DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 560
haya mambo ya kutegemea fulani akiingia White House basi atasaidia Afrika ni kujibweteka, waafrika tutajisaidia wenyewe tusianze kusubiria fulani, wao wako kuserve interests zao, nani anaserve za kwetu?
Anayeingia white house sio lazima aisaidie Africa!Ila sera na misimamo ya wanaoingia inaziaffect Afrika hilo liko wazi..na hakuna asiyejua kuwa Afrikans needs to help themselves..lakini husisahahu there's people who determines the world's direction and its well being!UPO?Nimeamua nikupe Icon ya light..it was so easier to remember the ICON since it is Just like ICADON-AD=ICON..LOL!haya mambo ya kutegemea fulani akiingia White House basi atasaidia Afrika ni kujibweteka, waafrika tutajisaidia wenyewe tusianze kusubiria fulani, wao wako kuserve interests zao, nani anaserve za kwetu?
..jamani mimi ndiye niliyeuvuta mjadala kuelekea kwenye matarajio ya mahusiano kati ya serikali ya Obama au Hillary na bara la Africa/the rest of the world.
..mahusiano hayo siyo lazima yawe kwenye budget support. sote tunaelewa kwamba mahusiano kati ya Marekani na Africa yana-entail mambo mengi zaidi ya budget support.
..ninachojaribu kuuliza ni jinsi gani Barack au Hillary watashughulika na matatizo kama Israel,Iran,Lebanon,Zimbabwe,Darfur,Somalia,Congo etc etc.
..vipi kuhusu masuala ya AIDS/HIV, na mambo ya Global Warming.
..pia ningependa kujua ni jinsi gani watashughulikia mahusiano ya Afrika na multi-national corporation.
..naamini hayo yote ni sehemu ya AMERICAN FOREIGN POLICY.
NB:
..pia hakuna makosa kujadili misaada toka serikali ya Obama au Hillary. nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba bajeti za nchi nyingi za Kiafrika bado zitategemea misaada come Jan 2009 wakati Raisi mpya wa US anapoapishwa.
*** Denis Ross yuko kwenye kampeni ya nani?
Kutokana na jibu la swali aliloulizwa Obama leo kuhusu Al Gore kuna uwezekano wa kuwa na watu wengi wa Clinton team kwenye administration ya Obama kama akichaguliwa?
Sina wivu wowote kwa mashabiki wa Obama na sina sababu yoyote ya kuwa na wivu kama ningekuwa nawaonea wivu. I think he is just hype and I can't wait for him to go head to head with the Mac...
Sina muda wa kuangalia Countdown...
Usikose kuangalia Hannity and Colmes...9PM EST
Where is Michelle My Bell Obama...haven't seen her for a minute...
Michelle yuko Pennsylvannia na alionyeshwa kidogo on CNN. Sema media ya US haijampa coverage kubwa kama Chelsea ambaye hata maswali hachukui (eti bado mtoto).
Anyway kazi ya kucheki akina Hannity unaiweza wewe Nyani, tulitegemea wewe utuletee feedback ya utumbo watakayoongea.