US Election Coverage 2008

Hiyo story ya hospitali ni honest mistake. Yeye aliambiwa na Sherriff Deputy mmoja kuwa hivyo ndivyo ilivyotokea na yeye akairudia hii story kwenye capaign stump.

Halafu usikute hiyo hospitali wanakataa tu kwa vile ni publicity mbaya kwao.

Nyani, ningekubaliana na wewe, lakini Clinton camp wamekuwa wepesi kukubali kosa alafu Mama ameendelea kutumia huu mfano. Hospitali haijadanganya, hii story siyo kweli kwa sababu NYT wamefuatilia. Mi sisemi Mama personally ana makosa, yeye anafanya anavyoambiwa, ni hao wanaoendesha kampeni yake. They do not vet stories, also wanaporetract story wanatakiwa wamwarifu Mama asiendelee kutmia story.
Haya, naona Mark Penn kanyanganywa title yake ya Chief Strategist baada ya gumzo kuwa kubwa sana about Columbia-gate! Lakini naona anaendelea kupata milioni zake kama advisor, changa la macho maana hadi Ed Rendell kasema Penn has to go! Hillary angetakiwa kum-drop kabisa Mark Penn zamani hata Ickes alishasema Penn is affecting the campaign and giving bad advice.

Hii ndiyo judgement tunayozungumzia, that judgement tounces experience any time! Angalia gaffes yaliyofanywa na Obama camp and compare them to Clinton!
The problem Mama yuko surrounded with egoist pollsters and advisors! Angefanya kama Babu McCain, fire everyone and start from scratch! But it is too late. Babu alishtuka mapema and won the nomination! Mama hajashtuka na amepotea, too much advice!
 
Mark Penn is not a strategist..has never been one. He's a pollster. He shouldn't have been the top guy in the Clinton campaign, labda kampeni ya Sen. Clinton ingekuwa na taswira nyingine. Strategy za Mark Penn ndizo zilipomfikisha Mrs. Clinton where she is at the moment. But because of her loyalty to him...let him continue to rake millions of $$ for advising her to be negative negative and to play the "EXPERIENCE" and "READY ON DAY ONE" cards which kinda backfired on her.
 
.....hivi Mark Penn, sika-resign kabisa au???
 
Siku zote hizi umekuwa ukifanya nini sasa.....kunywa gongo?

busy na kazi, nilikuwa na cover ma-12hrs shift ya watu.......downtime, nilikuwa naitumia kwa "operation chaos" mitaa ya kati(kwa kina naniliii bin vikarogosi)!!!.
 
wasee,
naona huko PA, Obama ame-narrow gap ile mbaya yaani....kuna baadhi ya polls zinaonyesha yupo down kwa 6 points tu!!

....McCain naona anazidi kuchanganya, Shia/Sunni na Al qaeda/Iran!! hii mix up ni what's up??
 
Hiyo sio ishu. Average joes na janes hata hawajui Shia na Sunni ni kitu gani. Mi mwenyewe sijui....

Hata kama amenarrow gap, bottom line Obama hawezi kushinda Novemba..
 
usiwe kama rafiki zako wakina nanilii wanaojifanya wanajua kila kitu.........mie naongelea primaries, wewe unaongelea generals!! vitu mbili tofauti, and how do you kno' kwamba Obama hata shinda in november??
 
Obama can't win because you Liberals have fallen for the okie doke!! Everybody knows it except you liberals. Have you read Ann Coulter's book?
 
wasee,
naona huko PA, Obama ame-narrow gap ile mbaya yaani....kuna baadhi ya polls zinaonyesha yupo down kwa 6 points tu!!

....McCain naona anazidi kuchanganya, Shia/Sunni na Al qaeda/Iran!! hii mix up ni what's up??

Hizo polls bwana zina mambo. Nakumbuka ilikuwa hivihivi hata huko Ohio lakini kura zilipopigwa mambo yalikuwa ni makubwa. Nilichogundua katika uchaguzi huu ni kwamba wazungu katika haya majimbo makubwa wanachosema na wanachofanya ni tofauti. Wanasema kwenye polls kwamba watampigia Obama ikija kwenye kura zenyewe hawampi. Mimi naamini Hillary atashinda vibaya sana huko PA. Ngoja tusubiri, tarehe 22 sio mbali na hii post nitaiibua.
 
Obama can't win because you Liberals have fallen for the okie doke!! Everybody knows it except you liberals. Have you read Ann Coulter's book?

"Why are we excited about Obama and why he can't win?" Are your talking about this one?
 
This interview maybe outdated now, but makes an interesting read!

Obama can't win because you Liberals have fallen for the okie doke!! Everybody knows it except you liberals. Have you read Ann Coulter's book?

yaani kati watu wooote we umeona Ann Coulter!!?? of course tunajua na strategy inayotumika si ndiyo hiyo ya kumwita Obama, Tiger Woods?? au ni ipi? issues sio......tell me man, what's the winning strategy in november??
 
...nilichokuwa naongelea juu ya PA ni kwamba ushindi wa mama hautakuwa "knock out punch under the chin"!! hivyo kutompa momentum yoyote going to NC......point iliyofikia hii kitu ni kwamba, primary yeyote mama akishindwa starting na hiyo ya PA, then she's out!!!
ubaguzi na unafiki wa wazungu tunaujua....unaongezeka kadri ukiwa unasogelea pwani ya atlantic hasa hasa north eastern corridor..halafu unavuka bahari na kuamia huko kwenu!!!.
mie natakuwepo hapa kuona ukiibua tena hiyo post yako kwikwikwikwikwikwi kwani utabiri wako utakuwa mkubwa kuliko hata ule wa Sheikh Yahya Hussein!!.
 
yaani kati watu wooote we umeona Ann Coulter!!?? of course tunajua na strategy inayotumika si ndiyo hiyo ya kumwita Obama, Tiger Woods?? au ni ipi? issues sio......tell me man, what's the winning strategy in november??

It's obvious but if you can't see it then just wait 'till November...okay?
 
Shelby Steele, anasema kweli lakini naona kama kakata tamaa......kuita watu "bargainers" kama alivyoitumia na mifano aliyotoa ni sawa na kuita watu "uncle tom"!!! sasa sijui anatuma message gani??

hivi MLK alikuwa ni bargainer, challenger au alikuwa na hybrid ya hivyo viwili??
 
Wewe pia umewahi kuniita mimi Uncle Tom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…