Kwenye hili i believe si makosa bali ni politics..ni deliberate move kuextend conversation na pia kuitwist ili isije ikamrudi..kumbuka bibi yake bado yuko hai na anaweza kuonekana anytime luningani akibwabwaja maneno kadhaa kuhusu mjukuu wake mpendwa ambaye imetokea kuwa ni mweusi!Halafu yeye ndiyo atakayewaachia pundits waendelee kulumbana na bibi kuhusu "typical whiteness"halafu bado anawasisitizia kuwa na yeye pia ni credible kumake comment kuhusu white..kwasababu hata yeye ana "whiteness" na pia "blackness"..Kwa maana nyingine ni kuwa ana kila haki ya kuwa black na ana kila haki ya kuwa white!both at the same time!That itself is historical!Especially kwa bwana Hussein!Ni kweli Obama amechemsha katika hii ishu , ila wakati mwingine ni vizuri kujua ya kuwa hawa wote ni wanadamu na huwa wanafanya makosa , hawa watu wanatoa spichi zaidi ya 15 kwa siku kwa hiyo kuna sehemu watafanya makosa ila kuchukua sentensi moja na kumlabel Obama mbaguzi sio haki . Obama anatakiwa akae mbali kabisa na suala la Race kwani atawin Argument lakini hata loose kura , so he has to put two and two t'gether .
Kitila black Americans au African Americans wanavyopenda kujiita, wana matatizo sana nadhani umeona mwenyewe tangu Obama ameanza campaign mpaka leo... from he is not black enough(hii ilitoka kwa prominent leaders)..to hayo madudu ya pastor. safari hii kitawauma sana product ya mzungu na mwafrika asilia inawachachafya...Imagine chuki waliyonayo weusi wengi dhidi ya waafrika(kutoka afrika) itakavyokuwa.
ndio maana hii kampeni ni tamu sana......jamii zote mbili kubwa hapa US(blacks and whites), zinaambiwa na kulazimishwa kula matapishi yao!!! wote hawana adabu.....they need to CHANGE!!.
Slowly wanatoka wenyewe huko waliko wanaanza kuingiwa na neno,wale waliokuwa wanasema just words na speeches wana kazi mwaka huu
"As a Hispanic, I was particularly touched by his words. I have been troubled by the demonization of immigrants--specifically Hispanics-- by too many in this country... Senator Obama has started a discussion in this country long overdue and rejects the politics of pitting race against race." Bill Richardson
Hii ilikua very strong statement na kuna watu eti wanasema it will not translate into votes.I doubt if they know the politics of the minorities!
Akina BIllary walikuwa wanampigia simu every other day, kumbuka wakati wa super bowl clinton alikwenda Santa Fe kuangalia game naye, na Richardson akamuomba Clinton afanye something about a particular woman kwenye campaign ya mama kwa jinsi alivyokuwa anampigia simu na kumsumbua.
Icadon heshima yako mkuu,
I like the way you read the depths of this thing.Watu ni wajiulize if Bill Richardson's endorsement sio big deali mbona Bill Clinton alienda kutega naye kishkaji huku wakiangalia Super Bowl?Kisha huyu Bw. is the leading politician amongst the latino community hands down...both in political credentials and office governance!!!
Kwa hivyo to me its big na hata news media wanasema kua Hillary kukosa hio endorsement ni big deali.Asante.
Hahahahaha....naivette of the highest degree. Tangu lini endorsement zinamaanisha kura nyinyi? Halafu hata kama zinamaanisha kura (kama fikra zenu potofu zinavyowatuma) hiyo endorsement haitakuwa na maana yoyote sasa. Ingekuwa na maana kama ingekuja kabla ya Nevada, California, Arizona na kwingineko kwenye Latinos wengi.
Kumbuka hiyo ilikuwa kabla ya Super tuesday....
Siku ya siku ikifika wazungu wengi watampigia kura McCain na weusi wengi watampigia kura Obama. Kura za minorities wote hazitoshi kumpa ushindi Obama. McCain ana advantage kubwa sana. Yaani jamaa (GOP) walivyo confident wameshaanza kujifanya kama tayari wameshashinda...ona tu jinsi babu alivyoenda mashariki ya kati na ulaya na kukutana na viongozi wa huko. Hii ktk mawazo ya watu inawapa picha ya kwamba jamaa yuko tayari kushika hatamu na yuko presidential huku ka bwa mdogo kanajitetea na Mama naye akihaha...
"It was tough to make the call, but I did. It got a little heated. It got a little tense. But it was understood, and I'm proud of my decision."-Bill Richardson.
if it doesn't mean anything, why did the conversation get a little heated and tense? mimi sina jibu labda mwenzetu unalo.
huko ulaya na middle east nini cha maana alichofanya?sana sana kaji-expose juu ya jinsi gani ambavyo yupo shallow kwenye mambo mengi sana!! hajui tofauti ya sunni na shia, sikukuu ya ki-jew anaifananisha na halloween, mfupi kwikwikwikwi......tunamsubiri arudi hapa naye aanze kupata kibano chake, maana Dan Abrahama kesha sema kwamba kibabu kinapata free ride kwenye media!!.........
halafu kumbe ile ishu ya Chris Wallace leo asubuhi kwenye "Fix and Friends" ilikuwa kubwa tu.....afadhali yake ana advocate true journalism badala ya ushabiki wa kijinga. kudos kwa Chris Wallace.
Labda sasa Obama atakwenda kwenye show yake ya jumapili...maana Wallace keshaanza countdown ya tokea Obama aahidi kwenda mwaka jana au juzi.....
well, so be!! labda kajifunza kuacha "in your face journalism" toka baada ya ile heated interview yake na Bill Clinton last year........ H&C kuna mpya gani leo au bado ni tapes tu za Dr. Wright??
1. Bll Richardson, anatafuta umakamu naaamini alienda kwa kina Clintons, wakamwambia hawana nafasi, akaahidiwa kwa Jaluo. Endorsment yake a big deal? Not real, au it depends ingekuwa basi State yake ingemchagua Jaluo, they did not. Je anaweza kuwahawishi Hispanics wote wampigie kura Jaluo, no? Why? kwa nini Hispanics hawakumpigia kura yeye Richardson mgombea in the first place? All and all, the endorsment ni another plus kwa Jauo, on superdelegeate
2.