Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,845
- 141,224
polls zilikuwa kichekesho NH na SC, so hizo si za kuamini sana!!!. Pia hizo polls zilichukuliwa kabla au baada tu ya SC.....maana watu wanaweza kubadili mawazo tokana na ushindi ule. Ukiweka na hili la Uncle Ted kumu-endorse Baraka "Mr. Change" Obama, sijui kama mama atasalimika come tsunami tuesday!!.
Boston ni kama San Fransisco, if you know wht I'm talkin' abt!!(joke....queer!!! LOL). Spirit of America, tuna governor mweusi hapa MA na sie ndio tunaongoza charge ya kuweka 1st black in WH.
Sisi tuna amini whts right will work!! wakina nanilii wana amini whatever works must be right. Nadhani umeona tofauti hapo dugu langu.!!
Wanako wameshatinga Glendale, AZ. kulikuwa na Bonge la send off party pale Gillete Stadium in Foxborough......watu wanapamba mji tayari kwa parade!!!.
Inachekesha kwa mtu anayeimba change change kufurahia endorsement ya mtu ambaye ni esablishment ya Washington...hii wapi na wapi?
Sasa kuhusu Pats mjomba...naungana na wewe mia kwa mia...hapa nilipo I can't wait for Sunday
Unajua kama Obama akishinda nomination Republican watakuwa na wakati mgumu sana kumkosoa wakihofia kuitwa wabaguzi. Huu ni ukweli ambao haupingiki. Na tuseme ashinde general election na akawa raisi, mtu yoyote atakayemkosoa ataitwa mbaguzi. Huo ndio ukweli wenyewe...mtake msitake. So bado sidhani kama atapata nomination na sidhani kama atashinda general election akipata nomination. Kama mnadhani Obama ataleta unity...you ain't seen nothing yet. Race still does matter in this country though people, hypocritically want to act as if it doesn't!!!
Actually maneno unayosema Nyani yana ukweli ndani yake kwani nimewasikia Republicans wengi wanasema wanaombea Hillary Clinton ashinde nomination ili iwe rahisi kwao kumkandamiza. Na wamesema wazi itakuwa ngumu kushinda against Obama. Jamaa hana dirt yeyote ya maaana zaidi ya huyu fundraiser wake wa zamani Rezko ambaye jana bond yake imekuwa revoked na amepelekwa jela. Kuhusiana na suala la kutumia drugs, Obama alikuwa mjanja akaamua kuji-pre-emptive.
NGABU WACHA HIYO MANENO YAKO "MBOFUMBOFU"KWANZA UNAELEWA MAANA YA LIBERAL?AMA BUSHI AKIPANUA MDOMO NA WEWE UNASHABIKIA TU!HAKUMSAIDIA KERRY MAANA YAKE NINI?HIVI WE UNAZIJUA SIASA ZA MAREKANI AMA STILL NI SHABIKI TU?HALAFU TENA WEWE NI SENIOR EXPERT MEMBER?Hamna lolote hapo. Huyo bichwa liberal naye ni mtu hatari kuji-associate naye....mbona hakumsaidia chochote Kerry...muda wake umeshapitwa....aende nursing home
NONSENSE!KUKOSOLEWA KIVIPI?KWAMBA SI MWEUSI VYA KUTOSHA AMA SI MWEUPE VYA KUTOSHA?Actually maneno unayosema Nyani yana ukweli ndani yake kwani nimewasikia Republicans wengi wanasema wanaombea Hillary Clinton ashinde nomination ili iwe rahisi kwao kumkandamiza. Na wamesema wazi itakuwa ngumu kushinda against Obama. Jamaa hana dirt yeyote ya maaana zaidi ya huyu fundraiser wake wa zamani Rezko ambaye jana bond yake imekuwa revoked na amepelekwa jela. Kuhusiana na suala la kutumia drugs, Obama alikuwa mjanja akaamua kuji-pre-emptive.
Jamani Rudy Giulian naona leo ndio mwisho wa safari na siasa zake za 911.