Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,864
Go Romney!!!!!
NO.......so far yupo nyuma 4 percent na 10 per ya votes kwisha hesabiwa. Trend ikienedelea hivyo, by 8:30P EST, networks zita-project McCain. NN acha ushabiki, huyu bwana alikuwa gavana wetu hapa, kama akishinda tutapata more of the same za Joj Kichaka.....ikitokea akashinda leo na general election, mie nafunga virago naenda north of the boarder(Canada) kwani I can't stand his behind.
Utani tu kaka huo...
Umeona mavituz ya Mama lakini...? That's what's up...
Clinton kwisha kuwa projected winner in FL, lakini FL hai-count, so hai-count NO spin there!! maelezo ni mengine, sitaenda huko kwani ni kupoteza muda. Unaweza kuamini kwamba yupo Davie,FL kwa victory rally!? Kwanini siku ya SC aliondoka na kuongelea TN? Huyu mama ni mushkeli na divisive, it doesn't look good!! ataongea 8:45P EST, nitatega sikio kuona spin yake!!.
Wazee,
Icadon yu wapi!!?? na-miss posting zake nzuri nzuri ktk hii thread......mwenye habari zake pls mwambiee atinge hapa walau kutoa salamu!!.
....who cares....it doesnt count anyway!
Nothing.....it does not count!! that's the keyword there. The good ppl of Florida voted symbolically and that's about it, no more no less, she is just embarrasing herself with this rally in beautfully Davies,FL. You can spin all you want, but she is dead woman walking!!.
Actually na sip "watoto wa jangwani" ustaadhi style (22 oz bottles, kijani bin Heinny) after a dayz work!! Giuliani anaongea sasa toka Orlando.........jamaa wa NBC na AP wamesha project McCain, that's Good!!. Wanasema Giuliani ata-endorse McCain kesho in simi valley, California
Ikitokea HRC akashinda hiyo next Tuesday, I will honestly believe that there is something wrong with American Media. Maana with all this bashing from the leading papers, blogs et al against this lady nadhani hata skeptics wataamini kwamba she is not worth a cup of coffee. I honestly believe that huyu mama si mbaya kama tunavyoambiwa! Otherwise it would be a political suicide to put her incharge wa taifa kubwa kama USA..... Maana kila news outlet huyu mama ni kama villain aliyeshindikana. Anyway hukumu ni keshokutwa, but after next tuesday I will have a different understanding of American Media. I hope they are not just paid to give us poison everyday. Though over the period I have learnt to differentiate what the media says and public citizenry do. will there be connection between bashing ya media na wapiga kura? This will trully speak volume!