sasa naamini kabisa kuwa wewe IQ yako kweli ni ndogo kwa maana kama kweli ungekuwa na intelijensia angalau hata ya wastani usingeweza kusema eti wikiendi utaenda kutafuta wanawake! mtu yeyote mwenye akili kama ni mwanafunzi basi ungesema una kazi za chuo za kufanya, kama ni mfanyakazi ambaye unafanya kazi inayohitaji kutumia akili ambayo umeisomea ungetoa jibu tofauti kabisa... yaani mtu anakuuliza utafanya nini w'end unasema nitaenda kutafuta wanawake kama kuna mtu anataka kujua uwezo wako wa kiakili hana haja ya kuuliza zaidi kwa hiyo nahitimisha yale niliyokuwa nafikiria siku zoote kuhusu wewe kwamba ni kweli hauna uwezo mkubwa wa kifikra na hii imejionyesha... kwa jibu kama hilo anatarajiwa kutoa kijana wa miaka 15 au 16 ambapo nafikiri wewe umeshapita.....
Wapi nimesema nitaenda "kutafuta" wanawake?
Nafanya kazi kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, unataka wikendi nifanye kama sio ku-unwind? Sasa kati yangu na wewe sijui nani sijui nani ameonyesha uwezo mdogo wa kufikiri. Au ngoja nikuulize, wewe ulitaka mimi wikendi nifanye baada ya siku tano za kazi? Jibu gani ambalo lingekupendeza?
..huyo Nyani Ngabu ni "joka la kibisa" kwa maneno mengine "si ridhiki" kwa hivo mwache aji advertize vyovyote atakavyo!! sisi tunaomjua tunaelewa kwamba hiyo ni posturing tu.....LOL.
..halafu polepole ndugu, kumbuka kwamba upo JF, "where we dare to talk openly." pumba kwako wewe ni point kwa mwingine......kuna hadithi hapa, inafanana na ile ya "hila ya kwapa..kunuka bila kidonda." kama umeachwa kwenye mataa/solemba, basi uliza!!! usikulupuke....kijiwe kinazidi kuwa technical, kama upo one dimensional basi kazi unayo.......bwahahahahha.
YourAssismine, wewe 24/7 unawaza vidonda tu....Lol.
....breaking news, YNIM reporting, kwamba Celtics wamechukua game 4 in LaLa-land!! BIG DEAL..yay. Another parade inanukia......HATERS, kazi mnayo!!
"We fear that Obama will feel that, because he is black with an inferiority complex, this will make him behave worse than the whites,"-Muammar Gaddafi, June 2008
Unajua nimejiuliza swali lets say Obama angegombea urais Kenya au uko Libya kwenyewe wangempa au ata wangemsikiliza?
Huo ni uongo kuna machotara wengi tuu waliofanikiwa kama Obama afrika kuanzia kwetu unamfahamu mwanajeshi warden nafikiri ameshakufa alikuwa na cheo kikubwa sana serikalini, ghana jery rawlings,salim ahmed salim, na listi inaendelea kwa hiyo madai yako hayana msingi wowote kwa maana unachodai SIO kweli...vinginevyo utoe usahhidi wa kwamba machotara wanabaguliwa kama ulivyosema....Icadon you are kidding! Hata kumtambua kama full citizen ingekuwa issue..maza mzungu? harafu unataka uraia achilia mbali uongozi..in Africa?..you are kidding my man!
Obama angerudi Kenya na mdingi wake..angekuwa sasa anauza fegi kwenye street! The fact is hata udiwani asingeruhusiwa kugombea..after all si ni chotara? Its pathetic...But Gadhaffi represents majority. Waafrika wengi tunapenda kuona either tunawazidi wenzetu au wawe on the same level na sisi.....we dont normally cerebrate success za wenzetu. if we do, its rare.
"We fear that Obama will feel that, because he is black with an inferiority complex, this will make him behave worse than the whites,"-Muammar Gaddafi, June 2008
Unajua nimejiuliza swali lets say Obama angegombea urais Kenya au uko Libya kwenyewe wangempa au ata wangemsikiliza?
Wee wapi, Africa hatuchaguagi viongozi wenye akili kama Obama. Huko ili uchaguliwe sharti uwe mtu wa ujanjaujanja, maguvu, uwa-label wapinzani wako kuwa sio patriotic.
Huo ni uongo kuna machotara wengi tuu waliofanikiwa kama Obama afrika kuanzia kwetu unamfahamu mwanajeshi warden nafikiri ameshakufa alikuwa na cheo kikubwa sana serikalini, ghana jery rawlings,salim ahmed salim, na listi inaendelea kwa hiyo madai yako hayana msingi wowote kwa maana unachodai SIO kweli...vinginevyo utoe usahhidi wa kwamba machotara wanabaguliwa kama ulivyosema....
kuhusu waafrika kwa nini unakuwa mchoyo hivyo kwa waafrika? hicho ulichokiandika ni asilia ya kila mwanadamu na haina uhusiano wewote na utaifa au ubara wa mtu....nitajie jamii ambayo haina wivu.....hao wamarekani unaowaongelea unajua imewachukua muda gani kufikia hapo walipo? unajua ni watu wangapi wamepoteza maisha yao au kudhulika ktk kupigania mafanikio ambayo Obama anayaonyesha leo....kama hautambui hilo basi utakuwa haulewi kinachoendelea.....kutokana na maelezo yako unanilazimisha nifikiri kwamba haujui unachokiandika na huyo Ghadafi haujamuelewa vizuri anachosema au hautaki kumuelewa kwa maana kama kuna mtu amefurahia mafanikio ya Obama ni Ghadaffi, ila alichokisema ni kuhusu Obama na wapalestina na kutokana na ghadaffi mwenyewe haamini kwamba Obama anayempenda anaweza kusema hayo kutoka moyoni mwake kwa hiyo ameshinikizwa aseme ili apate kuungwa mkono na waisraeli.....na hicho siyo kigeni kwa viongozi wengi kwani wanapokuwa madarakani wanasahau wale wanaowawakilisha na kuanza kuwasilikiza wachache wenye pesa, ndio kitu anachokiongela ghadaffi, ningekushauri kama bado, uweze kusoma hotuba aliyoitoa ghadafi kuhusu hilo kwani ktk mambo yoote aliyosema hicho kilikuwa ni kitu cha mwisho kabisa, kwa mfano ghadafi anapinga nchi za afrika kaskazini kujiunga na ulaya kitu ambacho ufaransa inajaribu kukifanya siku zijazo na ghadaffi amesema hakuna muungano wa nchi za afrika kaskazini na ulaya bila afrika yoote kwani wao ni waarabu na waafrika kwa hiyo ni lazima ufaransa au umoja wa ulaya waongee na addis ababa (makao makuu ya umoja wa afrika) kwanza...
sasa kwanza nasi vinginevyo..............
Hivi kijakazi kwanini wewe usipokubaliana na mawazo ya mwenzako unaanza name calling? Well labda umuulize Icadon et al..hapa JF hatuna rule kwamba lazima mawazo yetu yafanane..una haki ya kutoa mawazo yako hata kama wengine watayaona "pumba" bila kuitwa majina kama unayowaita wenzako humu. I have observed in most of your posts...Siyo kitu kizuri. Wewe changia hoja na mawazo yako, bila kuattack utu wa mtu....Hatuwezi kuwa na mawazo sawa!
I can assure you wengi humu wanakustahi (kwa sababu they know what they are doing) ndo maana, hawakuiti majina au kukwambia huelewi kinachozumngumzwa, uelewa wako ni mdogo, akili yako ni finyu nk as you like telling others......kwa sababu wanaheshimu uhuru wako wa kutoa mawazo hata kama hawakubaliani nayo. And thats what makes JF different from other blogs and media outlets! Likewise, I wont call you any name wala kujibu hiyo post yako. Though I disagree with your views but you have your right to air them, and I respect that right!
Kwani nikuulize..ukiwa unaoga akaja mtu yeyote au kichaa akachukua taulo lako, wewe utaanza kumkimbiza ukiwa uchi? kama unajibu litafakari!
Masanja,
Ngosha,
unataka ku-reason na mtu ambaye ha-reason. Mwache tu kama alivyo.
Tunajaribu kumsaidia, maana name calling zimezidi. Hajui humu kwenye forum watu wanamstahi tuu!
Anyway wewe umeshamzoea..lakini at times ana irritate sana.
Masanja,
..i am 50/50 with you. kutokana na ukabila uliokomaa Kenya labda Obama angeweza kubaguliwa kutokana na kuchanganya kwake damu. sasa hiyo inaweza kusema kwamba ingemkwaza ktk harakati zake za siasa.
..kubaguliwa hukohuko pia kungeweza kuwa chachu ya kumlazimisha Obama ajitume kuliko wenzake na mwisho wake kufanikiwa. nadhani hata ktk maisha yake ya sasa hivi Obama lazima amekutana na racism ya aina fulani toka kwa weupe na weusi.
NB:
..nina mashaka makubwa kama Obama ataleta mabadiliko makubwa ktk foreign policy ya USA. kitakachobadilika ni utekelezaji tuu, lakini siyo principles.
..Kuna mwandishi David Friedman ameandika article nzuri kuhusu watu wa kawaida Egypt walivyopokea habari za Obama kushinda nomination ya Democratic party. i suggest you read it.