Ni kweli Obama kapagawisha watu. Lakini ni matusi sana kwa wamerika na raia wa dunia hii kusema kwamba eti akishindwa itakuwa pigo duniani kote. I hope wenye nchi hawatakusikia, maana wakikusikia wanaweza kubadili kabisa mawazo. Huu ni ujinga uliotukumba Tanzania mwaka 2005. Media ilijenga mazingira kwamba hakuna aliyefaa kuwa rais kwa nchi yetu isipokuwa JK. Ukweli ni kwamba bila Obama au MacCain, Marekani itakuwepo na dunia itakuwepo.
Mwenzako pia nilikumbwa na uwenda uwazimu mwanzoni kwamba Democrats wasingemsimamisha Fighter Hillary wasingeshinda, lakini ona leo Obama anavyotesa. With hindsight, naona ni sawa kabisa wana democrats kumpitisha huyu ndugu yetu agombee maana amewarudishia nyota yao.
Ifike mahala tuelewa kwamba mchango wa mtu mmoja ni mmoja tu, na ukiuondoa dunia haiwezi kugeuka!!
Obama camp,
Uongo mbaya, with 8 days to go, natoa tamko langu la mwisho kutokana na hali halisi iliyoko sasa hivi.
John McCain atashinda uchaguzi kimizengwe! Hizo electoral college votes atakazoshinda itakuwa ni margin ndogo sana. Kutakuwa na voters and voting irregularity ya hali ya juu na wale ambao ndio tunaambiwa ndio council of America, watampa McCain uraisi kama fundisho la kujifanya yeye ni Maverick ili wamnusuru aibu na kumfanya McCain awe mtumwa wao na kibaraka.
So McCain wins but all the maverick talk, country first and straight talk express will be flushed into Potomac river. Kazi itakuwa kudindiana na Democrats ambao watakuwa wameshikilia Bunge zima!
Nyani Ngabu na The Truth hongereni!
Naam narudia tena kusema Obama akishindwa itakuwa ni pigo kwa dunia. Hii hali ya uchumi tuliyokuwa nayo sasa hivi imesababishwa sana na ongezeko la mafuta ambayo demand yake iliongezeka sana kutokana na uvamizi wa Iraq, Kichaka hataki f=dunia iamini hivyo yeye anataka dunia iamini kwamba demand ya China na India ndiyo iliyosababisha hilo, lakini ukweli ni kwamba mahitaji ya mafuta duniani yaliongezeka sana baada ya uvamizi wa Iraq.
Ongezeko hilo kubwa la mafuta ndiyo limesabaisha uchumi wa dunia kuanguka maana bei ya mafuta ikiongezeka basi inaathiri bei ya kila kitu duniani. McOLd akishinda kuna uwezekani mkubwa akaedeleza sera za kichaka hivyo kuendelea na vita ya Iraq na si ajabu kuanzisha vita nyingine na Iran ambayo itasababisha bei ya mafuta ianze kupanda tena na hivyo kuathir uchumu siyo tu wa Marekani bali wa dunia nzima kwa miaka ijayo.
Mtanikasirikia sana lakini ukweli ni kuwa baada ya kumtazama McCain jana kwenye meet the press na kuangalia kinachotokea kama hii irregularity iliyotokea Georgia na kwingineko, mashaka niliyokuwa nayo awali yakawa yanatimia.
Aidha historia ya kumfahamu McCain na ngekewa yake ni muhimu tusiipuuzie. ukiondoa kampeni yake ya 2000, huyu kibabu ni ki-survivor fulani na kina kujaga na comeback za ajabu.
Angalia republican primaries alikuwa akikwatua mkia akarudi kiajabu ajabu.
Angalieni propaganda za kusema kuwa nchi itaongozwa na maliberali, Serikali kuu, na Bunge, zote pamoja na kuwa nilizifurahia, watu wengine hawapendi na hawaamini serikali ya upande mmoja.
Njoo kwenye suala la ubaguzi wa rangi na kutumia rangi hata udini, Focus in Family ya James Dobson, jumapili ya wiki iliyopita walianza kusambaza matangazo kuwa eti Obama si mkristo, atarudisha umasikini na kuondolea neema watu, ni rafiki wa waarabu na waislamu, Israeli itaangamia, ataruhusu ndoa za watu wa jinsia moja na utoaji wa mimba. Huyu binti aliyepigwa muhuri si mmoja tu wenye dhana kama zake.
Kun aclip ya mkutano wa Sarah Palin ambako karibu watu 10 waliokuwa wakihojiwa nje ya mkutano walitoa sababu za kuwa eti Obama ni muislamu, mkomunisti na ni mweusi kuwa ni sababu watampigia kura McCain.
malizia na majigambo ya Democrats. Kwenye Bunge, kweli watachukua viti vingi, lakini tatizo lingine ni watu kutokwenda kupiga kura. Hapa kazini kwangu Idara yangu in awatu 30, tangu early voting zilipoanza, nimekuwa nahamasisha watu waende kupiga kura kabla ya November 4, lakini mpaka leo, hakuna hata mmoja ambaye kapiga kura, kisa wana confidence Obama atashinda au hawaoni wajibu au sababu ya kwenda kupiga kura.
Unapoona vitu kama hivyo, waswahili wanakuambia kuwa dalili ya mvua ni mawingu!
You are dumber than I thought........
[QUOTE=Nyani McCain;310773]Ahahahahahahahahah.....haki ya Mungu hawa washabiki wa Obama sasa wanavuka mstari......
SANTA FE, New Mexico (CNN) For The New Mexico Sun News it is either a major scoop or Dewey Beats Truman déjà vu 60 years later.
Obama Wins! is the headline of the edition on newsstands now, complete with special collectors edition in red bold typeface.
The Sun News is a bi-monthly newspaper and its Oct 26-Nov 8 issue had to hit the streets, and the newsstands, before the election. So the editors decided to make a leap of faith and declare Democrat Barack Obama the winner.
In an article explaining their choice, the editors unabashedly wrote, When it comes to calling the winner of a presidential election, everyone wants to be first. The New Mexico Sun News hereby claims that achievement.
Hebu toka hapa na pumba zako wewe...eti Obantu akishindwa itakuwa pigo kwa dunia nzima....that's insane!!!! You seriously need help if you truly think like that. Yaani nilidhani ni utani kuwa baadhi ya watu wanamwona Obantu kuwa ni "Messiah" kumbe si utani na wewe Bubu ni mmoja wao. Unatia kinyaa kabisa and you have no mind of your own. What the ***? What makes you think itakuwa ni pigo kwa dunia nzima as if the whole entire wide world revolves around him. Nyinyi wapenzi wa Obantu wajinga kweli....
Siwezi kukaa kupoteza muda wangu kubishana na mpumbavu wewe. Una history ambayo inajulikana hapa kwa kutumia matusi. Hizo bangi zako kavutie kwingine hapa si mahali pake.
Ni kweli Obama kapagawisha watu. Lakini ni matusi sana kwa wamerika na raia wa dunia hii kusema kwamba eti akishindwa itakuwa pigo duniani kote. I hope wenye nchi hawatakusikia, maana wakikusikia wanaweza kubadili kabisa mawazo. Huu ni ujinga uliotukumba Tanzania mwaka 2005. Media ilijenga mazingira kwamba hakuna aliyefaa kuwa rais kwa nchi yetu isipokuwa JK. Ukweli ni kwamba bila Obama au MacCain, Marekani itakuwepo na dunia itakuwepo.
Mwenzako pia nilikumbwa na uwenda uwazimu mwanzoni kwamba Democrats wasingemsimamisha Fighter Hillary wasingeshinda, lakini ona leo Obama anavyotesa. With hindsight, naona ni sawa kabisa wana democrats kumpitisha huyu ndugu yetu agombee maana amewarudishia nyota yao.
Ifike mahala tuelewa kwamba mchango wa mtu mmoja ni mmoja tu, na ukiuondoa dunia haiwezi kugeuka!!
..hiyo hapo juu inatofauti gani na hii hapa chini!!??
Obama camp,
Uongo mbaya, with 8 days to go, natoa tamko langu la mwisho kutokana na hali halisi iliyoko sasa hivi.
John McCain atashinda uchaguzi kimizengwe! Hizo electoral college votes atakazoshinda itakuwa ni margin ndogo sana. Kutakuwa na voters and voting irregularity ya hali ya juu na wale ambao ndio tunaambiwa ndio council of America, watampa McCain uraisi kama fundisho la kujifanya yeye ni Maverick ili wamnusuru aibu na kumfanya McCain awe mtumwa wao na kibaraka.
So McCain wins but all the maverick talk, country first and straight talk express will be flushed into Potomac river. Kazi itakuwa kudindiana na Democrats ambao watakuwa wameshikilia Bunge zima!
Nyani Ngabu na The Truth hongereni!
...........zote ni vi-stori vya kishabiki shabiki tu!
Badili jina na ujiite Zuzu Ataka Kusema......
Wewe dogo sikiliza...tofauti ni kwamba moja imeandikwa kwenye gazeti ambalo lina risk credibility yake na ingine imeandikwa na huyu mchungaji wetu na itaishia hapa hapa JF.....kama hujaelewa niambie niandike kwa lugha rahisi utakayoielewa...sawa dogo?
...wewe ndio hujaelewa na ujuaji wako wa bila kujua!! kwa taarifa tu "bwiko" Nyani McCain, mie naongelea CONTENT na upuuzi wa yaliyoandikwa na si aliyeandika!! upo hapo?
naamini umejiona jinsi ulivyo bwege!!
ATF disrupts plot to assassinate Obama
By LARA JAKES JORDAN , Associated Press
October 27, 2008
WASHINGTON - Federal agents have broken up a plot to assassinate Democratic presidential candidate Barack Obama and shoot or decapitate 102 black people in a Tennessee murder spree, the ATF said Monday.
In court records unsealed Monday, federal agents said they disrupted plans to rob a gun store and target a predominantly African-American high school by two neo-Nazi skinheads. Agents said the skinheads did not identify the school by name.
Jim Cavanaugh, special agent in charge of the Nashville field office for the Bureau of Alcohol, Tobacco, Firearms and Explosives, said the two men planned to shoot 88 black people and decapitate another 14. The numbers 88 and 14 are symbolic in the white supremacist community.
The men also sought to go on a national killing spree, with Obama as its final target, Cavanaugh told The Associated Press.
"They said that would be their last, final act that they would attempt to kill Sen. Obama," Cavanaugh said. "They didn't believe they would be able to do it, but that they would get killed trying."
An Obama spokeswoman traveling with the senator in Pennsylvania had no immediate comment.
The men, Daniel Cowart, 20, of Bells, Tenn., and Paul Schlesselman 18, of West Helena, Ark., are being held without bond. Agents seized a rifle, a sawed-off shotgun and three pistols from the men when they were arrested. Authorities alleged the two men were preparing to break into a gun shop to steal more.
Attorney Joe Byrd, who has been hired to represent Cowart, did not immediately return a call seeking comment Monday.
Cowart and Schlesselman are charged with possessing an unregistered firearm, conspiring to steal firearms from a federally licensed gun dealer, and threatening a candidate for president.
The investigation is continuing, and more charges are possible, Cavanaugh said.
© 2008 Star Tribune. All rights reserved.
Another question to Obantu supporters,
Where is Obantu going to get $1,000,000,000,000 to fund all his campaign promises? Keep in mind the trillion dollar is in addition to current budget and huge deficit that America is currently facing (thanks to Bush and the Democratic congress). Obantu will either have to raise everyone's taxes not just the people making over $250,000 or borrow more money from the Chinese or print more money and de-value the US dollar. Or maybe Obantu is making empty campaign promises. He was lying to you, his supporters.