Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili
Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao.
Endapo kura hiyo ikienda kama ilivyopangwa basi Kherson itakuwa nchi ya tatu kufanikiwa kuundwa ndani ya Ukraine
Uhuru wa hili jimbo utawezesha kupatikana kwa daraja la ardhini kwenda Crimea kitu ambacho Putin anakihitaji ili kulinda mabomba ya mafuta na logistics routes dhidi ya kitisho cha NATO.