US Election Coverage 2008


Wanna talk about judgement...well, let's talk about it. I'll start with Trinity church and Jeremiah Wright.......

And talking about public speaking.....All I can say is George Bush......two term president who doesn't speak English very well despite it being his first language......next argument please....
 
ngabu vipi uko wapi? Democratic au republican?


Macain au Obama ?

mkuu nnaomba unijuvye
 
Ina maana McCain amekosa line yake mwenyewe kabisa mpaka afanye remix line za Obama hahahahahahha kweli sitoshangaa aki-copy kila policy kutoka kwa Bush.

Oh yeah...he's the remix killa!!! Lol

Lakini mbona hata Obama ana sample na ku-remix lines zake...

Michelle Malkin kwenye website yake kabandika speech ambayo Mario Cuomo alitoaga miaka ya nyuma ambayo inafanana (baadhi ya mistari ni ile ile) na ambayo Obama katoa juzi juzi tu hapa.....so what say you Mr. Geeque?
 
Someni gaffes za Obama....

All it takes is one gaffe to taint a Republican for life. The political establishment never let Dan Quayle live down his fateful misspelling of "potatoe." The New York Times distorted and misreported the first President Bush's questions about new scanner technology at a grocers' convention to brand him permanently as out of touch.

But what about Barack Obama? The guy's a perpetual gaffe machine. Let us count the ways, large and small, that his tongue has betrayed him throughout the campaign:

-- Last May, he claimed that tornadoes in Kansas killed a whopping 10,000 people: "In case you missed it, this week, there was a tragedy in Kansas. Ten thousand people died -- an entire town destroyed." The actual death toll: 12.

-- Earlier this month in Oregon, he redrew the map of the United States: "Over the last 15 months, we've traveled to every corner of the United States. I've now been in 57 states? I think one left to go."

-- Last week, in front of a roaring Sioux Falls, S.D., audience, Obama exulted: "Thank you, Sioux City. ... I said it wrong. I've been in Iowa for too long. I'm sorry."

-- Explaining last week why he was trailing Hillary Clinton in Kentucky, Obama again botched basic geography: "Sen. Clinton, I think, is much better known, coming from a nearby state of Arkansas. So it's not surprising that she would have an advantage in some of those states in the middle." On what map is Arkansas closer to Kentucky than Illinois?
-- Obama has as much trouble with numbers as he has with maps. Last March, on the anniversary of the Bloody Sunday march in Selma, Ala., he claimed his parents united as a direct result of the civil rights movement:

"There was something stirring across the country because of what happened in Selma, Ala., because some folks are willing to march across a bridge. So they got together and Barack Obama Jr. was born."

Obama was born in 1961. The Selma march took place in 1965. His spokesman, Bill Burton, later explained that Obama was "speaking metaphorically about the civil rights movement as a whole."

-- Earlier this month in Cape Girardeau, Mo., Obama showed off his knowledge of the war in Afghanistan by homing in on a lack of translators: "We only have a certain number of them, and if they are all in Iraq, then it's harder for us to use them in Afghanistan." The real reason it's "harder for us to use them" in Afghanistan: Iraqis speak Arabic or Kurdish. The Afghanis speak Pashto, Farsi or other non-Arabic languages

Niendelee.........????????????
 
The only gaffes of Obama you have NN ni za kitoto, sasa naomba nikuonyeshe McBush aka Makopo aka McFlipflopper anavyochemka in ONE DAY na anavyojiumbua (nikiweka hapa gaffes zake zote itabidi hii thread ifungwe kutokana na kupata post ndefu ya ukurasa 10)
So just in one day on 2nd of June 2008, McCain made a series of gaffes.

Naomba nianze na hurricane Katrina -FLIP FLOP NO. 1

Obama Nation as always are on top of the issues:


FLIP FLOP 2 (OR SENILITY?) vis-a-vis Iran and sanctions

IN GENERAL THIS IS WHAT MCCAIN IS FACING WHEN IT COMES TO GAFFE - Straight talk Express lost its wheels!!

Naomba hizo gaffes zake za kumix up Sunni na Shia four times mpaka Lieberman ilibidi amshtue mzee mzima hadharani huku Makopo akijifanya ni expert on Iraq, niziweke pembeni kwa sasa maana just these facts will take you time to chew through....
 

My, my!You say trinity curch and Jeremiah wright, I say Pastor Hagee and pastor Parsley. and don't bring the argument that he didn't sit in the pews for 20 years because McCain actively sought for ONE YEAR the endorsement of Hagee and Parsley!! And McCain did say Parsley was his spiritual guide! Kumbe alikuwa anatafuta kura. That actually makes him worse because hakufanya research, it was not an emotional decisin like for Obama that Jeremiah Wright led him to Jesus but a hard cold calculated move that seems was WRONG judgement based on wrong information! So again BAD JUDGEMENT!

Bringing George Bush, two terms and his 4th grade level ability (inability) to speak, read and write English is very bad for YOU and GOP because for your information in 2000 Bush stole the election with the help of Daddy's cronies (James baker et al) and in 2004 with the help of his posse led by Rove and Cheney, scared the Americans to death! Hivi zile anthrax cases mbona zilikufa kiaina!? Hawa akina Bush lazima watakuwa tried for war crimes!!!

Huyu babu yako hata hatujaanza kumchambua, ngoja tuunganishe nguvu. Nyie GOP in Hillary supporters guise (akina Dittoheads) mkishajulikana and we bid you good bye, basi kazi inaanza.... This year is the Democrats' year!
 

Sasa inakuwaje huyu Joji Bushi akamshinda John Fitzgerald Kerry aliyesomea sijui Harvard au Yale na ambaye tuliambiwa ni bingwa wa midahalo na kwa kusema ukweli ali sweep midahalo yote mitatu lakini bado akashindwa. Elezea tafadhali....
 

Hebu ondoa huu utumbo wako wa kigay hapa.....gaffes za Obama ni kiboko!! Bila prompter Obama ana kigugumizi.....hajui afanye nini
 
Sasa inakuwaje huyu Joji Bushi akamshinda John Fitzgerald Kerry aliyesomea sijui Harvard au Yale na ambaye tuliambiwa ni bingwa wa midahalo na kwa kusema ukweli ali sweep midahalo yote mitatu lakini bado akashindwa. Elezea tafadhali....

NN, hivi kweli unafikiri hiyo election ilikuwa kuhusu issues na debate/ Walitumia mchezo mchafu wa wedge issues, wakampaka Kerry ni Flipflopper, walikuwa wanaraise threat level kila siku na kusema bila Bush Marekani itapigwa bomu, mara tukasikia kimeta, mara eti materrorist wameonekana hapa na pale, mara swift boaters, etc.
Lakini tofauti ni kwamba Bush and his posse in GOP forgot that; You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time. sasa ukweliumeanza kujuliakna and that's why Bush's approval rating in 28%. And as hard as they try to bring wedge issues eti Church of Obama, is he patriotic enough, blahblah, watu wanaendelea kumsupport. Na hii imewachanganya kwani hawajatambua Americans ar not going to be taken for another ride - no more Bush lite years, and definitely NOT THIS TIME.

Just kukuonyesha jinsi GOP inavyoshindwa kuendeleza uongo wake read this:
 
Hebu ondoa huu utumbo wako wa kigay hapa.....gaffes za Obama ni kiboko!! Bila prompter Obama ana kigugumizi.....hajui afanye nini

Leo NN una hasira sijui hiyo Jumamosi itakuwaje.....
unabisha bila kuleta hoja, after listing for you Makopo's gaffes in one day umebaki kutukana. Lakini nakusamehe kaka, ni wakati mgumu huu, hebu tuendelee kukata issues.
Peace!
 

Yaani wewe kwa akili yako unadhani siasa ni mchezo msafi? Kweli wewe zuzu wa mazuzu!!! Hivi ni kina nani vile walioneza rumors kuwa Bush ni dumb na alipata Cs na Ds wakati yuko college halafu baadae ikaja kubainika kumbe hata Kerry alikuwa average students? Ni kina nani hao? Na ni nani yule anchor wa TV aliyezua uongo kuhusu Bush hadi ikabidi ajiuzulu...? I'm sorry, but you are in your element (talking sideways) today.....
 
Wakuu,

Tulioko US ningependa kujua wangapi tunachangia funds katika hizi kampeni tunazoshabikia kwa moyo na nguvu zote hapa?
 

Mifano uliyotoa ni ndogo sana ukilingaisha na uongo wa hali ya juu uliofanywa na GOP posse ya Bush. Na hizi ni wedge issues ninazozungumzia. Who cares kuhusu maksi? (BTW Kichaka mwenyewe alisema wakati wa graduation ya Yale Ás for D students , I want to tell them, there's still hope, I was a D student" so hakuna aliyemzushia Bush, it'a fact that he was BELOW average student. )
Kuhusu Dan Rather, sorry yeye si Democrat just an anchor.
Mifano hii are actually paling in comparison to what I listed including taking America to war by misleading the people (ie lies!).
Lakini mi ningekushauri ukapumzike leo maana it has been an emotional day for Dittoheads. Labda leo niko in my element maana bado party inaendelea hapa tukisherekea ushindi wa Obama! kwikwikwi.
Time to spoil oneself at the spa?! Nitakutumia coupon moja if you are in for it! Hahahaha!
 
Wakuu,

Tulioko US ningependa kujua wangapi tunachangia funds katika hizi kampeni tunazoshabikia kwa moyo na nguvu zote hapa?

Kuna michango ya funds, na pia kuna michango ya kazi! I think kazi is better pamoja na phone banking!
 
Leo NN una hasira sijui hiyo Jumamosi itakuwaje.....
unabisha bila kuleta hoja, after listing for you Makopo's gaffes in one day umebaki kutukana. Lakini nakusamehe kaka, ni wakati mgumu huu, hebu tuendelee kukata issues.
Peace!

SUV,
ukiona hivyo basi ujue ka-skip dose yake ya anti-psychotic meds....maana huo "NN" ni mtambo wa nguvu, usijali sana!!! bwahahahahaha
 
Kuna michango ya funds, na pia kuna michango ya kazi! I think kazi is better pamoja na phone banking!

Sus,

So I take it that you are involved with the grassroot work, phoning, volunteering man hours etc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…