Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,857
- 141,332
hii arguments ya hillary kuwa he is electable cause she won big states is just a gimmicks,take a closer look with numbers,kumbe yuko nyuma,inabidi media wangalie vizuri waanze kumchallenge na hii case yake
Consider the top 9 "big" states that have voted so far
State . . . . . . . Obama . . . . . . . .Clinton
California . . .2,126,000 . . . . . . .2,553,000
Texas . . . . . 1,358,000 . . . . . . .1,459,000
New York. . . . . 698,000 . . . . . . .1,003,000
Illinois. . . . 1,302,000 . . . . . . . .662,000
Ohio . . . . . . 982,000. . . . . . . 1,212,000
Georgia . . . . . 704,000 . . . . . . . .330,000
New Jersey. . . . 492,000 . . . . . . . .603,000
Virginia . . . . 627,000 . . . . . . . .350,000
Washington . . . 354,000 . . . . . . . .316,000
Total . . . . . 8,643,000 . . . . . . .8,487,000
number dont lie!
Haka kasentesi mkuu unakapenda, nakumbuka ulisema hivihivi wakati wa mchakato wa kampeni za Ohio. Baada ya Hillary kushinda, nikakuuliza vipi ile dream imekuwa true, kimya hadi leo! There is nothing with dreaming by the way!
Wewe uelewa wako uko mdogo sana. Anachosema Mama ni kwamba, yeye kashinda majimbo makubwa pamoja na yale ambayo ni LAZIMA Democrats washinde novemba ili kuchukua White house. Sasa hapa umeweka GA na TX ambazo ni reliable GOP strongholds na hayo mengine yaliyobaki ni Democratic. Argument hapa ni swing state. Kama Kerry angebeba Ohio it would have been a wrap for Bush.
Jimbo nyeti hapa ni Ohio na Florida ambayo yote Mama kashinda kwa nguvu. Virginia ni GOP stronghold
Wewe uelewa wako uko mdogo sana. Anachosema Mama ni kwamba, yeye kashinda majimbo makubwa pamoja na yale ambayo ni LAZIMA Democrats washinde novemba ili kuchukua White house. Sasa hapa umeweka GA na TX ambazo ni reliable GOP strongholds na hayo mengine yaliyobaki ni Democratic. Argument hapa ni swing state. Kama Kerry angebeba Ohio it would have been a wrap for Bush.
Jimbo nyeti hapa ni Ohio na Florida ambayo yote Mama kashinda kwa nguvu. Virginia ni GOP stronghold
....wewe ndio huelewi unaonekana,hayo majimbo ya California,New York,Illinois hata Obama guarantee atashinda,Democrats sio lazima washinde Fl or OH to take white house maana hata AL Gore hakushinda hayo ila alikuwa chini for only 4 electoral vote,kwa akili yako kwa sababu kashinda OH primary basi ndio atashinda hiyo state in GE,hata Gore & kerry walishinda hizo primary lakini walishindwa GE,na sasa kwa taarifa yako virginia & Colorado zipo in play na Dems wana chance nzuri sana ya kushinda hizo states..angalia ndugu yako makaka kilichomkuta huko virginia na angalia exit polls za virginia ndio utaelewa.
I thought you were for McCain...ooops I was wrong you are for McClinton
Wewe uelewa wako uko mdogo sana. Anachosema Mama ni kwamba, yeye kashinda majimbo makubwa pamoja na yale ambayo ni LAZIMA Democrats washinde novemba ili kuchukua White house. Sasa hapa umeweka GA na TX ambazo ni reliable GOP strongholds na hayo mengine yaliyobaki ni Democratic. Argument hapa ni swing state. Kama Kerry angebeba Ohio it would have been a wrap for Bush.
Jimbo nyeti hapa ni Ohio na Florida ambayo yote Mama kashinda kwa nguvu. Virginia ni GOP stronghold
You got it...I'm for McClinton...so if Mama doesn't make I've somewhere to fall on, now what?
Nyani best don't let your emotions carry you away...we still have some seats in our Bus (Barack Coach) and if the going gets tough remember you are always welcome here especially after November.
Kumbe ndio maana unawatetea maana hata hujui kauli zao za kibaguzi!!
Ok, this is what happened: Rev. Jesse Jackson referred to Jews as "Hymies" and to New York City as "Hymietown" in January 1984 during a conversation with a black Washington Post reporter, Milton Coleman. Jackson had assumed the references would not be printed because of his racial bond with Coleman, but several weeks later Coleman permitted the slurs to be included far down in an article by another Post reporter on Jackson's rocky relations with American Jews.
So at the Democratic convention when he gave a speech he apologized and said God wasn't finished with him yet.
Nyani Ngabu,
..ku-oppose vita wakati uko nje ya Senate ni tofauti sana na ukiwa ndani.
..nafikiri hapa Obama naye anapaswa kulaumiwa kwa kuongeza "chumvi."
..Obama anajidai kana kwamba alikuwa confronted with the same facts na intelligence briefing walizopewa Hillary,John Kerry etc.
..Obama anataka kujiweka kundi moja na watu kama Kucinich ambao kwa kweli wanastahili sifa kwa ku-oppose hii vita. hao walipata intelligence briefings na wakakataa kuunga mkono vita.
..vilevile wale waliopinga vita hawakupinga kutokana na "judgement" bali "PRINCIPLES."
..Intelligence facts were very convincing, but equally wrong. siamini kama kuna aliyeweza ku-oppose vita on "judgement."
..Wanaopaswa kubeba mzigo wa lawama ni watu wa Intelligence. kuwalaumu kina Hillary, John Kerry,Colin Powell,..ni siasa na ujanja-ujanja.
..Nilitegemea watu makini wangemuuliza Obama, yeye Intelligence alikuwa anatoa wapi, mpaka akaweza kuvipinga vita vile?
NB:
..Namkubali Obama awe Raisi wa USA, lakini kuna mambo madogo madogo yananifanya nimuone naye ni kama wanasiasa wengine.
..Vilevile ni change gani huyu bwana ataileta kwa Wamarekani weusi?
Duh! Nyani, man you keep a grudge! Hii statement ya Jesse haizungumzwi tena maana alishaomba radhi na it's mea culpa. Naomba tusije tukachanganya remarks kama hii na hizi za Rush Limbaugh ambaye day after day anaongea racist remarks. Au Falwell ambaye alikataa ku-integrate his college.
Bado hujani-convince that Jesse Jackson na Al Sharpton who were presidential hopefuls are same as Rush Limbaugh and Jerry Falwell. Hata Pat Buchanan alikuwa ana some comments ambazo I think border on prejudiced thinking lakini bado namkubali zaidi kama conservative than hao Rush and Falwell.
its real really funny watu kama kina Nyani Ngabu ambao nimeanza kupata wasiwasi kama wanajua History ya hii nchi na struggle za kina Sharpton na Jesse,hana idea hao kina sharpton ndio sasa atleast wamemfanya aonekane naye ni binadamu katika nchi anayoishi,Nyani refer mambo ya Equal housing bill na Equal Employment,Brown Vs Board of education,profiling,loan etc utaelewa jinsi kina Jesse walivyohangaika ambao ndio hao unaowatukana leo,hao republican walikuwa busy to block kila bill ambayo ingesaidia mtu mweusi,labda mwenzetu mzungu...sikulaumu lakini unaonekana you dont know shit zaidi ya kuwa fanatic tuu!
Mimi ninakuwa fanatic...okay!
Unamjua Al Gore Sr...? Unamjua Senator Robert Byrd?
Mimi ninakuwa fanatic...okay!
Unamjua Al Gore Sr...? Unamjua Senator Robert Byrd?