US Election Coverage 2008

Nyani, unaposema critical thinking ya YNIM iko clouded kutokana na ushabiki, I could actually say that of you and me, hapa nadhani lengo ni kuweka hoja. Kusema there's still 5 months ni point muhimu nimeikubali but remember yule ambaye atawezak ujiestablish kama front runner anaanza na advantage kubwa. I also agree that Democrats do have a talent of loosing elections hata wanapokuwa wako mbele ie McGovern, Gore, etc lakinijust like Clinton, Obama is different and both are/was running in different times. Mwaka huu kuna mambo mengi ambayo yamebadili decision making process ya wamarekani including high fuel prices, war in Iraq etc. And all this is the result of 8 years of Bush and GOP, kwa hiyo GOP inajua ina wakati mgumu. Hii haina ubishi.
 
I am not interested in what Obama is NOT going to do about the high gas prices. I want to know what he is going to do about it. Unless his strategy is not to do what McCain is going to do...LOL.

Tatizo lako Manji ni kwamba hujitumi, na kweli ni mvivu sana, are you genuinely interested in what Obama wants to do au unaleta tu ushabiki.
Visit www.barackobama.com na usome plans zake, nakutundikia hapa baadhi ikusaidie.....
 
Wewe endelea kujipa imani tu. Halafu wewe mpaka sasa bado unaamini haya mambo ya flani kuwa ndio frontrunner? Yaani umesahahu kilichowatokea akina Howard Dean, Rudy Giuliani, hata Mama.....hiyo frontrunner position siyo kitu cha kutamani hata kidogo.
 
...Rudy Giullian? does anybody still listen to this fool...NGABU!
 
nnaona mkuu gadafi kamuwashia moto hussein kwa kusema atawasupport wayahudi ktk serikali yake
 
nnaona mkuu gadafi kamuwashia moto hussein kwa kusema atawasupport wayahudi ktk serikali yake

..hiyo ni good newz kwa kampeni ya BHO, sio kupata praises toka kwa watu wa Hamas!! infwact hii kitu ita-neutralize ule ujinga wa watu wa al marhum Sheikh Yassin (the late wheelchair bound hamas leader). ....Gadaff anafanyakazi nzuri!!.
 
Yeah...Hamas na Osama wanamtaka Obama....
 
"We fear that Obama will feel that, because he is black with an inferiority complex, this will make him behave worse than the whites,"-Muammar Gaddafi, June 2008

Unajua nimejiuliza swali lets say Obama angegombea urais Kenya au uko Libya kwenyewe wangempa au ata wangemsikiliza?
 
Yeah...Hamas na Osama wanamtaka Obama....

Hehe ndio maana Dubya ameshawahi kufanya biashara na watu wanaofinance Terrorists..alafu si ndio ilikuwa sera kubwa ya kina Reagan in the 80s kuwafund?
 
MANJI SUPPORTER UKO WAPI???!!!!!!!!!!!
Zawadi yangu kwako........ PLEASE READ THE ENTIRE ARTICLE

KWISHA KAZI!
 
..muammar is one big idiot.

..wakina nani?
 
Hehe ndio maana Dubya ameshawahi kufanya biashara na watu wanaofinance Terrorists..alafu si ndio ilikuwa sera kubwa ya kina Reagan in the 80s kuwafund?

Yaani Mkuu naona umembipu rafiki yetu Nyani! Maana hawa Repugs wanapenda kuwaita Democrats terrorist loving, commie loving etc lakini wao ndo mstari wa mbele katika kuwakumbatia communists na terrorists! Tena wao ni wabaya zaidi kwa sababu huwa wanafanya nao business na kuwauzia silaha! Lakini sasa wana kazi kwelikweli umeona wamepata ma-candidates ambao ni socialist! They have their work cut out for them!

Yeah...Hamas na Osama wanamtaka Obama....

..yap, they will get their wishes!! halafu yeye OBL ataona kama atapata hata nafasi ya kufanya dialysis (nasikia ayman "doctor terror" al zawahir anamfanyia peritoneal ones.....) LOL.
 
..yap, they will get their wishes!! halafu yeye OBL ataona kama atapata hata nafasi ya kufanya dialysis (nasikia ayman "doctor terror" al zawahir anamfanyia peritoneal ones.....) LOL.

Hahahahahaaaa...yaani wewe YourAssismine unanichekeshaga sana na pumba zako. Wewe na Koba mko neck and neck, akifuatia Suzie, halafu I cadon....
 
Hahahahahaaaa...yaani wewe YourAssismine unanichekeshaga sana na pumba zako. Wewe na Koba mko neck and neck, akifuatia Suzie, halafu I cadon....

ROFLMFAO!! inaonekana jua la durrrty durrrty limekukong'oli kisawa sawa....
Weekend vipi?
 
Weekend pouwa! Ntaenda kuzuga Stone Mountain kucheki totoz
sasa naamini kabisa kuwa wewe IQ yako kweli ni ndogo kwa maana kama kweli ungekuwa na intelijensia angalau hata ya wastani usingeweza kusema eti wikiendi utaenda kutafuta wanawake! mtu yeyote mwenye akili kama ni mwanafunzi basi ungesema una kazi za chuo za kufanya, kama ni mfanyakazi ambaye unafanya kazi inayohitaji kutumia akili ambayo umeisomea ungetoa jibu tofauti kabisa... yaani mtu anakuuliza utafanya nini w'end unasema nitaenda kutafuta wanawake kama kuna mtu anataka kujua uwezo wako wa kiakili hana haja ya kuuliza zaidi kwa hiyo nahitimisha yale niliyokuwa nafikiria siku zoote kuhusu wewe kwamba ni kweli hauna uwezo mkubwa wa kifikra na hii imejionyesha... kwa jibu kama hilo anatarajiwa kutoa kijana wa miaka 15 au 16 ambapo nafikiri wewe umeshapita.....
 
Wapi nimesema nitaenda "kutafuta" wanawake?

Nafanya kazi kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, unataka wikendi nifanye kama sio ku-unwind? Sasa kati yangu na wewe sijui nani sijui nani ameonyesha uwezo mdogo wa kufikiri. Au ngoja nikuulize, wewe ulitaka mimi wikendi nifanye baada ya siku tano za kazi? Jibu gani ambalo lingekupendeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…