T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,927
- 47,182
Marekani imetajwa wapi wewe Mrusi?Kwani waleta habari wamesema taarifa hizo wamazichambua kutoka katika source hipi?? Nani ambaye hajui taasisi ya IMF inajihusisha na masuala gani, lakini kwa kuwa mchambuzi ni mrusi mtamsema sema tu vibaya, huu ni ushahidi tosha kwamba MSM za magharibi pamoja na Hollywood movies zimewanikiea sana ku-brain wash watu wengi sana Duniani kuamini kwamba bila Amerika Duniani itakwama ie fikia mwisho wake, si wote lakini wengi wana mawazo kama hayo.
Punguzeni hizi mentality zenu za Russiaphobia - wengi wenu mawazo yenu hakuna jambo jema linalo zungumzwa kuhusu Urusi - iwe sayansi na teknolojia, masuala ya jeshi, mechanised kilimo na uzalishaji wa fertilizers Duniani, ngano na mafuta ya alizeti, heavy Industry, civili na military flying machines, nuclear technology mpaka sasa wamekwisha fungua viwanda vingapi Duniani vinavyo tumia nishati ya nuclear kuzalisha umeme - vingi tu!! Juzi hapa nilikuwa nasoma sehemu Amerika ikitishia Taifa la Afrika au Asia kwamba Warusi wakiendeleza ujenzi wa nuclear reactor basi Taifa hilo litawekrwa vikwazo vya kiuchumi -lakini Taifa hilo lilisimama kidete kwamba hakuna Taifa lolote lenye mamlaka ya kumchagulia rafiki!!
Sputnik inasherehekea Russia kurudi nafasi ya 10, Marekani iko nafasi ya kwanza sasa wapi na wapi.
Hapo hakuna Russophobia, ni njaa zenu kutaka kulinganisha uchumi wa Urusi dhidi ya Japan wakati mauzo ya Japan kwa mwaka ni mara mbili kwa thamani dhidi ya yale ya Urusi. Utataja vyote sijui ngano, silaha na gesi ila mwisho wa siku total figure Japan inauza zaidi ya mara mbili ya Russia.