US Election Coverage 2008

Hiyo mimba angekuwa ameipata lets say Chelsea wakati hajatimiza 18 mbona ingekuwa balaa.....!!!

Naona Team McCain imeamua kutuma watu kwenda Alaska sijui kufanya vetting au ndio kwenda kuangalia kama kuna madudu mengine kuhusu huyu mama....
 
Do I smell trouble...?

1. Timu ya watu 12 kutoka McCain Team inatumwa kwenda Alaska
2. Mama anahire mwanasheria kwenye Troopergate

I thought last friday watu walisema hizi sio issue sasa inakuwaje?
 
Nyani,

It all boils down to your GrandPa's judgement!

We may pick and shred Sarah Palin, but the culprit is McCain and not Sara Palin.

Did McCain made a sound judgement without being swayed by conseravtive base, no he buckled his knees to conservatives who blackmailed him to disrupt the convention if he had pick his buddy Joe Libbs or Tom Ridge.

The question is why did he pass an opportunity from the midwest Tim Pawlenty or the Michigan Romney base for Sarah Palin?

Has McSame the McBush decided to F-up the right wingers by almost giving up the race?

Sasa kama huyu Mama Palin alikuw amfuasi wa chama cha Independent Alaska ambacho kiliwahi kutishia kujitoa kwenye USA, je hili McCain hakuliona au ndio U-Maverick wenyewe?

Extreme risk kama hizi zinaonyesha kuwa Babu yako judment yake ni mbaya na ni hatari kwa national security. Just imagine receiving poor intel on something and without thorough examination he makes a descion similar to Grand Puba Bush starting Iraqi war II under false intel!

 
Alafu McCain ni trigger happy na ana matatizo na temper kuna kazi hapa

Soma huu unafiki...
Southern Baptist leaders like Richard Land and Al Mohler have praised McCain's choice. But these are the same men who support this statement from the 2000 Baptist Faith & Message:

"A wife is to submit herself graciously to the servant leadership of her husband even as the church willingly submits to the headship of Christ. She, being in the image of God as is her husband and thus equal to him, has the God-given responsibility to respect her husband and to serve as his helper in managing the household and nurturing the next generation."
 

Icadon,

Hawa GOPers wana sound kama wale Walutheri wa Missouri Synod ambao nasikia hawaruhusu hata mwanamke kukanyaga madhbahu na kuhubiri!

I wish feminist movement ya USA iamke na kuungana na kupigana na hawa jamaa ma-conservative ambao ni wanafiki wakubwa!

Yesu alisema, nilikuwa na njaa, mkanilisha, nilikuwa uchi mkanivisha nguo, hawa kina Dobson, Falwell, Hagee, TD Jakes na wengine hawana hata chembe ya kumfuatra Kristo zaidi ya kujitajirisha!

Halafu leo wana-impose utakatifu katika siasa, huku wameshindwa katika maisha ya kiroho. Ni hawa hawa wanaopiga vita Uzinzi na ushoga wao ndio mabingwa. Kina Jim Baker ni wengi katika kundi lao na sawa na yule jamaa wa Denver Ted or Todd ambaye yuko reharb kwa kupenda Wanaume wenzake!
 
Hawa Wanigeria nao kiboko...ebu check hii...

Nigerian anti-graft investigators have seized money raised by the head of the Nigerian Stock Exchange to support US presidential candidate Barak Obama.

The Economic and Financial Crimes Commission said it would give the money back to those who attended a gala dinner in Lagos last month.

The EFCC said it had seized 74m naira ($630,000, £314,000), but said no Nigerian laws had been broken.

US political parties are not allowed to receive contributions from abroad.

Stock exchange chairwoman Ndi Okereke-Onyuike is also the head of Africans for Obama, a Nigeria-based support group.

She was interviewed by the EFCC after media reports that the Obama campaign had disassociated itself from the group.

Mrs Okereke-Onyiuke said in August there had been a misunderstanding in the press regarding the event.

The money was going to be spent on adverts encouraging Nigerians in the US to vote for Mr Obama, she said.

Tickets to the lavish event in Lagos on 11 August cost more than $21,000 (£11,000) for an eight-person table.

"We never said we were going to donate money for the campaign," she said.

"We paid for the hall and the entertainers and the surplus, we said would be spent on advertisements aimed at persuading Nigerians to tell their relatives in America to register to vote.

"There is not one Nigerian who doesn't have a relative or friend in America. Our aim was to encourage those people to tell their family who have the right to vote in America to vote for Obama."
Ndi Okereke-Onyuike
Africans for Obama

Jealous

Full-page adverts in major newspapers publicising the event did not mention what the organisers were planning to do with the money.

Tickets to the gala dinner at the Muson Centre, usually used for conferences and trade shows, were split into two price ranges: "gold" and "platinum".

Individual tickets for the more expensive platinum range cost $2,754 (£1,300) with an option to buy a "corporate" table sitting eight for more than $21,000.

She said the press was trying to attack her because they were jealous of her success.

"I am a woman of the highest integrity," she told the BBC News website.

A statement form the EFCC said they had ordered Mrs Okereke-Onyuike to "steer clear of such activities in future".
 
Hiyo mimba angekuwa ameipata lets say Chelsea wakati hajatimiza 18 mbona ingekuwa balaa.....!!!

Naona Team McCain imeamua kutuma watu kwenda Alaska sijui kufanya vetting au ndio kwenda kuangalia kama kuna madudu mengine kuhusu huyu mama....


...or worse still, kama Obama angekua na mtoto wa kike wa umri
kama huo, kisha ametundikwa kijimimba cha kishakaji...pangekua hapatoshi!

Now the shoe is in the other foot..but do I say.

Meanwhile...according to News reports new evidence is being discovered
everyday about the troopergate scandal.Kuna ishu na emails being uncovered
even as we speak.I believe there is more than meets the eye here na bado!!!
 

Mambo ya ndumakuwili hayo babuu!!!!
 
Hii ya mtoto wa Palin wala sio ishu. Tatizo ni left wing bloggers kama dailykos. Wamarekani wengi sana wana relate na teenage pregnancy. The story will backlash....you just wait...
 
Hii ya mtoto wa Palin wala sio ishu. Tatizo ni left wing bloggers kama dailykos. Wamarekani wengi sana wana relate na teenage pregnancy. The story will backlash....you just wait...

"Families should be off-limit, my mom had me when she was 18 years old any of my staff get this as an issue will be fired"- President Obama.

where will the story backlash?. The president Obama distanced himself from the story.
 
"Families should be off-limit, my mom had me when she was 18 years old any of my staff get this as an issue will be fired"- President Obama.

where will the story backlash?. The president Obama distanced himself from the story.

It will backlash with middle America......you just wait and see....
 
It will backlash with middle America......you just wait and see....

Will backlash to Media?, if that what you mean i agree. Its media which are digging all these not Obama. Obama isn't in personal attack politics the GOP with McSame are the ones who started to play the dirty game. They don't have issues and want to divert the election to be about Obama. Hoping they are in trouble now after chosing someone to VP without thorough veting.
 
Kumbe Sarah Palin ni Malkia wa Earmarks.... kwi kwi kwi too much for McSame to brag about cleaning Washington!

 

Yes, The liberal media...CNN and the National Barack Corporation....
 
Kumbe Sarah Palin ni Malkia wa Earmarks.... kwi kwi kwi too much for McSame to brag about cleaning Washington!

Wewe mchungaji hovyo kabisa wewe!!! Yaani umebakia kuwa na ushabiki usio na kichwa wala miguu. Kutwa nzima unashinda kwenye liblogu la dailykos na madhara yake tunayaona hapa.....umekuwa brainwashed.....
 
Mmh, mi naomba nisiseme maana nimekuwa accused na 'my dear friend' Nyani kwamba nalipwa na Obama, na pia kuwa namchafulia jina binti yake Palin ingawa niilkuwa naleta tu habari. Lakini Nyani, my dear friend, nadhani yote haya unayozungumza ni talking points za GOP mlizosambaziwa juzi. naomba kuwasilisha talking points hizi :

Nimehighlight ile technique aliyotumia my dear friend Nyani. Sasa sijui nani yuko paid na campaign? Shame on you, mjukuu wake McCain!!! Kumbe kelele zote ni katika kutetea decision mbovu ya Babu yako na si kweli kwamba you guys care about this 17 year old girl.
Mi kwanza namwonea huruma Bristol kwa sababu mama yake alikuwa tayari kum-thrust in the lime light because of her ambitions. Mimi ningekuwa mzazi wa mtoto huyu ningekataa kukubali nafasi ya VP kwani binti yangu probably needs me the most at this time, and I wouldn't want her life to be shred to pieces in the public eye. We all know what happened to Britney Spears!!!
 
Nyani my dear friend, naomba nikuonyeshe unafiki wa GOP hususan Babu yako, ambaye never gived a damn about teen pregnancy:

Babu yako really doesn't know what he wants but eventually always sides with Bush (90%). Is that change? no, it's more of the same!!
 

Get lost!! Hii issue ya Bristol inaweza kumtokea yeyote yule. No one is immune to it.
 
Get lost!! Hii issue ya Bristol inaweza kumtokea yeyote yule. No one is immune to it.

Jamani, sijabisha hilo, my dear friend, mi ninachosema ni kwamba Bristol was pregnant BEFORE Palin accepted the nomination. Everybody knows that the candidate and her family will be vetted. Why did she not protect her child by declining the nomination? Pure and simple ambition!!!
For me this is like John Edwards ambaye alijua BEFORE he ran for presidency that he had an affair, and he was aware how explosive this will be, but he still ran. For me that was the last straw and I lost respect for him. He could have put the Democratic nomination in jeopardy!! Same applies to Palin. That's my point. But at the end of the day kama Babu yako angekuwa amefanya vetting ya kweli kama anavyodai sidhani kama ange-go ahead. Saa hizi anajikosha tu kwamba alijua, it's not true!!! It was breaking news kwao pia, they learning as it is revealed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…