You are right about Michelle's intellect (or lack thereof). Take a look at her college thesis below. She writes like a 10 year-old and to think she was accepted into Princeton. If it wasn't for affirmative action this woman would be cleaning Princeton's toilets not enrolled there.
Michelle's college thesis
http://www.politico.com/news/stories/0208/8642.html
hana tofauti na Latoya wa Big Brother Africa 3....Nyani ubishi tu najua moyoni unamkubali Obama....Sorry Obama, I got to give it to the Republican.... this is upstaging the choice of Biden.
hana tofauti na Latoya wa Big Brother Africa 3....Nyani ubishi tu najua moyoni unamkubali Obama....
Ile houtba ya Palin ilinifanya nimkumbuke sana mama Clinton............ She is way far ukimkompea na mgombea mwenza wa makopo.
Rev.Kishoka said:Just imagine a funny pungent smell throws West wing into chaos with gas mask, come to find that Veep just changed the baby's diper!
Hivi watampa hako katoto Agent Hanna Montana kumlinda akiwa kwenye West Wing daycare?
Mama anatumwa trip London, Madrid, Jerusalem na Istanbul, detail ina involve baby food and dipers!
Ama kweli Grandpa John kazeeka, is it the right choice of poor judgement?
Mjukuu tueleze...
Bubu,
siyo kweli, nakumbuka Joan Rivers alimponda Mrs Bush mwaka 2000 kwa kuvaa kama mfanyakazi wa library...hizo kandia zipo kila siku na kila mwaka wa uchaguzi!!! Woopie hana authority ya kusema aliyosema kwani ktk mambo ya style, she is terrible!!
Isitoshe. Obama kasema jana kuwa uchaguzi huu uwe juu ya big ideas na si vitu ndogo kama nani kavaa nini, sijui nani ni elite na blah blah blah...
Obviously I believed and still do that Bobby Jindal would have been a better choice for McCain but his actual choice in running mate is still lesser of two evils compared to Obama's. Heck, McCain could have picked a mountain goat as a running mate and I would still say the same thing.
Mkuu naomba kutofautiana na wewe katika nukta yako ya tatu.
Nimejaribu kufuatilia kwa kina kiasi kuhusiana na suala la Jaluo kutomchagua Mama, baada ya kuongea na jamaa wahusika wa kampeni, waliniambia kuwa official internal memo iliyotolewa na viongozi wa juu wa kampeni inasema walihofia kitu kinachoitwa "Conflict of execution".
Waliona mama anakuja with a package. Lazima mzee mwenyewe Bill aka 'Uncle Grumpy' ahusishwe katika policy making. Na unajua tena jinsi mzee alivyokuwa anabwabwaja kuhusu Obama right kabla South Carolina primary. Sasa kampeni ikaamua liwalo na liwe lakini sio kumtumia mama then ije iwe mivutano for the next 4 years. It was a bold move lakini imemake sense; Joe mwenyewe ni big calliber katika masuala ya administration. Na inaonekana wana ushkaji fulani ambao itakuwa comfortable kupishana kwenye corridor za white house, kuliko chaguo la mzee makopo. Mtu mzima yule anazeeka vibaya sasa. Sisi tuendelee kukodolea macho tu tuone nini kitajiri with the next 66 days.
Hey Varda Arts,
Pole mdosi mwenzio kaachwa!
Rev.Kishoka,
..orodha ya viongozi waliokuwa na watoto wakiwa madarakani ni ndefu mno.
..nina hakika Nyerere,Kaunda,and Samora, wote walipata watoto wakiwa Ikulu. JFK naye nadhani alipata wakwake Ikulu.Tony Blair majuzi nao walibarikiwa mtoto wakiwa # 10 downing. sina uhakika kuhusu Benazhir Bhuto na Indira Gandhi.
Mkuu naomba kutofautiana na wewe katika nukta yako ya tatu.
Nimejaribu kufuatilia kwa kina kiasi kuhusiana na suala la Jaluo kutomchagua Mama, baada ya kuongea na jamaa wahusika wa kampeni, waliniambia kuwa official internal memo iliyotolewa na viongozi wa juu wa kampeni inasema walihofia kitu kinachoitwa "Conflict of execution".
Waliona mama anakuja with a package. Lazima mzee mwenyewe Bill aka 'Uncle Grumpy' ahusishwe katika policy making. Na unajua tena jinsi mzee alivyokuwa anabwabwaja kuhusu Obama right kabla South Carolina primary. Sasa kampeni ikaamua liwalo na liwe lakini sio kumtumia mama then ije iwe mivutano for the next 4 years. It was a bold move lakini imemake sense;
Joe mwenyewe ni big calliber katika masuala ya administration. Na inaonekana wana ushkaji fulani ambao itakuwa comfortable kupishana kwenye corridor za white house, kuliko chaguo la mzee makopo. Mtu mzima yule anazeeka vibaya sasa. Sisi tuendelee kukodolea macho tu tuone nini kitajiri with the next 66 days.
Rev.Kishoka said:Wote uliowataja hapo walikuwa ni WANAUME, unless walifanya sex change na KUZAA!
Benazhir Bhutto said:"General Zia called the first democratic elections since 1977 when he learned that I was PREGNANT, thinking that a PREGNANT WOMAN couldn't campaign, I could, I did and I won so that disproved that notion."
Rev.Kishoka said:Waliokuwa viongozi ni WANAUME si wanawake.....there goes the DIAPER BAG story!
DESPITE HER PREGNANCY, BHUTTO CAMPAIGNED FOR 15 HOURS A DAY. When her child was born prematurely, she went straight back into the election campaign and in November as leader of the PPP won the election.
Rev.Kishoka,
..nice try...nice try...
..huwezi kumnyanyapaa Mama Palin kwasababu ana mtoto mdogo.
..unajua ushabiki kama huo ulioonyesha ndiyo unatufanya wengine tuwatetee Republican ingawa hatupendi.
YNIM said:...hivi Palin kama alivyo, angekuwa ni Democrats halafu achaguliwe kuwa VP, unafikiri watu kama Rush Limbaugh, Sean Hannity, Michael Medved etc wangemfanyaje!?
..mie naona Rev. Kishoka anatoa jokes tu za wkend, na kama unatetea GOP ati kwasababu wengine wanawapinga na kuwatania basi kaaaaaazi ipo...!
McCain's Bridge to Nowhere....!!!
Huyu mama akianza kukaangwa na kina HRC sijui atatokea wapi.....!!
Hivi NM yupo maana naona kawa mkimya kama magopers wenginge lol...