakini i found it to be very interested.

Cindy McCain knows kwamba she has a lot of skeletons in her closet. Ndio maana alipomsema Michelle kuhusu ille comment ya kwamba Michelle kwa mara ya kwanza ana sifia kuwa mmarekani, advisors wa McCain wakambia mama cindy please keep silent, hiyo ndio maana alipoulizwa next time mumewe akasema no comment.

Ni waza ya kwamba Barack anafull of promises kitu ambacho kinaitaji moyo sana kukiamini. The way washington ilivyokuwa polarized nadhani itakuwa ngumu sana kupass majority ya policy zake. However, nadhani wanaoo mu-underestimamte Obama are total wrong.

I can't say nani anaweza kukutana na McCain in Nov, sema Obama has more than 50% kukutana na McCain. Mama alijua ya kwamba super tuesday ingekuwa mwisho wa senetor Obama, lakini things flip upside down. Hivyo basi, utaona mama anajaribu kutuma personal attack kwa Obama lakini zina fail.

Mama anaweza kushinda Ohio, sema Texas chance yake ni less than 40% kuchukua red state hii. Ieleweke ya kwamba Texas sio sexiest lakini Bill Clinton anachukiwa Texas more than anything, so hiyo imekuwa ni panishment kwa mama. Pili, Mama anategemea spanish votes in Texas, majority of spanish wapo Southern Texas and part of west texas sehemu ambazo hazina deligates wengi. Big city kama Dallas, Houston, Austin and somehow San antonio, Barack ana strong campain na kuna majority of librals ambao tend to lean more on Obama.

Kwa Ohio, Obama amemkata mama kutokana na Mama kuitetea NAFTA back in early 90's, kumbuka NAFTA imesababisha unemployement kwenda juu in many towns in Ohio. Lakini hata hivyo mama kashatangaza vita na Obama baada ya senetor kuquote line moja kutoka kwenye kitabu cha mama inayosifia kufanikiwa kwa NAFTA, so Tim anakazi kubwa sana jumanne kwenye MSNBC debate.

Obama Vs McCain, hapa kuna age difference ya miaka zaidi ya 25, McCain ni war hero sawa, sema Iraq war is very unpopular now. Pili bad news kuhusu economy zinazidi kutokea. Last week unemployment rate imekwenda mpaka 4.9%, Current Account Defecit imeiongezeka, morgage crisis is a nightmare, gas price imeclose at $100.74 never happened kabla. So, haya yote yanaziba chance za Iraq war kuwa kwenye table kwa debate.

McCain Vs Mama, hawa shares a lot in common, kuanzia kuvote for Iraq mpaka McCain Kennedy Immigration reform bill. However wanadiffer kwenye kuongeza wanajeshi in Iraq, where mama aliunga na moveon.org kumcritisize general Petraeus. Lakini mama alivote againts Bush tax cut, where McCain is flip flop that issue.

McCain anastruggle kupata conservatives kumuunga mmkono sababu kwa miaka yote amekuwa against conservative core center, kuanzia Guantanamo close out, Gang of 14, Immigration reform, waterbording scandal to selections of judges. So, McCain ngome yake inategemea sana independent, same as Obama. This election is very interesting.

Please naomba msifanishe JK na Obama. JK hana credential hata moja ya kuwa compared na Obama.
 
Liberals wangapi wako proud na nchi yao? alafu lets be honest African-Americans wangapi mmekutana nao wako proud na nchi yao? hawa wamekuwa disenfranchised for years..

NN nilikuwa naangalia Hardball jamaa alivyobaki anajiuma uma nilicheka sana kesho yake Clare McCaskil ikabidi amsaidie kujibuila jamaa aliissue statement ya kuomba msamaha, it would have been funny kama Obama angeizungumzia kwenye Debate (jamaa aliwahi kuwa mayor wa Austin)
 
hahaha haha ahah huyo Cindy MCcain mwache aingie maana moto unaomsubiri ni mkubwa akiamua kuleta trash kwenye campaign...kalevi ka madawa na mambo ya jim Crowe yatamweka pabaya na aibu kwa mcCain,mwache aje tuu atafundishwa politics soon na vile vimacho vyake!
 
Susuviri,Nyani Ngabu,Kitila,Koba,YNIM,Sam,

..i am putting my money on Obama. campaign strategy yake seems to work so far.

..Obama ameweza kugeuza record and accomplishment kuwa a liability. ndiyo maana wagombea kama Bill Richardson,Joe Biden, etc wakaamua kujitoa. Obama has managed to change the "conversation" in this campaign.

..Labda kuwakumbusha tu, Bill Richardson alilalamika kwamba experience was being viewed as leper in this campaign.

..Richardson amepitisha universal health care kwenye state yake. vilevile ame-balance budget ya state ya New Mexico in the last 5 yrs. Sasa kwanini Wamarekani na uelewa wao wote hawakumpigia kura Gov.Richardson badala yake wameng'ang'ana na Barack na Hillary?

..Pia nadhani tutofautishe negative campaign za Democrats kulinganisha na za Republicans. Ili negative campaign ifanye kazi unatakiwa uwe relentless. Sijui kama mnakumbuka wale jamaa wa swift boats. kwanza yale majamaa yalikuwa hayana aibu, halafu pia yalikuwa relentless.

..Hillary sasa hivi hata hela za positive ads hana, sasa mnategemea atakuwa na resourses za kufanya negative campaign?

..The likes of swift boats na moveon-dot-org wako machimboni sasa hivi. subirini campaigns za general elections zitakapoanza.
 

Ndugu yangu wewe Chatu sijui Anaconda..lol...
Sikiliza bwana, Obama hajabadilisha conversation. Obama-maniacs wengi wanaangalia style na personality na mara nyingi ktk siasa mambo huwa ndivyo yalivyo. Mfano mzuri angalia hiyo clip aliyoleta Super Sam hapa (nadhani iko kurasa mbili ama tatu nyuma). Jamaa ni Congressman, na nimesikia aliwahi kuwa Mayor wa Austin lakini alipoombwa na Chris Matthews ataje accomplishments za Obama jamaa akawa hana la kusema. Sasa ni nini mtu kama huyo anachoshabikia zaidi ya kushangilia vi-soundbites vya speech za Obama. Ni wazi washabiki wake wengi wanaangalia vi-sound bites vidogo vidogo na si minofu iliyopo ktk hoja zake. Sasa huyo Congressman ni mfano mzuri sana wa washabiki wengi wa Obama. Hawaangalii nani ana uzoefu na mafanikio. Wanachoangalia na kusikiliza ni Yes We Can....ukiwauliza what is it that you can and can't....hawana la kusema.

Still come November the GOP will again reclaim the White House. For those that don't know what divide and conquer means...they should wait until November to understand it's meaning.
 
Nyani Ngabu,

..Tuko pamoja. Ndiyo maana nikatoa mfano wa wagombea kama Bill Richardson,Joe Biden etc.

..Ushindi ktk uchaguzi hautokani na uzoefu na rekodi peke yake, unatokana pia na jinsi unavyowasilisha ujumbe wako.

..Kwa upande mwingine ni kitu gani kinachomfanya Hillary ashindwe? Huwezi kuendelea kulaumu wapiga kura[obama-maniacs] wakati wote.

..Tukubali kwamba campaign strategy ya Obama ni superior kuliko ile ya Hillary.
 

Kikubwa kinachomfanya Mama asifanye vizuri ni negative coverage ya media both conservative right wing such as FOX as well as liberal left wing like MSNBC. Wanamchukia Mama kwa sababu zao wanazojua binafsi. Kwa upande mwingine mpaka sasa coverage ya Obama by far imekuwa one that is positive. Believe me, the media is a very powerful tool. Watu wanavyoona Mama wakim-demonize wanaamini kuwa kweli yeye ni diabolical wakati sio kweli hata kidogo.
Bado sijawashikia kwamba kampeni ya Obama is that good. If anything it is the media that has lifted him up to where he is now. We fikiria, eti hata Michelle Obama alisema kwenye moja ya intavyuu kuwa kama Mama akipata nomination basi kuna uwezekano yeye (Michelle) asimsapoti. Hawa wote si ni Democrats jamani? Tofauti zao ni ndogo mno na ktk core Democratic principles wanakubaliana. Sasa unaposikia baadhi ya watu wakisema kwamba hawatamsapoti Mama kama akipata nomination..that is personal. Trust me, the media can vilify you and make you look so bad, so evil, and everything negative if they don't like you and vice versa. So I give more credit to the media for Obama's meteoric rise, if you will.
 
Ngabu keep them coming my friend ila kipigo ni order of the day,oooh left/right wing media,oooh empty,ooooh just speech,oooohhh he's black,oooh maharage...mbaazi..choroko,nakushauri utulie na subiri landslide itakayomnyeshea babu November na vita vyenu vya miaka 100...haahahahahahaaahha haha ahaha ahaha kazi mnayo!
 
Mmeona pia Tavis Smiley na pumba zake za kulalamika kuhusu Obama kutohudhuria State of the Black Union. Obama is running to become the President of the United States of America na sio the President United States of Black America. Watu kibao wamemtoa nishai Smiley.Hizi ndio politics zinazo-make sense, sio siasa za Bongo ambazo ni pumba tupu.
 

Well siku zote media italalamikiwa..lakini kumbuka media outlets nyingi zinaangalia wapi kuna faida na viewers wengi watapatikana vipi.
HRC nadhani kushindwa kwake kunachangiwa na yeye mwenyewe kujiamini kupita kiasi, mwaka jana time kama hizi kila mtu alijua mama anasuburi wakati ufike apitishwe kama mgombea wa Dems,nadhani sins za mumewe na madudu yake mwenyewe nayo yamechangia kunyimwa kura vile vile.

Nikuulize swali nini kinakufanya uamini Obama hatochaguliwa come November? weka maswala ya rangi pembeni.
 

Haya na mbaguzi Farakkhan amem-endorse Obama....kazi ipo Novemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…