US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

It's either Senator Clinton or Senator Biden, but in politicking anything can happen. In few hours the whole World will know OB's choice.

Ili hesabu ikamilike kirahisi inabidi awe Senator Clinton, maana the Clintons walishapiga kampeni za kutosha so hakutahitajika tena kupigwa kampeni ya nguvu. Si unajua tena kuna die-hards blue-collar whites ambao ni wapenzi wa the Clintons?
 
nani kabisha? suala si hiyo story kama ipo/haipo...suala hapa ni kwamba story nzima ni upuuzi mtupu!! wewe unawajua na kuwa saidia ndugu zako wa nyumba ndogoz? tokana na mazingira na story ya Obama wewe unadhani ni haki yake kutuma vijisenti Kenya? ebu kuwa serious kidogo saa ingine na uache ushabiki!!

Wolf na CNN nzima wamelosti, watu wanaangalia FOX na MSNBC ndio maana wakina Lou Dobbs, yeye Wolf na Li-CNN zima wamekuwa na stories siku hizi za ajabu kiasi kwamba wapo out of touch!! Habari za Onyango zinapendeza FNL kwa Hannity au Bill O lakini sio kwa situation room kwa ile time slot!!! shame...wapo desperate na ratings, hawana lolote.

who cares about Onyango bwoy? wewe utalosti vipi nyang'anyang'a wakati msua alikuwa na PhD ya Harvard...ni mijuti ambayo itakuwa ili-squander resources na opportunities!! pia Obama kaitoa kivyake, sio kama mipesa ya urithi ambayo Cindy anamchikichia half sista lake! LOL

Kumbe unalikubali hilo eeh? Good boy! Ila sidhani kama watu wanaangalia PMSNBC maana wako wa mwisho kwenye ratings hadi ma-commentator wao wanalazimisha vi-beef vya kijinga kijinga kama yule jamaa yako Olberman. Jamaa kila siku yeye anamuua Bill O lakini Bill O wala hana hata time naye.....very pathetic indeed!!!
 
Seems like VP ni Joe Biden....maana Bayh na Kaine wameshaambiwa kuwa sio wao!!

McCain asahau PA vinginevyo labda achague Tom Ridge....Biden hata hivyo ni chaguo zuri sana, ua ananikumbusha Uncle Ted jinsi anavyoua.

The choice (if true) couldn't be better. Kaine na Mama kidogo ndio waliokuwa wananipa wasiwasi lakini huyu loose canon Biden wala.....hahahahaaaa....jamaa ni bonge la plagiarist.....bwahahahaaaaaa
 
Duh! CNN wamempata Onyango na wamefanya naye intavyuu. This is not a good look for Obama. The guy (0nyango Obama) lives in abject poverty (under a $1 a month). I mean, his millionaire brother can't even give him $100.00 a month? It's damn shame....

Hii issue ya Onyango mntaka kuikuza tuu.....kama nilivyosema jana hawa wakati maisha mazuri sidhani kama walikuwa wanajali wana ndigu anaitwa Barack somewhere in Hawaii....

Hapo kwenye red NN umeprove kweli waafrika ndivyo tulivyo(Mawazo ya kutegemea ndugu)...

Alafu hii ya McCain kutokukumbuka idadi ya nyumba ikitumiwa vizuri wanaweza kutengeneza tangazo, mzee anaweza kusahau launch codes za nuclear...
 
No, you got it wrong. The best Obama can do for Onyango is to teach him how to fish. He (Onyango) is still young enough, Obama can help him with an education or give him some kind of capital to start his own business. The guy, per CNN, wants to be a mechanic. So why can't the guy who may possibly be the most powerful man in the world not help one of his kinfolk? Where is his compassion? Change Onyango can believe in.....my foot

Ngoja nikuulize wewe. Ukiwa na nusu-kaka au dada na uko katika nafasi nzuri na uko milionea. Huyo nusu kaka au dada ana hali kama ya Onyango. Unataka kunambia utamwacha tu aendelee kuwa choka mbaya au utamsaidia? I hope utakuwa na roho ya huruma na kumsaidia nduguyo aweze kujikwamua......
 
Wapambe nuksi!!! Hehe yani George mwenye hajaomba msaada ila mshasema Obama amsaidie...Duh!!!! Kila kitu mnaspin tuuuuu!!!!

HURUMA, Kenya (CNN) -- We found Barack Obama's half-brother living in a Nairobi slum.

George Obama, whose birth certificate shows that he is Barack Obama's half-brother, lives in a small house in Huruma that he shares with his mother's extended family, far away from the presidential campaign circus.

In his memoir, "Dreams for my Father," the Democratic presidential candidate describes meeting George two years ago as a "painful affair." Barack Obama's trip to Kenya meant meeting family he had never known.

In the book, which is popular in Nairobi and can be found in almost any supermarket, Obama looks back at his personal story and his struggles to reconcile with a Kenyan father who left him and his mother when he was just a child.

Barack Obama Sr. died in a car accident when George was just 6 months old. And like his half-brother, George hardly knew his father. George was his father's last child and had not been aware of his famous half-brother.

"I think I wanted to learn about my father the same way he did," George Obama told me about why he read the book. "He came here searching for his roots, and I was also trying to find my roots."

Unlike his grandmother in Kogela, in Western Kenya, George Obama had received little attention from the media.

But reports surfaced in the past few days, springing from an Italian Vanity Fair article saying George Obama is living in a shack and "earning less than a dollar a day."

The reports left him angry.

"I was brought up well. I live well even now," he said. "The magazines, they have exaggerated everything.

"I think I kind of like it here. There are some challenges, but maybe it is just like where you come from, there are the same challenges," Obama said.

Obama, who is in his mid-20s, is learning to become a mechanic and is active in youth groups in Huruma. He said he tries to help the community as much as he can.

At least one of his neighbors feels that perhaps the candidate should help the brother.

"I would like Obama to visit his brother to see how he is living, to improve his way of life," said Emelda Negei, who runs a small dispensary near Obama's house.

But George Obama will have none of it. He draws inspiration from his famous half-brother. He acknowledges that he is biased but said he knows that his half-brother will be the next president.

"Because he wants to be [president]," he said. "I think in life, what you want is what you are supposed to get."
 
Yeah right...naona hata yeye wamesham-coach maana keshaanza spin...eti I live well now....hahahahaaa
 
Yeah right...naona hata yeye wamesham-coach maana keshaanza spin...eti I live well now....hahahahaaa

..nyani,

..kila mtu anamtazamo wake wa maisha. wengine wanaridhika na walichonacho na wengine hawaridhiki na wanatafuta kwa kila njia, hata kwa kuhujumu uchumi.

..ndio maana wengine wajamaa wengine mabepari. wengine wana mali nyingi wengine wanazo chache.

..kama anapata chakula cha kila siku na kulala kwenye godoro au hata mkeka, ana haki ya kusema anaishi vizuri.
 
JOE BIDEN IS OBAMA'S VP
Walie tu babu yake Nyani, wanasema eti alim-criticize Obama that he's not ready. Sasa nasubiri babu am-nominate Mitt Romney!!! But who cares about McCain!
Nimefurahia sana chaguo la Obama, great guy - Joe Biden!! Let the race begin!
 
THE WINNING TEAM!!!!
OBAMA- BIDEN 08!!!
4aef4f42-35a7-424a-8d0f-69bdc9e60613.jpg
 
This is really change we can believe in.....bwahahahahahaaaaaaa
 
This is really change we can believe in.....bwahahahahahaaaaaaa

Change+Experience we can believe in. Change does not mean you bring new people to the world but new ideas. This is the change we can believe in. The GOP are confused, they got to chose Hillary or Lieberman to beat Obama hahahaha. You are finished!!
 
GOPers wamespend last two years wananoa visu vyao dhidi ya Mama Clinton na wakawa na hopes kuwa atachaguliwa kuwa Veep.

Obama/Biden 08
cover_650x435.jpg
 
THE WINNING TEAM!!!!
OBAMA- BIDEN 08!!!
4aef4f42-35a7-424a-8d0f-69bdc9e60613.jpg

hiyo sio 'dream team' ni redeem team!!! yaani Makopo anakuwa forced hapa kuchagua Tom Ridge au Romney ambao wote ni mgogoro sana.......
 
MI naomba tu Mitt Romney awe VP wa Babu yake Nyani!! Sasa sijui wakianza kutafuta maneno aliyosema Mitts kuhusu McCain itakuwaje. Lakini Biden kanifurahisha - he was very youthful, huwezi kudhani ni kibabu cha 65 si kama babu yake Nyani! Also Biden has excellent memory and he will DEFINITELY remember how many houses he has because he has only 1! He still takes the Amtrack home (used to, sasa ni ku-ride with security details) a very nice man.
Kumwita loose cannon ndo kudismiss his excellent record as head of Foreign relation committee. Alafu pia when he goes out on the attack, Obama can focus on the substance and stay above the fray, na babu yetu Biden is very sharp tongued, remember his line about Giulliani? Verb, noun, 9/11!! Now it's verb, noun POW for McCain. Subiri aanze 1-liners zake, atampachika jina sasa hivi babu yake Nyani! kwikwikwikwi
 
springfieldobamaandbiden9.jpg

springfieildbidenandwifejillleaving.jpg

springfieldobamaandmichelle.jpg

The DREAM TEAM
springfieldobamaandbiden.jpg

springfieldobamaandbiden7.jpg

Babu yetu alivyochangamka si kama babu yake Nyani:
springfieldbiden.jpg

The Presidential couples:
springfieldthefamilies3.jpg
 
Back
Top Bottom