Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,149
Susu,
Nilikuwa namuangalai Anderson Cooper jana usiku. Donna Brazille impressed me kwa kuongea facts na kusema McBush anashindwa kujiuza kutumia sera anakimbilia kulalama na kuongea shombo kuhusu Obama.
By the way, Donna has started slurring words, is she okay?
Ha ha NN...mambo ya jana Berlin yalikuwa si mchezo....si umesikia wamehamua kuhamishia Nomination acceptance kwenda Invesco Field maana kila mtu anataka kuwa part of history..
Sususviri picha za jana Berlin zilikuwa za kuvutia sana, niliangalia zaidi ya picha 500 zote zinavutia sana...speaking of pictures nimepata hii hapa
U.S. Senator from Arizona, John McCain scolds a young Vietnamese boy holding his hat to beg from the U.S. Senator, as McCain walks along the Truc Bach lake in Hanoi Thursday April 27, 2000. McCain earlier gave the boy money but lost his temper and told him to go away when the child asked a second time for a handout.
Smear....smear...smear.....
BTW, where is Barack "The Diva" Obama today?
Ha ha NN...mambo ya jana Berlin yalikuwa si mchezo....si umesikia wamehamua kuhamishia Nomination acceptance kwenda Invesco Field maana kila mtu anataka kuwa part of history..
Sususviri picha za jana Berlin zilikuwa za kuvutia sana, niliangalia zaidi ya picha 500 zote zinavutia sana...speaking of pictures nimepata hii hapa
U.S. Senator from Arizona, John McCain scolds a young Vietnamese boy holding his hat to beg from the U.S. Senator, as McCain walks along the Truc Bach lake in Hanoi Thursday April 27, 2000. McCain earlier gave the boy money but lost his temper and told him to go away when the child asked a second time for a handout.
Barack Obama yuko City of Light
Ushabiki pembeni BO siku hizi anakaa kipresidential sana...naona wameshaanza kumlisha zoezi.
Obama is now walking on a fine line between confidence and arrogance. Lately he is acting more and more like a president than a presidential candidate. He should watch out, this could piss people off.
Funny shit! Nimecheka mbavu sina. Is it true au photoshop?
That is a true pic...alikwenda kwenye 25th Anniversary ya vita kuisha.
Hakuna anayekataa picha. Mimi nahoji hayo mazungumzo au hiyo scolding uliyoisema.....
Hivi kama Obama akichaguliwa kuwa President,atakuwa tayari kuapologize kwa African Americans au watu wenye asilia ya Afrika for attrocities,rape,murder,pain and sufferings which was committed by USA government during slavery?
Obama fatigue has already started to set in......
I predict his fall will just be like his rise.....you just wait...
najua Barack ni muelewa na yeye anauona upepo wa kisiasa, lakini najitahidi kuwaza mbona Republican inaonekana kama wamekubali matokeo? au vyombo vya habari vya Africa havitupi upande wa wapinzani wa Obama kwa ushabiki au mapenzi yao kwa huyu mswahili,lakini bado najiuliza inawezekana wanapima nguvu na uwezo wake ili wao watakapo jibu wammalize kabisa,maana achekae mwisho ndo hufaidi zaidi.
NINGEKUA mmarekani ningemchagua huyu mswahili ila namuona kama Kikwete........! atashinda kwa kura nyingi huenda kama alivyo mshinda Hilary lakini simuoni kama mtu makini,namuona kama mtu anaekuzwa kwa kupenda kwake masuruhisho rahisi na ahadi zisizo kua na idadi, kwa mawazo yangu Obama ni sawa na JAKAYA KIKWETE WA TZ, au mnamuonaje jamani....kuongoza sikitu rahisi kama kucheza dansi nakuipenda Yanga...ooh rais Kijana huyu?