Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2014 Urusi yarudi katika tip 10 za mataifa yenye uchumi mkubwa duniani!
Maswali ya kujiuliza
1. Vikwazo havifanyi kazi?
2. Kama sio vikwazo Urusi ingeshindwa kuwa top 3?
NB: wale wanao endekeza upinde walitarajia vita pamoja na vikwazo vingeyumbisha taifa la Urusi.
Link: Russia Returns to Top-10 World's Largest Economies First Since 2014