Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,860
- 141,377
..kile kitendo cha Obama kumficha Pastor Wright kwenye basement inaonyesha dhahiri kwamba ni SIASA.
..vilevile kitendo cha Obama kumtosa Pastor wake, kinadhihirisha kwamba Obama is doing this for politics. kama Obama angekuwa anachukua uamuzi on principles basi angemtosa Pastor Wright muda mrefu hukohuko kwao Chicago.
..hivi kuna yeyote asiyeamini kwamba ugaidi unachochewa na siasa za nje za USA? ina maana Obama halijui hilo?mbona Mario Cuomo alitoa kauli kama hiyo?
..mimi nilifikiri Obama ataleta fikra mpya ktk siasa za mambo ya nje za marekani. jinsi muda unavyokwenda unagundua kwamba ndiyo walewaleee!!
..kuna kipindi alisema atazungumza na maadui wa USA. aliposikia kwamba Jimmy Carter anakwenda kuonana na Hamas akaanza kumpiga madongo.
..hivi mnategemea mtu anayeshauriwa na Ted Kennedy, Tom Daschel, Susan Rice, Anthony Lake, ataibadilisha Washington in any significant way?
..katika kura 85 kuhusu Iraq amepiga kura mara 84 sawasawa na Hillary Clinton. sasa mabadiliko gani anayoyazungumzia?
Halafu hawa watu weusi wananishangaza sana. Eti wamewakomalia kina Clinton na tuhuma za ubaguzi wakati Pat Buchanan wa PMS-NBC aliandika makala ya kibaguzi kweli kweli lakini siwasikii hao kina Clyburn wakiishikia bango hiyo network ambayo inam-support Obama....hehehe...yangu macho
..kile kitendo cha Obama kumficha Pastor Wright kwenye basement wakati anatangaza kugombea Uraisi inaonyesha dhahiri kwamba ni SIASA.
..vilevile kitendo cha Obama kumtosa Pastor wake kwasababu amezungumza kwenye press conference pia kinadhihirisha kwamba Obama is doing this for politics. kama Obama angekuwa anachukua uamuzi on principles basi angemtosa Pastor Wright muda mrefu hukohuko kwao Chicago.
..kabla ya hapo team Obama walijaribu kucheza na race card kwa kudai kwamba it was an "attack on the Black church."
..hivi kuna yeyote asiyeamini kwamba ugaidi unachochewa na siasa za nje za USA? ina maana Obama halijui hilo? mbona Mario Cuomo alitoa kauli kama hiyo?
..mimi nilifikiri Obama ataleta fikra mpya ktk siasa za mambo ya nje za marekani. jinsi muda unavyokwenda unagundua kwamba ndiyo walewaleee!!
..kuna kipindi alisema atazungumza na maadui wa USA. aliposikia kwamba Jimmy Carter anakwenda kuonana na Hamas akaanza kumpiga madongo.
..hivi mnategemea mtu anayeshauriwa na Ted Kennedy, Tom Daschel, Susan Rice, Anthony Lake, ataibadilisha Washington in any significant way?
..katika kura 85 kuhusu Iraq amepiga kura mara 84 sawasawa na Hillary Clinton. sasa mabadiliko gani anayoyazungumzia?
I've given up...this Obama train is unstopable....
Mkuu samahani mimi huwa sijiiingizi kwenye yanga na simba, mwanzoni nilikuwa ninamuamini Jaluo, lakini juzi amenihakikishia kuwa ni another politician kama kina Clinton, alipojaribu kumkana mtu aliyemfikisha alipo, yaani mkulu wright na the fact kwamba amekuwa akimkana, wakati Wright anasema walikuwa wote ile siku alipotangaza kugombea lakini alimficha basement, that is pathetic!
My conclusion ni kwamba Democratic party, haina tofauti yoyote na chama cha Mtikila, either chama ni kibovu au kionaongozwa na viongozi wabovu au hakina viongozi period, kama kipo kweli, halafu for some very unknown reasons, waa-Afrika tunaonekana kuwakumbatia sana hawa wapuuzi Democrats, ambao hawana muelekeo wala fresh ideas, wamepitwa sana na wakati na belive me kama sio huu uchaguzi nisingewaelewa kabisa kama ninavyowaelewa sasa, Republicans would never let chama chao kikajivuruga namna hii,
Hao superdelegates wa Congress wanashawishiwa na Pelosi, another joke, spika wa bunge lenye 28% approval against 31% approval kwa Joji Kichaka, yaani hata Kichaka anawazidi akili, wakati wao walichaguliwa ili kumnyooosha Kichaka, miaka miwili ya uongozi wao Democrats, kila kitu kimepanda bei mara mbili, Mkuu hizo hela Jaluo anapewa na wanaomchukia Hillary kina Moore, another joke, so far wanachoweza ni kumpitisha Jaluo tu kwenye nomination, lakini hawawezi kumpa urais maana walishindwa kumpa Gore, ni hao hao pia walishindwa kumpa urais Kerry,
Viongozi wa chama chochote cha siasa wenye akili za kuona mbele, by now wasingeruhusu huu mpasuko kufikia ulipo sasa, walitakiwa kuwaunganisha mapema, ili angalau wawe na strong tiketi, matokeo sasa ni Republicans doing enything they could kumsaidia Hillary, na hasa hiii "Operation Chaos" inayoongozwa na mazee Rush, watu laki moja na sitini wa Republican party wali-cross the line na kumpigia kura Hillary, kule Penn state, Hillary alishinda kwa kura laki mbili, kwa hiyo ina maana kati ya hizo kura laki moja na sitini ni za Republicans, sasa kwenye General election itakuwaje?
Makeni kutokuwa na hela sio tatizo, hajawahi kuwa na hela lakini mbona alimshinda bwana hela Romney? Wamarekani wanaenda na a winner, sasa hivi hela zitaanza kumwagika kwa Makeni, kwa sababu watu wengi wameshaanza kukata tamaa na Jaluo, mwanzoni nilikuwa ninazimia na Jaluo, lakini I am sorry next time agombee akiwa Republican sio Democrats, ni chama kibovu kazi kila wakati kuwa on defensive, na kuficha ficha uovu wa viongozi wao, halafu ukijulikana wanahangaika, tizama sasa wameficha uchafu wa Jaluo weee ambao kwanza sio a serious uchafu ambao ungetolewa mwanzoni wala isingefikia hivi, lakini ni kwa sababu ni incompetent kama mtandao, ndio maana hawafai,
Democrat ya kina JFK, sio hiii ya sasa, mkuu wangu unayesema kuwa Jaluo hajawa afected tafuta namba za kuanzia juzi zinasema nini kuhusu kushindana na Makeni, huu uchaguzi umenisaidia one thing ume-expose uozo wa Democrat kuwa ni chama kisichokuwa na muelekeo wala mpangilio!
...imebidi nicheke tuu!
Texas superdelegate John Patrick endorsed Barack Obama today, citing his record of standing up for working families and opposing trade deals that fail to protect American workers. Patrick explained:
Senator Barack Obama has spent a lifetime standing up for American workers, and he will be a crucial voice for us in the White House. Senator Obama chose a career as an organizer on the streets of Chicago, fighting for working families who lost their jobs, specifically those families in neighborhoods devastated by steel plant closings. He has consistently opposed unfair trade deals that fail to offer protection to American workers - like NAFTA. Senator Obama has a real plan to put money back in the pockets of working families by restoring the manufacturing base in America.
Patrick is a Democratic National Committee member, a 31 year member of the United Steelworkers (USW) as well as a Vice President of the Texas AFL/CIO. The endorsement brings the total number of superdelegates to endorse Barack Obama to 249. Barack is now 283 delegates away from securing the Democratic nomination
..nafikiri kuna mtu anaiba password ya FMES kuandika haya mambo,huyu sio FMES tunayemjua for 20 yrs!
Mkuu Koba hebu naomba niambie exactly nini msimamo wao on vita vya Iraq?
TIME FOR COMMERCIAL BREAK
...hilo tank sio mchezo na inabidi kushiba kabla ya kulikabili,check mzee mzima alivyomix hii joint na beats zimeshiba kama hilo tank
[media]http://www.youtube.com/watch?v=UYzUWtml8Fc[/media]
Susuviri,
..hii race mimi naiangalia kama outsider -- Mtanzania. kwa ujumla sina maslahi nayo.
..ninachokataa mimi ni kuchukuliwa msukule. kama Hillary amekosea nitasema, na kama Obama amekosea nitasema vilevile.
..katika hili suala la Pastor Wright mimi naamini huu ulikuwa mchezo wa siasa. kama siyo siasa kwanini Obama na Wright wafichame kwenye basement wakisali kabla ya kutangaza candidacy yake?
..pia nimemsikiliza Pastor Wright na nina hakika ni mtu mwenye elimu yake. kuna mambo ameyasema ambayo amepotoka. pia kuna mambo mengine ameyasema ni ya kweli isipokuwa ameyawasilisha in an irresponsible way.
..hapa nilipofikia Obama tayari ni President elect of USA. siwezi kuwa kama Andrea Mitchell ambaye kila akitaja jina Obama analengwa machozi. i have already passed that excitement phase. i have gotten used to the speech. namuangalia Obama kwa macho makavu.
Anyway the candidacy of Obama rests in the media..they can do anything...maana kuna vitu vingine by human power, you can simply do nothing!