Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
Kinachoshangaza huyu bwana na umaarufu wote, na unpopularity ya republicans na ugumu wa maisha unaowakumba wamarekani, bado imeshindikana kabisa kupaa kwenye hizi polls, yaani wanapishana na MacCain hivyo vipoint visingo digiti tu basi!!??
Naona hii inabidi iwe ni angalizo kwa watu wote ambao Obama kawapagawisha, inabidi kujiandaa pia kushindwa maana naona kuna watu hapa msamiati wa kushindwa wameupoteza kabisa!
Kinachoshangaza huyu bwana na umaarufu wote, na unpopularity ya republicans na ugumu wa maisha unaowakumba wamarekani, bado imeshindikana kabisa kupaa kwenye hizi polls, yaani wanapishana na MacCain hivyo vipoint visingo digiti tu basi!!??
Naona hii inabidi iwe ni angalizo kwa watu wote ambao Obama kawapagawisha, inabidi kujiandaa pia kushindwa maana naona kuna watu hapa msamiati wa kushindwa wameupoteza kabisa!
Makeini sijui nimuonavyo mimi namuona kama zezeta fulani hivi........tuseme ukweli Republican ni watu si wazuri wamefanya maisha ya Us kuwa magumu na sera za Makeini ni sawa na za Bush.......
Sasa basi wamarekaNI wanataka maisha yawe magumu au? Nyani Ngabu niambie umeona sera za Republican na maisha yalivyokuwa mabaya je unataka makeini aendeleze libeneke la maisha magumu au?
Kinachoshangaza huyu bwana na umaarufu wote, na unpopularity ya republicans na ugumu wa maisha unaowakumba wamarekani, bado imeshindikana kabisa kupaa kwenye hizi polls, yaani wanapishana na MacCain hivyo vipoint visingo digiti tu basi!!??
Naona hii inabidi iwe ni angalizo kwa watu wote ambao Obama kawapagawisha, inabidi kujiandaa pia kushindwa maana naona kuna watu hapa msamiati wa kushindwa wameupoteza kabisa!
...bila spins wala nini, tatizo kubwa hapo ni "rangi." lau kama BHO angelikuwa ni mweupe hii kitu ingekuwa kwisha saa hii...lakini ndio hivyo tena kwani sera za jamaa ni nzuri kushinda za Makopo, ana run cleanest campaign in modern history!! sasa wewe jiulize ni chepi kinachofanya babu anakuwa close namna hii!!?Makopo camp-pain haina jipya zaidi ya uzushi na mipasho, sitashangaa kama wakikodi 'TOT' ya Hadija Kopa na Joni Komba kuja kuhamasisha wapiga kura.....bwahahahahahahahaha.
..ulichokisema kinaeleweka, ila naona unaelekea kule aliko nyani ngabu.
..safari njema!
Ahaaa haaa! Acha nicheke kwanza. Of course mimi sijawahi kuwa mwathirika wa wa Obamaniac, kilichopo ni kwamba mimi ni muumini sana wa vyama. Siku zote nimeunga mkono Democrats, ni bahati nzuri kwamba alipokuwepo fighter utashi wangu ulikamilika. Sasa hivi nipo kwenye kitu kinaitwa cognitive dissonance-naunga mkono Democrtas-kwa hivyo automatically itabidi kumuunga mkono Obama. Lakini hii haina maana kwamba namuona Obama ni bora kuliko MacCain, far from it, swala ni kwamba ninaunga mkono zaidi platform ya Democrats kuliko Republicans! Got it?
Hii ni cover story ya Newsweek toleo la Aug 11th 2008...good stuff
For as long as I've been alive the old Confederacy has been a land without closure, where history keeps coming at you day after day, year after year, decade after decade, as if the past were the present, too, and the future forever. Cities grew and populations changed in the South, but the Civil War lurked somehow in the shadow of mirror-sided skyscrapers; the holocaust of slavery and the sweet-bitter victories of the civil-rights movement lingered deep in the minds of people on both sides of the color line. Yes there was change, progress, prosperity, and a lot of it. Southerners put their faith in money and jobs and God Almighty to get them to a better place and better timesand for a lot of them, white and black, those times came. The South got to be a more complicated place, where rich and poorwhich is pretty much all there was before World War IIgave way to a broad-spectrum bourgeoisie with big-time aspirations. But as air conditioning conquered the lethargy-inducing climate and Northerners by the millions abandoned the rust belt for the sun belt, the past wasn't forgotten or forgiven so much as put aside while people got on with their lives and their business.
Now this part of the country, where I have my deepest roots, feels raw again, its political emotions more exposed than they've been in decades. George W. Bush and Barack Hussein Obama have unsettled the South: the first with a reckless war and a weakened economy, the second with the color of his skin, the foreignness of his name, the lofty liberalism of his language. Suddenly the palliative prosperity that salved old, deep wounds no longer seems adequate to the task.
Last month I set out driving through Tennessee, Georgia and the Carolinas, roughly retracing the deepest scar in the countrythe blazing track of total war left by Union Gen. William Tecumseh Sherman in 1864 and 1865. After many years away I was exploring my own blood ties (which include an ancestor named after Sherman by his slave-owning-yet-Unionist parents), but also gauging the tenor of a region that has been critical to every U.S. presidential election since 1932, and may be again. "If you don't win anything in the South, you need 70 percent of the rest of the country," says Merle Black, a political scientist at Emory University in Atlanta. "If you can win some of the South, that gives you breathing space." Polls suggest Virginia is in play. And the Obama campaign is approaching North Carolina and Georgia as if they might be, although like most people, Black (who is white, and from east Texas, which is deep in Dixie) thinks John McCain will win in both those states if only as the default candidate, the un-Obama.
The South I saw was troubled by changes that go well beyond this "change" election. A generation is growing up with traumas more immediate than those of the 1860sor the 1960s. Shana Sprouse, 21 and white, and born and raised in Spartanburg, S.C., says she's going to vote for Obama because her 26-year-old boyfriend is racked with cancer and she and he have spent the last two years trying to find ways to pay for his treatment or, now, his hospice. Jobs are disappearing to places that are truly foreign, not mock-strange states like California. New immigrants are introducing brown into a color map that has long been dominated by black and white. There is a sense that a world is ending, maybe not this year but inevitably.
The election, and Obama's candidacy, have focused these anxieties like a lens. I found whites frustrated and indecisive about the campaign, families at odds, generations divided. Many who thought themselves beyond prejudice were surprised by their suspicions of the young black man from up north. Meanwhile, many slave-descended blacks, hugely supportive of the half-Kenyan, half-Kansan, Hawaii-reared Obama, seemed afraid to hope too much, inoculating themselves with pessimism about the chances that any man of color could win the presidency, even this man, even today, or that, if he does, he will survive. As I say, emotions are raw.
People remember what they want to the way they want to, and call it history. That much is true almost any place in the world. But in the South, if people aren't careful, history can start to run their lives, even put them at risk. My father's brother, Tom, was a case in point: in the basement of his split-level home in suburban Atlanta he stored tons of artillery projectiles he'd dug up on Civil War battlefields. Many of them were still live ammunition. "I do worry," he told me in the 1970s. "If this house ever caught on fire, it could do a lot of damage around the neighborhood. You'd hear the last shots fired in the Civil War." (After Tom's death from natural causes in 1987, the core of the collection, duly defused, went to the Atlanta History Center.)
I set off on this trip wondering if Obama's candidacy was helping to pull people in the South together, freeing them of their histories, or pushing them apart. The "postracial" Obama obviously hopes to alter the traditional narrative of race in this campaign and may in fact be doing so, in certain counties of certain states. But in the South, broadly speaking, the past is still too powerful a frame for him to escape fully. This isn't only about black and white, just as the Civil War was about more than slavery. Back then powerful political players in the South saw Obama's fellow Illinoisan Abraham Lincoln as a threat, and a reason for rebellion. All Lincoln's unifying message brought together was the white poor and the white rich, in opposition to him and the blacks whose freedom he sought.....
kwa story zaidi ingia www.newsweek.com/id/150576 ....Wasee naomba msome hii story yote mwanzo mpaka mwisho......
Yaani kuna mijitu bado sana huko mitaa ya southie, mpaka inasikitisha yaani!!
Acha stereotyping wewe....kwanza umewahi kufika the deep south wewe au unaisikiaga tu kwenye TV? Mibaguzi ipo kila mahali kuanzia Farrakhan na Action Jackson huko Chicago hadi mapolisi huko NY wanaoua weusi bila sababu.....kabla hujatoa hukumu ni vyema uwe umefika kwanza hiyo sehemu. Kusoma maandishi ya watu wenye biases zao haisaidii kitu.
Kwanza umesoma hiyo story yoote? maana ina kurasa tano ukiingia kwenye hiyo link, na amini hujafanya hivyo ila umekurupuka kama kawaida yako.
Pili, nionyeshe kwenye post yangu niliposema/kutumia neno "baguzi/wabaguzi." Mie nimesema kuna watu bado sana..msee vipi wewe? au ndio mwezi mchanga?
Nimeishi Kansas na state nyingine jina kapuni mitaa ya Midwest/South!! Saa hii ninapoandika hii post nipo kwenye "Bayou," nasoma The Times-Picayune!! Nimetembelea Texas mara kadhaa hasa hasa Dallas na Austin....so msee south nimefika na ninaijua!! Choko mkubwa we, nini wewe, Je unaijua hiyo NY au Chicago ya Uncle Jesse? au ndio habari za magazeti na slanted news/reporting toka FNL, sean Hannity na yule basha wako Rush Limbaugh!!??
kwa kukurupuka kwako asubuhi hii, your todayz worst in the world and must be ashamed of yourself. Pambaf.
Duh!! ebana eeh sasa mitusi ya nini tena? Choko mwenyewe na wewe basha ako ni Keith Olberman....happy now? Lol
Let's get serious now, ulikuwa unamaanisha nini uliposema huku south watu bado sana? Bado sana kivipi? Na wapi huko ambako watu wako tayari?
Halafu mbona unahangaika na sana na hutulii? Leo uko hapa...kesho kule...mwezi uliopita sijui ulikuwa Wichita....gademu....una matatizo gani wewe? Au wana barafu (ICE) au INS (kwa vile najua hujui ICE ni nini) wanakutafuta na hizo bank statement zako za Salamnder? Kwikwikwiiiiii