Au kwa lugha rahisi tunaweza kusema lengo hasa la mrusi ni kuifanya Ukraine kuwa Somalia ya UlayaLengo la Urusi ni kuisambaratisha kabisa Ukraine.
Crimea iliondokaje?Hicho kitu hakipo na hakitatokea endeleeni kuota lakini muda ndiyo utawapa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado iko UKRAINE chini ya Zelensky, Russia dhaifu mnoooo haina ubavu wa kuichukua crimea.Crimea iliondokaje?
Umezaliwa lini wewe?Bado iko UKRAINE chini ya Zelensky, Russia dhaifu mnoooo haina ubavu wa kuichukua crimea.