US Election Coverage 2008

Aisee rev nimeisikia hiyo ya Michigan....babu kachanganyikiwa

......aisee lazima tumpe mama kaji-credit kidogo........hata kama ni kukariri alivyofundishwa namna ya kujibu kwa kweli amejitahidi sana (pamoja na kukwepa kujibu maswali kadhaa)..........just compare her today's performance with her own recent interviews........leo kafanya vizuri .....lakini hakumzidi Biden
 
Nimeona hapa kwamba CNN focus group kwamba Biden ameshinda by large margin! Unajua preaching to the choir is good and rallying the base but it is the independents that they need to win!
 
I cannot stress enough that her threshold was so low that anyone even a first grader cold exceed that expectation.
 
An admission......kwikwikwikwiiiiiiii.......bwahahahahaaaaaa...uhuhuhuhuuuuuuu
 
Whaaaat???? kidogo? unajua pressure aliyokuwa nayo huyu mama wewe? Hebu acha hizo.....she stood up to Joe "Gaffe a Day" Biden....na sote tunajua debating prowess ya huyu jamaa.....
 
Nimeona hapa kwamba CNN focus group kwamba Biden ameshinda by large margin! Unajua preaching to the choir is good and rallying the base but it is the independents that they need to win!

CNN nini wewe? Who watches CNN? Just you na mchungaji Kishoka....CNN....who cares about CNN's focus groups.....Sarah far exceeded and surpassed all expectations.......
 
Umesikia Obama karusha kitambaa cheupe Georgia....?

Hii ya GA zimeshapita wiki tatu babu ebo!!!

Sarah Palin yuko kwenye Dunia yake mwenyewe...ameavoid maswali na kuformulate maswali yake mwenyewe na kuweka neno ENERGY kwenye kila jibu....

Umesoma statement ya HRC kuhusu debate?
 
Hillary is doing what Hillary is being told to say but deep down anaombea Obantu ashindwe ili a run 2012.....
 
Whaaaat???? kidogo? unajua pressure aliyokuwa nayo huyu mama wewe? Hebu acha hizo.....she stood up to Joe "Gaffe a Day" Biden....na sote tunajua debating prowess ya huyu jamaa.....

Jamani mbona sikuelewi, sasa kusema Biden ana debating prowess, sasa ni sababu gani. People said BIDEN WON! Sasa unataka kuleta eti she didn't fall flat on her face she won is LUDICROUS! We endelea kuangalia rally ya Kisura and I hope she winks at you for the rest of the evening! Alijua yuko katika mashindano ya Miss Alaska! Kwikwikwiii
 
Biden got whupped and he made about 10 gaffes according to Karl Rove.......he got his ass whupped......

Mimi nilisema.....ile intevyuu na Couric ilikuwa ni kama rope a dope and you guys fell for it......dumb dumb......
 
But guess what...the liberal media will deny her the win......
 
Nyaniii! Kuhusu Michigan, naomba nikupe perspective why it is important that McCain babu yako is pulling out: his electorate map is shrinking. Now Florida and Ohio are battlegrounds, when Bush won it comfortably. Now he HAS to win FL, OH, etc. Hata GOPstrategists wamesema that MI is too important na wao wanaendelea kupeleka advertisements buti f the candidate walks away it is a bad sign!!!
 
Biden got his ass whupped......yaani hadi Sarah aka propose wafanye debate tena........ahahahahahahahaaaaa....uhuhuhuhuuuuuuu....
 
Karl ROVE????? He should be in prison. We angalia mpaka GOP stategists wanakiri Biden won the debate:
 
What do you consider a comfortable win? To me a comfortable win is 10 point and higher and Bush didn't win OH or FL by any higher than 5 points.....what are smoking Susu?

Halafu Michigan is a blue state anyways......
 
You know I was drinking everytime Sarah Palin said "maverick" kwa hiyo I got tipsy until Biden said "Let me tell you about McCain being maverick..."akampiga nyundo weee na kumaliza "McCain is Maverick NOT" ZIIING! Basi pombe yote ilitoka!
But seriously every state counts, now MCCain says Maine is important.... MAINE?? Babu yako kachanganyikiwa!
 
Yeah....in a squaker (as this will be) Maine is important because it splits its electoral votes like Nebraska does.....

You are making a big deal about Michigan which is not even a perrenial battleground state.......just admit it....Biden got his ass whipped.....

Ok, I'm done spinning and I'm going to bed.....ciao
 
Whats with the All of the above from Sarah? Maana sijasikia hata kimoja au listi ya kitu kusema jawabu ni E. All of the above, lakini karudia hilo mara nne!

Rev hii ilikuwa inanichekesha kila wakati!!!!!!!! Well was she writing or speaking, huyu mama ni unfit for the job period!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…