US Election Coverage 2008

SUV,
nimeona jamaa mmoja wa GOP in MS ana run TV ads zinazo m-link opponent wake na Obama, kwamba ni Limousine liberal democrat, kwamba pastor wake kasema "NO NO NOOOO GD America......." cha ajabu jamaa wa DNC ana ji-distance na Obama, its a test na sio sign nzuri hasa kama jamaa akishindwa!!. Ni argument ambayo HRC watafanya kwa super delegates, kwamba Obama ni liability, too much of a baggage na anaweza kusababisha dems wakapoteza house na senate come November.....ipo tricky, though!!.
 

The damage has been done!
 
Republicans wanaovuka sio kwamba wametumwa, angalia approval ya Bush ilivyo, huu uchumi sio kwamba hauwaumizi hata Republicans this is real life. Walihama kwa jinsi Obama anavyoongea kwamba anataka kuunganisha wote Republicans and Democrats. Na Mama awe makini sana Indiana na ni kweli sasa hivi ma conservative Republican wanataka HRC ashinde Indiana ili waendelee hadi kwenye Convention lakini hii kitu itaisha tuu. Na nadhani mmemsikia Jaluo Indiana leo kwenye Democratic Dinner jinsi alivyomponda Mama na McCain. I still believe Jaluo atashinda tuu in Democratic. Na kama mama hatashinda kwa nguvu Indiana maana yake issue ya Rev Wright haijamathiri sana, kwa hiyo super deligates watakwenda kwa Jaluo. Lets wait and see.
 

I believe the guy is Chiders. Unajua that argument itaenda wee but will not get traction and you will see it fade. So far Obama amesaidia a number of seats to be won in red states and Democrats have increased their majority in state legislatures! Nilishasema politics of negative "He can't"is no working vis-a-vis positive message "yes we can".

Currently everybody thinks that Rev Wright is an issue but there's already overdrive and people are tuning out. It will remain to be seen, but I think that the gas tax holiday, Iraq war, Bombbombbomb Iran, are issues that will actually gain more traction now. There's only that much you can say about Rev Wright. It's like flogging a dead horse!
Politics of distraction works when the economy is safe and sound, unafikiri when people are feeling the pinch in their pockets, their first concern is Jeremiah Wright? No!
 
Haya mikikimikiki ya mwisho hizi za Hillary CLinton: Sasa anataka kuji-position as Republican tena wa mrengo wa kulia kabisaa! Eti she is pro-gun?! Alafu kibaya zaidi kachemka big time na mailer yake:


Lakini nadhani Hillary became acquainted with Mauser 66 when she was fighting sniper fire in Bosnia! 😀
 
Hapa sasa unaoneysha ushabiki wa kijinga. Hiyo flyer una uhakika gani kama Mama ame-approve hiyo message? Nadhani hii ni sawasawa na ile video ya wiki iliyopita iliyokuwa doctored na kampeni ya Obama ili kumpaka matope Mama. Obama doesn't have to resort to this.
 
I bet kuna watu ambao WANAOGOPA kuamini kwamba inawezekana mtu MWEUSI mwenye Mke MWEUSI kama Michelle wakiingia WHITE HOUSE na kudetermine mustakabali wa USA. Haiingii akilini... Wengi ambao wanaona huo uwezekano kama mdogo ndo hawaamini kama BO anaweza kuwa RAIS WA USA. But from my experience, watazoea tuu na BO akishakuwa Rais wataanza kumuona just like any other politician tuu.

Watakao kuwa dissapointed na Urais wa OBAMA (I really hope the guy will win) ni wale wenye expectations nyingi sana in this dude, wale wanaomuona kwamba by him becoming a president politics will have a new definition or blacks will get more opportunities than they currently get......guys lower your expectations.....

Especially watu weusi should scale down their expectations in this guy if he wins....ugumu wakuingia college, health care, illigal imagrations, poverty among the blacks nk..havitakuwa rahisi simply because BO is a president! Wall Street haitaanza kuajiri mweusi simply because their guy is in the WH, Africa umaskini wetu hautaisha overnight simply because BO is committed to give aid and loans to the continent.......

Otherwise, wengi humu wanaogopa sana si kwa sababu ya Chuki dhidi ya BO, ni ule woga ambao tumehubiriwa miaka yote kwamba mweusi ni second class anywhere..ukitaka kuchange conventional wisdom like BO is doing, hata watu wako wanakuwa hawakuamini....Watu weusi matatizo yetu mengi yanatokana na sisi wenyewe inherently..kwamba ukipata kitu kizuri ni kama vile you dont deserve.....But I bet BO is making it possible for the rest of us to see...With right atitude and determination to never take NO fo an answer..we can move ahead..

Mi ushabiki wa nani ni nani simo, ila hapa wengi wangekuwa happy hiki kinyang`anyiro kingekuwa kati ya wazungu, kwa sababu tulishaambiwa mtu mweusi ndo hivyo..ni kaputi hawezi kitu....Racial inequality in US or kwingineko haitamalizwa na speech za akina BO nk..ni mtu mweusi kukunja shati na kujua wajibu wake. Opportunities hutaletewa nyumbani..inabidi uzitafute..kwani BO nani alimtafutia? Jamani tuache mawazo mgando! Leo Africa tunasuffer anynews from here ni ni njaa, magonjwa, umaskini...na sisi tumeridhika na tunaona sawa..wale walishaendelea bwana..as if maendeleo walishushiwa kutoka mlima NEBO....Mtu mweusi bana..we are the same anywhere..lakini naamini.kizazi kijacho will do better..tumeanza na akina BO...ambao wameona kwamba haitoshi kukubaliana na hali halisi uliyoikuta...na ukipambana..unafanikiwa...

Ukombozi wa mtu mweusi popote pale ulimwenguni, utatokana na mtu mweusi kujigundua yeye ni nani na anapaswa kufanya nini kujikomboa...siyo kuwa spectators wa mafanikio ya wengine.
 
Masanja: Barack Obama's candidacy ni kweli imebeba a lot of symbolism kwa watu weusi, waafrika na watanzania. But sidhani ushabiki wowote unaouona humu ndani ni kwa vile tunasubiri BO atushushie utajiri wa Marekani Bongo! We are not naive, neither are our brothers and sisters in America. What is important is that hata mzungu atakuja kuamini that a Black man in America can succeed. The symbolism is undeniably huge. But it also is proof to all Black man that you can make it to become the most powerful president in the world!
Lakini pia he's not just another Black candidate kama akina Al Sharpton na Jesse Jackson
.
Kwanza kabisa, unajua kwamba Mama yake ni Mmarekani mweupe yayani mzungu? Je, Afrika tuko tayari kukubali rais wetu awe mtu mwenye mixed heritage? Je Tanzania mhalf casti akigombea urais tutamkubali, au ndo utasikia kama yale ya Salim Ahmed Salim?
Pili Obama amefanikiwa kwa sababu hakujiweka kama mweusi bali Mmarekani kwanza. Wale wanaotaka kumdefine kama mweusi kwanza ni opposition within adn outside the Democratic Party lakini hawafanikiwi.
Hivyo nadhani suala hili haliko black and white, na inabidi tujadili kwa mapana yake.
 
Exactly thats the point Susu, waafrika wengi tumejiweka kama VICTIMS kwanza harafu kama normal human beings second. Ni kweli historically tumenyanyasika sana, lakini je, should we become slaves of our past history? BO ni very powerful symbol kwa sababu ingawa aliona machungu ya weusi, lakini aliona hana budi kusonga mbele, potele mbali, na huwezi kusonga mbele bila kuprove wrong theory na beliefs za detractors wako, kitu mbacho wengi kimewashinda. Justifiably ndo akina Wright..(by the way mi yule mzee simlaumu na wanaomlaumu nadhani hawakuangalia bigger picture). Kwa hiyo hata humu au hata USA..weusi wengi hawaamini kwamba mweusi can be anything, if he wants to, must play a second fiddle to someone superior. Ni kitu ambacho kitatuchukua mda kufight, ni stereotype ambayo imetukaa kisawa sawa. Usishangae mpaka leo ndo maana viongozi wetu wanafanya ujinga na ufedhuli wa kila aiana, lakini watakwambia ni historia.

Perhaps CANDIDACY YA OBAMA itatufungua macho wengi kwamba despite the imperfections of the world, still we can fight for our rightful space in the world. After all, we are ALL tenants kwenye hii dunia!

Kuhusu sisi kuruhusu half casts..nadhani..its all about opportunism na roho zetu mbaya, kama Ulimwengu alivuliwa uraia kisa alidiffer na Mkapa, itakuwa kugombea urais? Lakini Rostam huyo huyo aliruhusiwa kugombea...you see...ndo dillema hapo. Africans we should accept challenges, accept genuine criticism, be accountable for our actions, and accept legitimate competitions and be ready to acknwoledge superior ideas and learn from better ideas!

Ukweli ni kwamba kama isingekuwa INSTITUTIONS ambazo zimeshajengwa na strong rule of law, leo USA watu kama wewe na BO msingekuwa na space....so you can see jamii ikijiwekea taratibu na ikawa tayari kuzifuata. Mafanikio ni makubwa mno! And USA democracy despite its flaws, I still believe that its the best model which the rest of the world should learn from. Ndo maana nchi kama Russia walishindwa...na sisi wengine tumeshindwa miserably..kwa sababu we are prepered to accept rules which favour our interests not the larger polity. USA is a beacon of hope and to me I really agree, ingawa hakuna demokrasia perfect, lakini uvumilivu na mtu kupewa haki ya kusikilizwa bado vinalindwa na kupewa kipaumbele.. Where else?
 
Thanks Masanja! I truly agree with you. Unajua America is truly a great place, and despite racism, deliquency, crime etc, what makes it tick is the respect and rule of law!
Kuhusu Rev Wright, mimi binafsi simlaumu. Namwona kama mtu ambaye ameona mengi na ku-experience mengi. Uliona interview ya Michael Moore on Larry King? Alipoulizwa kuhusu response yake to Wright alisema , "I am a white man." Akafafanua kwamba hawezi kumwelewa kwa sababu he doesn't know what it means to be Black in America. Akatukumbusha kwamba katika ujana wake Wright alikuwa haruhusiwi kupanda basi na kukaa siti moja na wazungu! Sasa coming from a past like that lazima atakuwa na kesi kubwa sana na serikali ya Marekani na wazungu. Leo hatuwezi hataku-imagine but those days are not too far away.
Mimi naamini in some cases there are valid reasons for BLacks kutoendelea ikiwa ni pamoja na historia lakini I agree that hatuwezi kusingizia siku zote the same thing, inabidi tutafute mbinu za kujiendeleza wenyewe. Without anger, without bitterness, just by rolling up our sleeves and let the dirt roll off!
 
Kuna mtu anaifahamu vizuri hii kesi ya Paul Vs Clintons kama inavyoripotiwa hapa http://hillarytruth.blogspot.com/, It might be some uzushi ndio maana nauliza!!!!!

Hii kesi ni kweli ipo, lakini huyu Peter Paul anaonekana si mtu wa kuaminika na siku zote anatafuta shari. Swali ni kwamba kwa nini mahakama imekubali kumsikiliza? Nadhani alifanya lie detector test na akapita. Lakini Clinton campaign imetoa gag order ndiyo maana hairipotiwi katika mainstream media, kwa hiyo kutokana na hii secrecy ni vigumu kujua ukweli uko wapi.
Unfortunately there's a lot of conspiracy theories out there about the Clintons and some are true so many tend to believe it, mimi binafsi naona kama the Clinton are too smart to have pursued money this openly with this person lakini kwa kuwa sina data nyingi independent, nashindwa kufanya final decision.
 
 
Huyu mama bwana ni fighter. So far ameshafanikiwa kum-reduce Obama from a rare species of politicians to a normal one to the extent that Obama himself seems to have abandoned his message of hope. Kilichokuwa kinafanya watu wamchague Obama ni huo utofauti wake na wanasiasa wengine wa America, sasa in the advent that this brand has effectively been dismantled by the fighter Hillary, why should people elect him tomorrow and, more importantly, come November (if he still stand to win the nomination)? Hivi mnaweza kuelewa au kutueleza sisi lay pundits nini kimetokea kilichomfanya Obama ashuke kutoka 20+ lead to something 5+ kwenye poll za NC? Ngoja mimi nikapumzike nisubiri kushangilia ushindi wa fighter kesho!
 

simpo!! ni sababu zilezile zilizofanya HRC kupoteza lead ya 26 points na ku-win kwa less than 10 points in PA!!

kaaaaazi kweli ipo.......
 

Hahaaa Kitila, lay pundits NOT! Wewe ni mshabiki!
We kaa hivyohivyo in Hillary land, Obama Nation tunasonga mbele. Ngoja tuone na huyu fighter wenu anayesema uongo bila haya.
 
....tonight hope mama will admit defeat and offer congrats to President Barack obama na tunategemea a very nice conceded speech which will appeal to her supportes to support BO,tofauti na hayo superdelegates itabidi wamwonyeshe njia mama ili watu wafanye kinachotakiwa kufanywa to defeat 100McCawar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…