Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho.

🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.

Screenshot_20240325-205910~2.png
 
Putin ana msimamo, Kiburi na Roho ngumu sana sijawahi kuona kwa Marais wa sasa wa Dunia hii...Duuh na bado anashinda kwa kura karibu zote nchini kwake

Nafikiri nchi karibu zote za Ulaya wanatamani V. Putin afe

Ni kama walivyofanya juu chini kufa kwa Ghadafi na Sadam Hussein wa Iraq....ila naona kwa huyu inawawia vigumu

Putin ana 70's sasa sijui kama atakayekuja atakuwa kama yeye au ataingia katika mifumo ya NATO
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
 
Aiseeee
 
Israel hii hii inayopigana na wanamgambo miezi minne Sasa na wameanza kulia lia vita viishe
 
Huyu jamaa naye hana consistency sasa

Sijui ni kudata na lile shambulio la kigaidi?

Leo nimeona taarifa mpya ikidai Putin amedai Yesu alikuwa ni Nigga yani mweusi. Alikuwa wapi siku zote hizo kutuletea huo uthibitisho kuwa Yesu alikuwa mweusi?

Kwanini hilo lije punde tu baada ya kushambuliwa na magaidi?

Kwanza nami namashaka huwenda Putin ni mwafrika. Jamaa ana kila dalili za kuonesha huyu ni familia kwasababu ukipima matukio yake utaona kabisa haya ndio matatizo yetu ya asili.

Yeye kama kasema Yesu ni mwafrika na mimi nasema Putin pia ni wakumwanya kabisa

Palestina ipo kwenye majanga zaidi ya miezi sita alikuwa wapi kutoa kauli hiyo siku zote hizo? Kwanini leo.

Huyu anachokifanya ni kutafuta uungwaji mkono tu, ni kama yupo frustrated kwa kile kilichotokea.

Huyu kwa situation iliyotokea kwake hakupaswa kuwa mtu wa kuanza kudili na mambo ya majirani wa mbali ilihali kibarazani kwake tu kuna matatizo mengi yanayohatarisha usalama.
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Kwanini aende wakati ana rafiki yake Iran mwenye vikundi vya kutosha tu pande zile
 
I
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Israel anapigwa gorilla war. Ananyofolewa kidogo kidogo.
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Kwani kuunga mkono Palestina mpaka wapeleke Jeshi? anaweza kuwasaidia kwa njia nyingi tu mbona kama umechukia kusikia hii habari😂
 
Back
Top Bottom